Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

You nailed that dude, agiza soda nakuja kulipia, ukichukua bia silipii
 
Your so right chief. Asante kwa uchambuzi wako. Sasa je ni sahihi watu wa iphone kujiona ndo first class people?? Ili hali wanamasononeko mengi na simu zao?
Ukiona mtu unasononeka na kitu chako basi ujue hilo sio chaguo lako, kuna msemo unasema ukimpenda mwenye chongo utaona kama ana makengeza tu
 
Ungeinunua walau uitumie km mwez hv ungejijib vzr sana. Ninachopendea hz simu hawatumii vilaza. Over.
Kilaza ni yule anayetumia kwa kutaka sifa tu. Mtoa post katoa hoja nzito wewe ipinge kwa hoja yako. Taja specs za iphone unayotumia kama ni zaidi ya ulizotaja.
Mbwembwe nyiiiingi. Hamna kitu
 

Binafsi naona gepu ni kubwa sana kutoka samsung s3 mpaka kwenye iphone 8plus?kamata galaxy note 8,nafikiri majibu utayapata.
 
Bora niendelee kubaki na Techno yangu
 
Umetumia s3 alafu ukachukua iPhone 8 plus lazima uone tofauti s3 ni ya mda ukilinganisha na iphone 8 plus ukitumia s9 au note8 au note 9 utaona pia ni bora kuliko hiyo nenda YouTube fanya comparisons utakubali
 
Security unaficha nini???????

Picha za uchi?????

Mana watu wanakomaa na security lkn ukiangalia anachokificha hakuna.
Huna la maana unaloona kwenye security zaidi ya picha za uchi.

Akili yako ndo imeishia hapo. How imbecile you must have been.
 
Hata makampuni ya magari wana source other parts from their competitors or third parties.
 
Nimetumia 1phone 6+ kwa miezi 6 nikaona mauzauza tuu nikabadilishana na mtu TECNO CX, now nipo sumsung,
Watu wenye hizi simu wanaona ufahari sana kuanazo lkn nafsini mwao mungu ndio anajua.

Ndo maana wanawatukana hamna akili, kweli mtu na akili yako timamu unabadirishana iphone 6+ na tecno????

Si bora uuze af ndo ununue hyo tecno yko
 

Binafsi naona gepu ni kubwa sana kutoka samsung s3 mpaka kwenye iphone 8plus?
Nafikiri ungefanya mpango wa galaxy note 8,nafikiri majibu ungeyapata.
 
Ndo maana wanawatukana hamna akili, kweli mtu na akili yako timamu unabadirishana iphone 6+ na tecno????

Si bora uuze af ndo ununue hyo tecno yko
Kwani kuna ubaya gani? Si simu kwa simu?
 
Iphone ni mtihani kwa kweli labda watumiaji wanaenjoy kwa kua iko ghali then wanavyoipromote kuwa haingiliana na simu ingine ndio sabbu.
 
Tatizo linakuja pale unapo nunua kofuli la milioni moja kufungia mali ya thaman ya laki 5.

Ina security kubwa lkn ulichokihifadhi ni kipi hasa??

Picha za uchi?

Nambie kitu kimoja tu sim yoyote ya android inachoipita iphone, kimoja2 katika functionality
 

Hizo bei umeziona au unataja ilimradi tu
 
Mie nilitumiaga mwaka flani enz hizo wasap inauzwa $0.99 kwa mwaka kabla hajanunuliwa na Facebook, bas ukitaka kudownload eti ulipie kwanza hio hela, pia apps zote za trails eti ulipie kwanza ndo uipakue, kuanzia siku hiyo nikamtafuta mtu nikamuuzia nikanunua Samsung. Ila kwa sasa ni mpenz wa Tecno maana haipiti miezi wanahamia Version latest ya Android.
 
Ungeinunua walau uitumie km mwez hv ungejijib vzr sana. Ninachopendea hz simu hawatumii vilaza. Over.
Aah wapi, sio kwamba ni vilaza hawatumii, hio Simu ya Iphone hovyo mno, yaani ili ufurahie uwe na Mac, ila uhamishaji wa mafaili na Windows mgumu had uwe na Itunes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…