PreGE2025 Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Labda hujafiatilia kwa umakini madai ya CHADEMA.

CHADEMA wanasema kuwa maoni yao kuhusiana na sheria ya uchaguzi yametupwa. Je, unayajua hayo maoni ya CHADEMA yaliyotupwa...
Mkuu huyo mleta uzi ni team ACT hivyo anafanya makusudi kabisa kupotosha ukweli.
 
mtu asiekupenda hawezi kukusifu kwa lolote, na wala usitegemee, na wewe ni miongoni wao, nakumbuka nilipokuwa shule ya msingi niliwahi kushika nafasi ya tatu kati ya wanafunzi 57, mama yangu wa kambo aliniambia nimeshinda kwenye wajinga.....
Mkuu unategemea team ACT ikubaliane na angalau CDM kupewa nafasi ya kufanya maandamano?
 
Sio bongo,
Bongo wakiweka ngumu kisha wakasikia mlio wa lori la washawasha na gari za FFU bas ndani ya dakika 10 hilo eneo ukiambiwa hapa kulikuwa na watu hutaaamin,
Wote wamekula kona
Wewe unatamani wabakie muwaue ili uwale nyama?
 
Kwa sababu CHADEMA hawakujiandaa na maandamano, WALIJUA WATAKATALIWA.
 
Haya maandamano yamejikita kwenye sheria za uchaguzi tu, suala la katiba limefukiwa.
Unaonekana unasikiliza lakini husikii.

Hoja ipo wazi na imetangazwa kwa uwazi. CHADEMA wanataka miswada iliyopelekwa Bungenj, ya sheria ya uchaguzi iondolewe, badala yake yapelekwe mabadiliko ya katiba kuwezesha kuzaliwa kwa sheria nzuri ya uchaguzi. Na hicho CCM hawataki.
 
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa nini safari hii Samia na serikali yake wameamua kuyaacha yafanyike. Sababu zenyewe ni hizi.

1. Sababu ya kwanza ni kuwa , ajenda kuu za maandamano hazina athari kubwa kisiasa kwa Samia na CCM yake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosonwa na katibu mkuu John Mnyika mbele ya waandishi wa habari, Ajenda kuu za maandamano ambazo waliwaandikia Polisi wa Dar ni mbili
a) Miswada ya sheria mbovu za mambo ya uchaguzi
b) Hali ya ugumu wa maisha ya Wananchi.

Katika Ajenda hizo hakuna kabisa suala la KATIBA mpya
Sasa ukiangalia hizo Ajenda, kisiasa hakuna hata moja yenye uzito wa kisiasa wa kuitetemesha CCM. Tena ukichunguza vizuri ajenda ya kwanza inawaportray CHADEMA kama wenye uchu na chaguzi ili wapate nafasi za ubunge udiwani, ruzuku n.k

Tegemea kuanza kuona CCM wakiwageuzia kibao CHADEMA kwenye ajenda yao hiyo ya mambo ya uchaguzi, kwamba CHADEMA ni wasaka madaraka tu lakini hawako serious na mambo makubwa ya mabadiliko ya kweli.

2. Sababu ya Pili ni Kumuonyesha Samia kama mwanademokrasia.

Haya maandamano, yakifanyika, kitakachofuata baada ya hapo ni kumtengenezea taswira rais Samia kama mwanademokrasia, mwanasiasa mkomavu ambaye yuko tayari kuvumilia vyama vingine kutumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana n.k. Itamjengea taswira chanya ndani na nje.

3. Sababu ya tatu, ni kupunguza fukuto la Wataka maandamano.

Yamekuwepo majaribio ya watu kutaka kuandamana kwa muda mrefu huku Jeshi la polisi likiyazima kikatili. Safari hii naona wameona wayaache ili kuoffload steam ( fukuto lipumue). Hii itasaidia kupunguza joto, mshawasha wa kutaka kuandamana, kitu ambacho ni dream ya wanadiasa na wanaharakati nchini.

4. Kwa kuruhusu maandamano katika ajenda nyepesi kunaipa serikali mtaji wa kukataa maandamano ya ajenda ngumu bila lawama kiviiile!

