King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Hivi seriously unaleta figures za 2018 Q1 na 2017 Q3???. At least ungeleta 2018 Q3 bas smh!Hawa ni analysts na mawazo Yao hatuwezi kukataa au kukubali na hayaondoi ukweli kwamba hamna kampuni inasimama mbele ya Apple , lakini tukija real figures bila ku guess guess kama article yako inavyo guess Kwa kujaribu kumlisha maneno Tim Cook . Hamna smartphone zinazouza kama Iphones na hii ni Kwa miaka mingi tu including mwaka huu na mwaka jana. Units sold iPhones ziko juu sana
View attachment 919218
View attachment 919219
kweli unaweza linganisha ipad pro na surface pro? almost vitu vyote vya ipad iphone inaweza fanya ila surface na 2 in 1 zote za windows ni productivity machine, zinafanya mamilioni ya vitu ambavyo ipad haiwezi kufanyaHamna kampuni ya simu au tablet inayoweza kusimama na Apple Kwa sasa, haipo , na ndo maana hapa kwenye huu mjadala ni all Android Phone’s against iPhone. Ila ukisimamisha kampuni moja inaonekana kama mtoto anayetambaa mbele ya apple.
Apple washindanishe na all other phones combined ila siyo one one
Tuendelee kubishania ram , speed na megapixels lakini suala la experience na ufanyaji kazi wa Apple devices ni habari nyingine
Na juzi imetoka IPad Pro ambayo inaendeleza mauaji ya tablets sokoni zikiwemo Microsoft surface, Samsung tabs, dell n.k
Niwaambie tu tunapoongelea Apple tunaongelea success story , weka ushabiki pembeni Apple ni mfano wa kuigwa kuanzia ubora wa bidhaa, care , supply chain, ushirikiano wake na makampuni mengine kuhakikisha mteja anapata bidhaa bora, privacy and pirate protection just to mention few.
Umesoma vizuri lakini?
Kuna namna ushabiki ukizidi sana mtu anasahau uhalisia na ukweli wa ushindani!kweli unaweza linganisha ipad pro na surface pro? almost vitu vyote vya ipad iphone inaweza fanya ila surface na 2 in 1 zote za windows ni productivity machine, zinafanya mamilioni ya vitu ambavyo ipad haiwezi kufanya
1. kwenye surface pro unaweza ukaweka itune, kwa ajili ya kuflash ipad yako ikicorupt ama kujiwekea miziki na video kitu ambacho ipad yako yenyewe haiwezi,
2. unacheza real games na sio vigame vya simu, unakutana na games kama fifa 19 ama pes 19, gta v etc wakati ki ipad chako kinachea vigame vile vile vya simu, candy crush, angry birds etc
3. full office na sio version ya tablet/simu inayorun kwenye ipad
4. productivity softwares za windows kama Adobe premiere, after effects, photoshop, Autocad, etc zote hizi huzipati kwenye ipad
5.full file management na windows explorer, move na kuhamisha mafile unavyotaka na sio limited file manager za ios, imagine una mtablet mkubwa karibia tv lakini kuhamisha file tu toka sehemu moja kwenda nyengine huwezi.
6. accessory kibao vitu kama keyboard, mouse, gaming pad, flash, kifupi kila kinachochomekwa kwenye compuyer knachomekeka kwenye surface vile vile, wakati ipad ina limited choice ya accessory na nyengine hazikubali kabisa
7. port za uhakika kama display port ukitaka kuconect na display ya nje kama tv, multi monitor, presentation etc
8. funny thing surface siku hizi zinakaa na chaji kushinda hata ipad
hebu niambie bwana island ukitoa apps za simu ambazo hata iphone yako inazo kitu gani ipad pro ni bora kushinda surface pro?
