PreGE2025 Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Agenda kuu ya CDM ni kuiondoa miswada hii Bungeni ambayo wao wanaita ni cosmetic. wanashinikiza kufanya Reform kwenye Katiba iliyopo kwanza.Hivyo Agenda ya katiba mpya imebebwa na hoja ya miswada inayoendana na haja ya mabadiliko madogo ya katiba, na ndiyo mojawapo ya msukumo wa maandamano.hiyo ndiyo agenda yao kuu. Utasoma mabango kesho
Mabango yenyewe yamejaa picha za Mbowe ,chawa wake kazini 😂😂
20240123_183939.jpg
20240123_183945.jpg
20240123_183933.jpg
 
Katika dunia ya leo, siasa za maandamano ni siasa za kijinga. Ni u-harakati usikuwa na effect yoyote kisiasa. Ni afadhali kuwe na spontaneous maandamano ya wananchi wa itikadi mbalimbali kuliko hayo ya kuandaliwa na chama kimoja cha upinzani.
Kwamba wanatumia miguu/kwato kufikiria 🤪🤪
 
Umeandika mengi sana na kati yake ni sawa lkn umekwepa kusema jambo Moja ambalo ni kubwa.

Sababu haswa ya serikali ya mama yetu kukubali kuruhusu haya maandamano ni hivi.

Mh Mbowe kabla ya kutangaza nia ya kuandaa maandamano alihakikisha kuwa amezunguka kwa WAHISANI WOTE MUHIMU WA SERIKALI YA CCM NA KUWAELEZA WAZO LAKE NAO WAKALIKUBALI KWA 100%.

Na serikali ya ccm ikajulishwa na hao wakubwa juu ya hilo maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

Hivyo hakukuwa na alternative yoyote ya kukwepa Hilo ombi.
Hakuna mhisani ambaye yuko Interested na wewe kupata demokrasia ndani ya nchi yako as long as serikali iliyoko madarakani inawapatia kile wanachokitaka!.

Tujifunze tu kwa yanayoendelea duniani kuwa , hizi kelele za demokrasia za wakubwa kuwaambia wengine ni international politics tu, lakini hakuna nchi iliyotayari kukuletea demokrasia au katiba nzuri kama wewe hauko tayari kuisaka kwa jasho na damu wewe mwenyewe!
 
Nadhani CCM wamegundua hayana athari yeyote ndio maana wameyaruhusu na hata hivyo naona kama mvuto wa chadema kwa wananchi kwa sasa ni mdogo ukilinganisha na Mwabukusi.
 
Hiyo 1b imetupiwa tu kujikosha ila lengo kuu la maandamano ni 1a. It seems CCM wanalijua hilo vizuri.

Na kwa kuwa ajenda namba 1a imekaa kisiasa, basi tegemea hayo maandamano yaungwe mkono na Wanachadema zaidi kuliko Watanzania wote wakiwemo wa CCM.

Hayo maandamano yangekuwa ya Kitaifa zaidi kama Ajenda kuu ingekuwa katiba mpya!
Mkuu Mwabukusi Yuko NCCR, kwanini asiiitishe maandamano ya katiba mpya kupitia chama chake? Cdm wanakataa miswaada mibovu kuingia bungeni, na ugumu wa maisha. Sio jukumu lao kuwa ccm watasema Nini, maana sio wajibu wa ccm kuwasifu cdm kwenye mipango Yao.
 
Hakuna mhisani ambaye yuko Interested na wewe kupata demokrasia ndani ya nchi yako as long as serikali iliyoko madarakani inawapatia kile wanachokitaka!.

Tujifunze tu kwa yanayoendelea duniani kuwa , hizi kelele za demokrasia za wakubwa kuwaambia wengine ni international politics tu, lakini hakuna nchi iliyotayari kukuletea demokrasia au katiba nzuri kama wewe hauko tayari kuisaka kwa jasho na damu wewe mwenyewe!
Mkuu ni wapi umezuiwa kuidai hiyo demokrasia na katiba nzuri? Yaani unalalamika kama vile cdm hawajafanya unachokitaka ww, wakati uko huru kufanya utakacho. Uzuri uko na Mwabukusi ambaye ni mwanaNCCR, mnaweza kuandaa maandamano ya hicho mnachoona cdm hawajafanya utakavyo.
 
NCCR ina internal struggles nyingi sana zinazoifanya isiwe effective kubeba ajenda kubwa.

ACT ndo kabisaa wao wanapika chungu kimoja na CCM, kwa hiyo hao waondoe ktk equation

Chama kikubwa kama CHADEMA, chenye network kubwa, chenye resources kuliko vyama vingine vyote vya upinzani nchini kama kikibeba ajenda kubwa Effect inakuwa kubwa zaidi.

By the way usisahau kuwa CHADEMA ipo hapa ilipo si kwa sababu tu ya juhudi za wanachadema peke yao, bali hata wananchi wasio na vyama walipa kodi ambayo imetumika kuijenga CHADEMA kupitia ruzuku wanayo haki ya kuitaka itumie mafanikio iliyoyapa kupigania mambo yao ya msingi. Na hakuna jambo la msingi kwa wananchi sasa hivi kama KATIBA mpya!
 
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa nini safari hii Samia na serikali yake wameamua kuyaacha yafanyike. Sababu zenyewe ni hizi.