Zipo ajenda kuu nchini za mambo ya msingi.
1. Ajenda ya dhulma kwa Wamasai huko ngorongoro
2. Ajenda ya Katiba mpya
3. Ajenda ya Ufisadi, ubadhirifu na kutowajibishwa ipasavyo wanaofanya hayo
4. Ajenda ya Elimu mbovu
5. Ajenda ya kutapanya rasilimali za nchi kwa kuziuza bei chee na kuingua mikataba mibovu
6. Ajenda ya kumnyonya mkulima.

Hizo ni Ajenda ambazo CCM wanaziogopa na siyo mambo ya miswada ya uchaguzi. Kwa hiyo, kwa kuruhusu maandamano ya Ajenda dhaifu, Wanajiwekea kigingi cha kuzuia maandamano ya ajenda nzito zaidi kwa hojs za kiintelijensia.

5. Maandamano haya, yanawasaidia CCM kuwashusha mzuka watu ambao wako serious kuandamana kwa ajili ya katiba mpya.

Katika nchi yetu, jinsi mifumo ya kisiasa ilivyo. Ni vigumu kumobilise watu, au kufanya jambo lenye mguso wa kisiasa bila kupitia platform za kisiasa. Ndiyo maana akina Mwabukusi walipata shida sana kuandaa maadamano yao ya kudai katiba mpya na kupinga ugawaji wa bandari yetu. Hata hivyo fukuto la madai yao lilikuwa kubwa miongoni mwa Watanzania, kwa hiyo kingetokea chama cha siasa kikawa na guts za kuandamana kwa ajenda hizo bila shaka ingeweka pressure kubwa zaidi kwa serikali ya CCM. Sasa hakuna Chama kilichojitokeza kubeba ajenda hizo, bali CHADEMA imekuja na ajenda za kupapasapapasa bila kuifanya KATIBA MPYA kuwa ni AJENDA kuu. Matokeo yake watu watashushwa mzuka, Na hii itaisaidia CCM kubuy time katika danadana zake za kutotupatia katiba mpya!. Mpaka Joto la kuwapush watu kuingua barabarani tena kwa ajili ya katiba mpya lipande, itakuwa labda miaka mingine 10 ijayo!

KWA KUMALIZIA.
1. Maandamano ya Chadema yatamjenga Samia aonekane mwanademokrasia.

2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.

3. Maandamano yasiyoogopwa na CCM hayo siyo maandamano halisi.

4. Maandamano haya yanaweza kutumika kuwaportray CHADEMA kama Flip-Floppers wakubwa. Leo wanazungumza habari za sheria za uchaguzi, wakati miaka michache iliyopita walikuwa wanasema kuwa hakuna reform yoyote ya sheria za kawaida inayoweza kusaidia uchaguzi huru na haki. Leo wanaandamana kwa ajili ya reform ya sheria hizohizo!.

Kwa maoni yangu, bila ya KATIBA MPYA kuwa ndiyo Ajenda kuu ya kila kitu, basi madai yetu yote mengine ni bure!
Unajaribu kujiliwaza kama unadhani maandamano ya kesho yatakuwa ya kwanza na mwisho.
 
Dk ya 86, SSH anaongoza 4 bila
 
Naunga mkono hoja, tumechangia pakubwa kushawishi maadamano yaruhusiwe Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu
P
 
Sidhani kama umeelewa ulichoandika.
Hivi hujui no. 1 b ikitumika vizuri inamung'oa Samia madarakani!
Hata Mimi nimemshangaa sana Missile of the Nation kwa safari hii kuja na analysis ya kiwango cha chini kabisa kuliko uwezo wake wa kufikiri..

Kudai kuwa mambo hayo mawili i.e ubovu na upogo wa miswaada ya sheria za uchaguzi inayoleta mgogoro huu & kuporomoka kwa uchumi kiasi cha kusababisha ugumu wa maisha kwa wananchi (sisi) athari zake zikiwa ni kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu Kwa maisha ya kila siku ya watu ni mambo yasiyo na uhusiano na katiba mpya, basi hakika huu ni upofu na uchimvi mkubwa wa fikra za Missile of the Nation ..