kweli unaweza linganisha ipad pro na surface pro? almost vitu vyote vya ipad iphone inaweza fanya ila surface na 2 in 1 zote za windows ni productivity machine, zinafanya mamilioni ya vitu ambavyo ipad haiwezi kufanya
1. kwenye surface pro unaweza ukaweka itune, kwa ajili ya kuflash ipad yako ikicorupt ama kujiwekea miziki na video kitu ambacho ipad yako yenyewe haiwezi,
2. unacheza real games na sio vigame vya simu, unakutana na games kama fifa 19 ama pes 19, gta v etc wakati ki ipad chako kinachea vigame vile vile vya simu, candy crush, angry birds etc
3. full office na sio version ya tablet/simu inayorun kwenye ipad
4. productivity softwares za windows kama Adobe premiere, after effects, photoshop, Autocad, etc zote hizi huzipati kwenye ipad
5.full file management na windows explorer, move na kuhamisha mafile unavyotaka na sio limited file manager za ios, imagine una mtablet mkubwa karibia tv lakini kuhamisha file tu toka sehemu moja kwenda nyengine huwezi.
6. accessory kibao vitu kama keyboard, mouse, gaming pad, flash, kifupi kila kinachochomekwa kwenye compuyer knachomekeka kwenye surface vile vile, wakati ipad ina limited choice ya accessory na nyengine hazikubali kabisa
7. port za uhakika kama display port ukitaka kuconect na display ya nje kama tv, multi monitor, presentation etc
8. funny thing surface siku hizi zinakaa na chaji kushinda hata ipad
hebu niambie bwana island ukitoa apps za simu ambazo hata iphone yako inazo kitu gani ipad pro ni bora kushinda surface pro?
Windows 10 ipo optimised for both touch na keyboard na mouse, na continuum inachange kutokana na matumizi yako.Na hili ndo kosa kubwa la surface , ina run tradition software za P.C au desktop ya kawaida , haipo optimised for touch yaan touch yake ni horrible, haina optimised software zake kama yenyewe na haina specific software za tablet. Yaan nikitengeneza bootable flash disk naweza install windows kwenye laptop ya windows let’s say dell na bootable hiyo hiyo nikaitumia kuweka same software kwenye surface. Tatizo linaanzia hapo.
Swali nililokuuliza ni software zipi hizo? Ambazo ipad inafanya surface haifanyi?Usilete uongo, Nikwambie tu Ipad ni tofauti na IPhone na application za IPhone hazi run kwenye Ipad labda kama hujatumia Ipad. Ukiingia kwenye appstore kuna category mkuu ya iPad apps na iPhone apps na hapa ndo apple anapowazidia wengine. Software au apps zao ziko specific Kwa device flan na pia zina full “optimizations”.
Yani kupewa office version mbili ni mbaya? Sababu ipad ina version ya mobile tu basi surface kuwa na version ya mobile na full version ni mbaya? Its called choice man,Sasa turudi kwenye surface, ukiingia store ya Microsoft unakuta kuna office then hapo hapo una install office Kwa flash na zote zinakaa humo humo (hivi ni vichekesho) mtu anakuwa confused atumie ipi, Na Kwa kuwa watu wamezoea office ya kawaida basi wanaweka office Kwa flash , office hiyo hiyo inayokaa kwenye pc tena same file same installation. Hapa tunapata quantity badala ya quality.
Hebu nikutajie app za youtube za windows then fananisha na ipad.Mfano YouTube ya kwenye Ipad ni tofauti na ya kwenye iphone. Sasa tafuta you tube kwenye surface kama hujaishia kuingia kwenye browsers kwanza maana zile za kwenye store zinazingua.
