Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Mp 8 za iPhone yoyote ile ni zaid ya mp 16 za Samsung, kamera bora haing'arishi pcha wala kutia nakshi yoyote ile
Wewe kweli ni mtumiaji wa iPhone siku hizi wanajitahidi picha unayopiga iwe sawa na unavyoina katika reality hakuna mingao ya ajabu piga simu na matecno mtu anaweza kusema unajichubua
 
Aah wapi, tuseme tu ukweli iPhone ni brand kubwa tu, lakini si kwamba ni ya magenious tu. Ina mapungufu mengi zaidi ya aliyoyataja mtoa mada. Sema kwa kuwa ni biashara Hamna tija kuyataja hapa.

Tuache tu kila mtu atumie kile apendacho kulingana na uwezo wake, mambo ya sijui iPhone, mara windows, mara Android, sioni kama Zina mashiko. Maana kwa mi niliyebahatika kutumia aina zote, iPhone ina limitation nyingi kuliko Android, which means ina security kubwa kuliko android. Lakini specification na user friendliness iPhone iko poor kuliko android. Na hata ukiangalia wengi wenye iPhone huwa lazima wawe na simu japo moja ya android.
Live
 
Jiulize kwann marekan wanatumia sana iphone na sio android phones? Iphone ni highly secured phone achilia mbali performance yake...
Binafsi hata ukiiwasha ni seconds unaanza kutumia hakuna kustack kwenye apple Logo tunatofautiana kwenye mambo mengine najua wewe ni Timu Nyumbu ila kwenye suala la iPhone naungana na wewe
 
Binafsi hata ukiiwasha ni seconds unaanza kutumia hakuna kustack kwenye apple Logo tunatofautiana kwenye mambo mengine najua wewe ni Timu Nyumbu ila kwenye suala la iPhone naungana na wewe
Huyo nyumbu amekudanganya USA majority wanatumia android
 
Binafsi hata ukiiwasha ni seconds unaanza kutumia hakuna kustack kwenye apple Logo tunatofautiana kwenye mambo mengine najua wewe ni Timu Nyumbu ila kwenye suala la iPhone naungana na wewe
Najua na wewe team msukule wa lumumba ila kwa hapa nakuunga mkono maana hata JIWE kwenye hotuba yake kule moro akiwa anampigia katibu mkuu wa wizara ya maji alikua anatumia kitu cha iphone. Najua alikua anataka kutumia katekno ila wavaa miwani myeusi wakamkataza na kumwambia atumia iphone kwa usalama wake!!
 
Wewe kweli ni mtumiaji wa iPhone siku hizi wanajitahidi picha unayopiga iwe sawa na unavyoina katika reality hakuna mingao ya ajabu piga simu na matecno mtu anaweza kusema unajichubua
Live, eti mwanaume unakomaa na beauty kamera?
 
Sasa kama huzipendi na “una uwezo wa kununua” si uachane nazo sasa. Endelea kununua samsung upate picha za kuuza sura insta. iPhone dont save garbage plus it’s security is high
Mada ina mambo ya msingi mengi. ila naona umejibu ambayo yanalingana na akili yako. Karibu tena
 
Karibu utumie Oppo F7 au hata F5 hutatamani tena kutumia iphone
Nimetumia simu za aina mbalimbali ikiwamo iphone 5,5s, 6 na 6+; Samsung, HTC, LG, Huawei na Blackberry ZQ. Lkn kwa Oppo F5 na ss F7 ni simu nzuri sana. Kuanzia RAM 4-6; Storage, ukija ktk picha ina very clear and smooth hauna haja ya kudownload applic za kutengeneza picha sijui beauty et al. Chaji inakaa vema na ni nyembamba sana yenye mng'ao na umbo la kipekee. Changamoto ni upatikanaji wa accessories bd shida kidg lkn ukienda Mombasa na Nairobi unapata
 
Wakuu habarini.
Naomba kujua kwann Iphones zina specifications ndogo ukilinganisha na Simu nyingine zote hata ambazo zinachipukia.

Sijaona Iphone inayozidi hivi vigezo

Maximum RAM 3gb
Maximum Camera 12 Mega Pixels
Maximum Battery size </ = 3000 mAh

Hawa jamaa Inovation yao ipo katika mlengo upi???.

Hizi simu sijawahi kuzitumia na nahisi sizipendi japo ninapesa ya kununua Iphone niitakayo. Lakini naona simu kama ya waganga wa kienyeji. Maana Masharti ni mengi kuliko Enjoyments.

Yani kumiliki hizi simu ni kama Mkinga mfanya biashara anaelala chooni ilihali ana majumba ya kifahari

1. No interaction with PC without Itunes
2. No Bluetooth compatibility with other devices except Its Generic Siblings
3. Kupata Apps za local developers ni Msala.
4. No downloading on Websites and blogs
5. Poor documents perusing and management
6. No memory extension.
7. Finger print zinakufa Ovyo kuliko simu zozote
8. Poorness of IOS Ecosystem
9. No access of payable services in some many regions ( Especially Africa)
10. Poor navigation of ( BACK ) Button
Sijui watu wenye Iphone huwa mna enjoy nini kwenye simu zenu.
11. No dual SIM
12. No File Management App
13. Safari si a default Browser no way ndugu yangu

Naomba ushirikiano
Team Apple hatusumbuki kuazimwa charger
 
IPhone ni sawa na gari aina ya scania na magari ya mchina yanayotumia engine za Cummins na weichai, hizi gari za mchina utakuta engine hp 375 au 360 lakini zinazidiwa uwezo na scania yenye hp 310, wengi tunapenda simu nzuri ila mmhhhh‍♀️‍♀️‍♀️‍♀️‍♀️
 
Mbona sisi tunaotumia Siemens hamtujadili jamani,hili haliwezekani kabisa ngoja nifungue Uzi nilinganishe na Simu nyinginezo,ngoja nitafute ya kulinganisha
 
Back
Top Bottom