Ndugu yangu Missile of the Nation, hayo mambo ni very serious na yakiwa articulated kwa ufasaha mbele ya umma na watu kama Tundu Lissu au Boniface Mwambukusi nk Yana athari za moja kwa moja Kwa CCM na serikali yao..

Si hivyo tu, bali yana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya. KUMBUKA kuwa katiba mbovu huzaa viongozi na utawala mbovu usuowajibika kwa wananchi. Hiki kinachotokea sasa, ni ushahidi kuwa tuna utawala wa hovyo uliosimikwa na katiba ya hovyo..

Katika scenario hii, unathubutuje kusema mambo haya hayana mahusiano na katiba??
 
Wananchi gani hao unaowazungumzia wa kuaandaa maandamano?

au wale wanaoenda kwenye mikutano ya makonda na kutoa malalamiko ya kufiwa na waume zao.
Sasa hapo ndilo tatizo lenyewe. Nilimsikiliza Ulimwengu kwenye kipindi fulani online akisema kuwa wanachi wa Tanzania hawajapata shida kama za wenzao wa nchi jirani hivyo hawaoni haja ya kuandamana. Akatolea mfano kuwa mtu anayefanya kazi ya kuchimba mitalo ikifika saa sita anakwenda kwa mama nitilie anakula sahani moja ya pilao labda kwa sh 800 had 1000 wakati yule mchimba mitalo wa kenya kwake yeye ni ugali kwa sukumawiki siku zote. Hivyo maandamano kwa wakenya ni ya wanachi wenyewe huku haya yanayoandaliwa na CHADEMA ni ya CHADEMA. Serikali inaogopa maandamano ya wanachi kuliko haya ya kupangwa na vyama. Kwa mfano ikitokea leo wanafunzi wa chuo kikuu wakakaandamana, au madereva wa boda boda wote wakiandamana utaona jinsi serikali inavyohaha tofauti na haya maandamano ya chadema.
 
Maandamano yapo kikatiba sio sawa kusema serikali imeruhusu maandamano.
 
Wasi wasi wangu ni kuwa maandamano hayo yanaweza yasipate watu wa kutosha!
Wananchi hawana uzoefu na vitu kama hivyo! Ni waoga, kwa hiyo watakuwa wakiwashangaa CDM!
Lakini ngoja tuone itakuwaje!
 
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa nini safari hii Samia na serikali yake wameamua kuyaacha yafanyike. Sababu zenyewe ni hizi.

1. Sababu ya kwanza ni kuwa , ajenda kuu za maandamano hazina athari kubwa kisiasa kwa Samia na CCM yake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosonwa na katibu mkuu John Mnyika mbele ya waandishi wa habari, Ajenda kuu za maandamano ambazo waliwaandikia Polisi wa Dar ni mbili
a) Miswada ya sheria mbovu za mambo ya uchaguzi
b) Hali ya ugumu wa maisha ya Wananchi.

Katika Ajenda hizo hakuna kabisa suala la KATIBA mpya
Sasa ukiangalia hizo Ajenda, kisiasa hakuna hata moja yenye uzito wa kisiasa wa kuitetemesha CCM. Tena ukichunguza vizuri ajenda ya kwanza inawaportray CHADEMA kama wenye uchu na chaguzi ili wapate nafasi za ubunge udiwani, ruzuku n.k

Tegemea kuanza kuona CCM wakiwageuzia kibao CHADEMA kwenye ajenda yao hiyo ya mambo ya uchaguzi, kwamba CHADEMA ni wasaka madaraka tu lakini hawako serious na mambo makubwa ya mabadiliko ya kweli.

2. Sababu ya Pili ni Kumuonyesha Samia kama mwanademokrasia.

Haya maandamano, yakifanyika, kitakachofuata baada ya hapo ni kumtengenezea taswira rais Samia kama mwanademokrasia, mwanasiasa mkomavu ambaye yuko tayari kuvumilia vyama vingine kutumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana n.k. Itamjengea taswira chanya ndani na nje.