Hapa umetaja feature ambayo ipad haina (umenisaidia) na sio features ambayo ipad inayo.iPhone zina Whatsap Ipad hazina whatsap . Bado unasema hivi vitu ni sawa ? Judgement yako naweza ielewa inawezekana hujatumia Ipad au kama umetumia ni Kwa mda mfupi tu
Mbona unataja mambo ya 2011? Na kipindi surface rt ipo surface pro pia ilikuwepo mkuu zilitoka pamoja, kipindi kile hakukuwa na processor za bei rahisi za intel surface zilikuwa zinauzwa bei ghali hivyo surface rt ikawa inatumia arm processor. Siku hizi hata surface za bei rahisi zinatumia intel soc hakuna tena RT. Na windows RT tayari ipo integrated kwenye full windows.Nikurudishe nyuma kidogo miaka kama mitano hivi microsoft alitengeneza surface zenye windows rt ili ku solve matatizo hapo juu , ile windows ilikuwa optimised for touch screen vizuri tu tatizo ikakosa support ikafa. Support ipi naiongelea? Softwares /applications. Jobs alishawahi kusema mtu aliye serious na software anahitaji hardware yake” hapa alimaanisha software lazima iendane na hardware siyo software tu au hardware tu lakini lazima hivi vitu vi match na hiki ndo kitu mteja anahitaji not otherwise. Ipad wamefanikiwa Kwa hili , developers wanapiga kazi usiku kucha kuhakikisha best applications zinapatikana , ndo tablet pekee yenye applications kibao specifically Kwa ajiri yake na Ndo maana wanauza nyie mnaendelea kusema oooh Apple inapendwa tu bila sababu lakini kila mwaka anazidi kuuza na excuse imeendelea kuwa ile ile kwamba watu wanapenda brand hamjajua what it takes to build better brand.
Sijaona kitu kwenye hizo attachment.Summary: Mteja anaangalia Quality siyo quantity uliyoitaja hapo juu .
Hizi attachment zinaweza saidia why Ipad is still a better tablet
View attachment 919959
View attachment 919961
[/Quote][/QUOTE]Windows 10 ipo optimised for both touch na keyboard na mouse, na continuum inachange kutokana na matumizi yako.
Swali nililokuuliza ni software zipi hizo? Ambazo ipad inafanya surface haifanyi?
Yani kupewa office version mbili ni mbaya? Sababu ipad ina version ya mobile tu basi surface kuwa na version ya mobile na full version ni mbaya? Its called choice man,
Hebu nikuilize office ya ipad unafanya nini zaidi ya task nyepesi nyepesi za kusoma na kuedit document ndogo? Can you even edit complex formula na documents kubwa za excel?
Hebu nikutajie app za youtube za windows then fananisha na ipad.
1. Videorder
Haihitaji maelezo mengi best app ya youtube kwenye android ipo pia kwenye windows, uwezo wake ni kama huu
-kuangalia video kwa quality unayotaka
-kudownload video kwa quality unayotaka
-kudownload video kama mziki tu
-comments
-uwezo pia wa kuangalia na kudownload toka site nyengine za videos kama dailymotion, openload, vimeo, etc
2. Mytube
App nyengine nzuri ya youtube ambayo ipo muda mrefu toka enzi za wp, kama ilivyo videorder ina features kibao za kuangalia, kudownload, na vitu vyengine nilivyokutajia hapo juu, apart from that pia ina
-casting features unaweza cast video zako za youtube kwenye tv.
-picture in picture mode ambayo video ina pop up kidogo wakati unaendelea kufanya kazi zako
-play youtube playlist kwa background bila kuona video unasikiliza kwa sauti tu.
-ni app ya store hivyo inamatch na theme ya pc yako.
Hebu nitajie app moja tu ya youtube ya ipad hata official one ambayo ina features kushinda hizo app mbili za surface na windows kwa ujumla.
Hapa umetaja feature ambayo ipad haina (umenisaidia) na sio features ambayo ipad inayo.
Mbona unataja mambo ya 2011? Na kipindi surface rt ipo surface pro pia ilikuwepo mkuu zilitoka pamoja, kipindi kile hakukuwa na processor za bei rahisi za intel surface zilikuwa zinauzwa bei ghali hivyo surface rt ikawa inatumia arm processor. Siku hizi hata surface za bei rahisi zinatumia intel soc hakuna tena RT. Na windows RT tayari ipo integrated kwenye full windows.
Sijaona kitu kwenye hizo attachment.
Na bado hujanijibu swali langu la msingi ni vitu gani hivyo ipad inafanya kwa ufanisi na surface haifanyi? Kuchora? Kuchukua document? Kuangalia video?kufanya nini?
Nimekuonyesha hio mytube app nzuri kabisa ya youtube ambayo ipo store, na microsoft ana tool inaitwa project centennial ambayo ina convert desktop apps kuwa touch optimized apps na zipo app kibao za kisasa ambazo kwenye ipad unazisikia tu kwenye bomba mfano.Umeelezea vizuri sana lakini umesahau kitu muhimu sana , experience! Na hapa Ndo kosa kubwa tangu mwanzo nimekwambia. Surface inakaa wapi ? Kama laptop au tablet , ukisema ni laptop basi haina uwezo wa kuwa productive kama laptop na ukisema ni tablet haina kitu kinachoipa ule u tablet.
Tangu mwanzo nimesema dame Windows file unaweza install kwenye laptop , then desktop na bado hiyo hiyo file ukaistall kwenye surface, Kwa mtindo huu usitegemee hii software kuwa optimized kwenye hizi device , hiki kitu hakipo lazima somewhere kuwe na tatizo. Windows store nani anaitaka? Hata microsoft wanajua Ndo maana wakaweka option ya traditional desktop na ndo hiyo tunatumia kila siku so siwezi ku download YouTube kwenye store nikaacha youtube ya kwenye browser sijui kama tumeelewana . Hamna developer anatengeneza app Kwa ajiri ya surface Bali atatengeneza Kwa ajiri ya Windows Kwa ujumla.
Mkuu muongo weweKumbuka kisa cha kui skip windows 8 Fasta wakaenda windows 10 tatizo lilikuwa Ndo hilo interface ilizingua jamaa wakagundua wakaja na Windows 10 ndani ya mda mfupi (hii ndo experience nayoiongelea na ndiyo mtumiaji anataka achana na mambo ya sijui inaweza ku download, sijui casting, hivyo ni vitu vya kawaida sana wala siyo distinguishing advantage na Ndo maana huwa siviongelei )
Blah blah blah mkuu taja features na vitu ipad inavyofanya sababu mada unayozungumzia ni ipad ni bora kuliko surface pro labda utuambie kuwa na apps za ipad tu kunasaidia vipi kuipita surface pro? Kuna kitu gani cha ziada hapo? Naitaka hio advantage.Optimization ya uhakika lazima iangalie kila detail ya device na ichukue advantage yake na Kwa maana hii sitegemei file la iPhone liingie kwenye ipad , huku ni kufunika kombe mkuu tukubaliane.
Macbook air ipi ni powerfull kushinda surface? Again unaendelea kudanganya, japo hatuzungumzii macbook hapa. Surface pro 6 inatumia quadcore yenye thread 8 sawa na macbook pro, wakati hii macbook mpya inakuja na dual core tena mnapigwa $1200. Hakuna macbook air yenye nguvu kushinda surface.In simple terms mtu hawezi kuwa na laptop then akanunua surface maana anakuwa hajafanya kitu ukichukulia kwamba laptop pia zipo slim sana, mfano MacBook Air na on top ziko powerful , hapa surface anakufa na Ndo maana anashindwa kuuza vizuri
Again hio comment haijasema kwanini ipad ni bora kushinda surface pro unazunguka kule na huku ila hujibu swali,Nimekutana na hii comment somewhere huyu jamaa kafanya summary nzuri sana
“”Sadly, there's pretty much zero tablet competition unless you count devices like the Surface Pro which is really a laptop in tablet form. I wish that Google still made Nexus tablets. They were nice iPad alternatives. The 2nd generation Nexus 7 was my first tablet. It certainly had some advantages over an iPad, but the drawback was the lack of actual tablet apps. Everything was just a blown up phone app. That's because there was never any consistency in Android tablets. There were so many tablets with different Android versions, screen sizes, resolutions, performance levels. Who would be able to make a tablet app that could run on all the possible devices.””.