3. Sababu ya tatu, ni kupunguza fukuto la Wataka maandamano.

Yamekuwepo majaribio ya watu kutaka kuandamana kwa muda mrefu huku Jeshi la polisi likiyazima kikatili. Safari hii naona wameona wayaache ili kuoffload steam ( fukuto lipumue). Hii itasaidia kupunguza joto, mshawasha wa kutaka kuandamana, kitu ambacho ni dream ya wanadiasa na wanaharakati nchini.

4. Kwa kuruhusu maandamano katika ajenda nyepesi kunaipa serikali mtaji wa kukataa maandamano ya ajenda ngumu bila lawama kiviiile!

Zipo ajenda kuu nchini za mambo ya msingi.
1. Ajenda ya dhulma kwa Wamasai huko ngorongoro
2. Ajenda ya Katiba mpya
3. Ajenda ya Ufisadi, ubadhirifu na kutowajibishwa ipasavyo wanaofanya hayo
4. Ajenda ya Elimu mbovu
5. Ajenda ya kutapanya rasilimali za nchi kwa kuziuza bei chee na kuingua mikataba mibovu
6. Ajenda ya kumnyonya mkulima.

Hizo ni Ajenda ambazo CCM wanaziogopa na siyo mambo ya miswada ya uchaguzi. Kwa hiyo, kwa kuruhusu maandamano ya Ajenda dhaifu, Wanajiwekea kigingi cha kuzuia maandamano ya ajenda nzito zaidi kwa hojs za kiintelijensia.

5. Maandamano haya, yanawasaidia CCM kuwashusha mzuka watu ambao wako serious kuandamana kwa ajili ya katiba mpya.

Katika nchi yetu, jinsi mifumo ya kisiasa ilivyo. Ni vigumu kumobilise watu, au kufanya jambo lenye mguso wa kisiasa bila kupitia platform za kisiasa. Ndiyo maana akina Mwabukusi walipata shida sana kuandaa maadamano yao ya kudai katiba mpya na kupinga ugawaji wa bandari yetu. Hata hivyo fukuto la madai yao lilikuwa kubwa miongoni mwa Watanzania, kwa hiyo kingetokea chama cha siasa kikawa na guts za kuandamana kwa ajenda hizo bila shaka ingeweka pressure kubwa zaidi kwa serikali ya CCM. Sasa hakuna Chama kilichojitokeza kubeba ajenda hizo, bali CHADEMA imekuja na ajenda za kupapasapapasa bila kuifanya KATIBA MPYA kuwa ni AJENDA kuu. Matokeo yake watu watashushwa mzuka, Na hii itaisaidia CCM kubuy time katika danadana zake za kutotupatia katiba mpya!. Mpaka Joto la kuwapush watu kuingua barabarani tena kwa ajili ya katiba mpya lipande, itakuwa labda miaka mingine 10 ijayo!

KWA KUMALIZIA.
1. Maandamano ya Chadema yatamjenga Samia aonekane mwanademokrasia.

2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.

3. Maandamano yasiyoogopwa na CCM hayo siyo maandamano halisi.

4. Maandamano haya yanaweza kutumika kuwaportray CHADEMA kama Flip-Floppers wakubwa. Leo wanazungumza habari za sheria za uchaguzi, wakati miaka michache iliyopita walikuwa wanasema kuwa hakuna reform yoyote ya sheria za kawaida inayoweza kusaidia uchaguzi huru na haki. Leo wanaandamana kwa ajili ya reform ya sheria hizohizo!.

Kwa maoni yangu, bila ya KATIBA MPYA kuwa ndiyo Ajenda kuu ya kila kitu, basi madai yetu yote mengine ni bure!
Chadema watatumia haya maandamano Kwa ishu ya Katiba lakini haina mashiko na Wala hayana Nguvu.

Yangekuwa ni maandamano ya ugumu wa Maisha,mambo ya umeme na sukari hapo labda kingeukana.

Hata hivyo maandamano ni watu wanatoa hasira imekwisha hasa watu wa upinzani ila hakuna mtu mwenye shughuli ataenda kwenye maandamano aache kutafutia mtoto wake msosi.

Kibongo bongo maandamano ni fashion ya kupigia selfie.

Mwisho Nakubaliana na mtoa mada, maandamano ya DP World hayawezi kuruhusiwa.
 
Back
Top Bottom