Tuendelee kubishania ram , speed na megapixels lakini suala la experience na ufanyaji kazi wa Apple devices ni habari nyingine
Mkuu mbongo ashindwi kitu,iphone za wizi uwa zinavuliwa pale aggrey na kuuzwa km spea kwa kitu ki1 ki1iPhone sio simu za vilaza
Kwanza iPhone ukishaiweka loak ndio basi Tena hakina mtu wa kuifanya lolote yaani ukiiba au ukiokota iPhone ww mpe mwanao wa miezi mitatu aigeuze toy hawa jamaaa wapo sicurity kinoma saiv OS12 hata screen used huwezi kuuza yaani haitokubali kwenye iPhone nyengine nazani umenisoma
Wee Baki na Samsung yako ikiibiwa mtu anatoa loack anatumia
So iPhone wapo juu
Ni simu za kishuaa[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Huwa wananifurahishaga sana jamaa wa Android. Wana kaneno kao wanakaita “Power User.” Hivi kweli kwenye real world ni watu wangapi wenye uwezo wa kununua simu ya dollar 1000 halafu wawe na muda wa kuanza ku-Tweak simu?! Unaingia App Store unaanza kutafuta themes. [emoji23][emoji23]
Most of the people wanataka wakinunua simu ifanye kazi kwa ufanisi na usalama wa vitu vyake kwenye simu.
Kiukweli mwenye uwezo wa kutoa pesa hiyo hata muda na instagram hana.
Anapiga na kupokea,hata sms huwa ni kazi.hawa apple huwa wanacheza na akili za wateja wao vile wanajua wamekufa kuoza.
Wamekufa wameoza kwasababu bidhaa zao zina ubora mkuu. Haiwezekani wingi wa watu wote huo wasiwe na akili wawe wananunua tu kishabiki. Na nikiongelea watu tunaongelea watu wa dunia ya kwanza, siyo wa mtaa wa Aggrey. Wana access ya information ila bado wanachagua iPhone.
Kuwa dunia ya kwanza hakumzuii mtu kuwa mfuata mkumbo.
Unadhani ni kwanini kampuni nyingine hazifi!!!Pamoja na kwamba iphone ni bora kwa kila kitu???kama ulivyoandika.
Wengi wape mkuu. Ingekuwa ni rahisi hivyo huo “mkumbo” wa watu wengi namna hiyo ungekuwa kwa makampuni mengine kama LG, Sony na kadhalika.
Huu “mkumbo” mwanzo ulikuwa kwa BlackBerry sasa hivi umehamia kwa iPhone. iPhone nao wakiteleza bila shaka “mkumbo” utahamia kwa kingine kilicho bora.
Ww unaleta siasa akati watu wanafanya argument in details. Eti kwenye uzi kama huu unadiriki kusema “ Wengi wape” watu wanaumiza vichwa wanabishana kwa hoja za kitaalamu ww umasema wengi wape. Umeona hii ni simple majority vote. Kama hujui soma comments za wadau ujifunze kuliko kuropoka na kuleta siasa kwenye utaalamu.
Huu uzi ni wa kwangu lakini vitu vinavyoongelewa hapa ni Konki sithubutu hata kuandika upupu kila siku nasoma tu na kujifunza. Kuwa mwakini bwana mdogo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuu.
Kitu kimoja fans wa Apple wanajisahau wanapozungumzia mauzo ni kwamba iphone inauza sana Marekani tu, ambapo ni nchi hio kampuni inapotokea. Kuna mataifa kibao kama ya ulaya na nchi kubwa kubwa wana income nzuri tu lakini Iphone haziongozi kimauzo zinapitwa na Samsung na Huawei.Ww unaleta siasa akati watu wanafanya argument in details. Eti kwenye uzi kama huu unadiriki kusema “ Wengi wape” watu wanaumiza vichwa wanabishana kwa hoja za kitaalamu ww umasema wengi wape. Umeona hii ni simple majority vote. Kama hujui soma comments za wadau ujifunze kuliko kuropoka na kuleta siasa kwenye utaalamu.
Huu uzi ni wa kwangu lakini vitu vinavyoongelewa hapa ni Konki sithubutu hata kuandika upupu kila siku nasoma tu na kujifunza. Kuwa mwakini bwana mdogo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mtoa maada umechambua vyema Sana upo sahihi.ila Mimi simu ya ndoto zangu SI Ni iphone kwa kweli yaani nikipata tu hela lazima ninunue iPhone nijionee mwenyewe.sijawahi hata kushika iPhone wenye nazo wachoyo kweli