1. Sababu ya kwanza ni kuwa , ajenda kuu za maandamano hazina athari kubwa kisiasa kwa Samia na CCM yake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosonwa na katibu mkuu John Mnyika mbele ya waandishi wa habari, Ajenda kuu za maandamano ambazo waliwaandikia Polisi wa Dar ni mbili
a) Miswada ya sheria mbovu za mambo ya uchaguzi
b) Hali ya ugumu wa maisha ya Wananchi.

Katika Ajenda hizo hakuna kabisa suala la KATIBA mpya
Sasa ukiangalia hizo Ajenda, kisiasa hakuna hata moja yenye uzito wa kisiasa wa kuitetemesha CCM. Tena ukichunguza vizuri ajenda ya kwanza inawaportray CHADEMA kama wenye uchu na chaguzi ili wapate nafasi za ubunge udiwani, ruzuku n.k

Tegemea kuanza kuona CCM wakiwageuzia kibao CHADEMA kwenye ajenda yao hiyo ya mambo ya uchaguzi, kwamba CHADEMA ni wasaka madaraka tu lakini hawako serious na mambo makubwa ya mabadiliko ya kweli.

2. Sababu ya Pili ni Kumuonyesha Samia kama mwanademokrasia.

Haya maandamano, yakifanyika, kitakachofuata baada ya hapo ni kumtengenezea taswira rais Samia kama mwanademokrasia, mwanasiasa mkomavu ambaye yuko tayari kuvumilia vyama vingine kutumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana n.k. Itamjengea taswira chanya ndani na nje.

3. Sababu ya tatu, ni kupunguza fukuto la Wataka maandamano.

Yamekuwepo majaribio ya watu kutaka kuandamana kwa muda mrefu huku Jeshi la polisi likiyazima kikatili. Safari hii naona wameona wayaache ili kuoffload steam ( fukuto lipumue). Hii itasaidia kupunguza joto, mshawasha wa kutaka kuandamana, kitu ambacho ni dream ya wanadiasa na wanaharakati nchini.

4. Kwa kuruhusu maandamano katika ajenda nyepesi kunaipa serikali mtaji wa kukataa maandamano ya ajenda ngumu bila lawama kiviiile!

Zipo ajenda kuu nchini za mambo ya msingi.
1. Ajenda ya dhulma kwa Wamasai huko ngorongoro
2. Ajenda ya Katiba mpya
3. Ajenda ya Ufisadi, ubadhirifu na kutowajibishwa ipasavyo wanaofanya hayo
4. Ajenda ya Elimu mbovu
5. Ajenda ya kutapanya rasilimali za nchi kwa kuziuza bei chee na kuingua mikataba mibovu
6. Ajenda ya kumnyonya mkulima.

Hizo ni Ajenda ambazo CCM wanaziogopa na siyo mambo ya miswada ya uchaguzi. Kwa hiyo, kwa kuruhusu maandamano ya Ajenda dhaifu, Wanajiwekea kigingi cha kuzuia maandamano ya ajenda nzito zaidi kwa hojs za kiintelijensia.

5. Maandamano haya, yanawasaidia CCM kuwashusha mzuka watu ambao wako serious kuandamana kwa ajili ya katiba mpya.

Katika nchi yetu, jinsi mifumo ya kisiasa ilivyo. Ni vigumu kumobilise watu, au kufanya jambo lenye mguso wa kisiasa bila kupitia platform za kisiasa. Ndiyo maana akina Mwabukusi walipata shida sana kuandaa maadamano yao ya kudai katiba mpya na kupinga ugawaji wa bandari yetu. Hata hivyo fukuto la madai yao lilikuwa kubwa miongoni mwa Watanzania, kwa hiyo kingetokea chama cha siasa kikawa na guts za kuandamana kwa ajenda hizo bila shaka ingeweka pressure kubwa zaidi kwa serikali ya CCM. Sasa hakuna Chama kilichojitokeza kubeba ajenda hizo, bali CHADEMA imekuja na ajenda za kupapasapapasa bila kuifanya KATIBA MPYA kuwa ni AJENDA kuu. Matokeo yake watu watashushwa mzuka, Na hii itaisaidia CCM kubuy time katika danadana zake za kutotupatia katiba mpya!. Mpaka Joto la kuwapush watu kuingua barabarani tena kwa ajili ya katiba mpya lipande, itakuwa labda miaka mingine 10 ijayo!

KWA KUMALIZIA.
1. Maandamano ya Chadema yatamjenga Samia aonekane mwanademokrasia.

2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.

3. Maandamano yasiyoogopwa na CCM hayo siyo maandamano halisi.

4. Maandamano haya yanaweza kutumika kuwaportray CHADEMA kama Flip-Floppers wakubwa. Leo wanazungumza habari za sheria za uchaguzi, wakati miaka michache iliyopita walikuwa wanasema kuwa hakuna reform yoyote ya sheria za kawaida inayoweza kusaidia uchaguzi huru na haki. Leo wanaandamana kwa ajili ya reform ya sheria hizohizo!.

Kwa maoni yangu, bila ya KATIBA MPYA kuwa ndiyo Ajenda kuu ya kila kitu, basi madai yetu yote mengine ni bure!
Tena ni bure kweli kweli !!
 
Ni lini cdm hawakuwahi kubeba ajenda ya katiba mpya? Au unataka waidai kwa asilimia uzitakazo ww? Cdm wanafanya Kila linalowezekana Ili katiba mpya ipatikane, na mazingira ndio yanaamua udai kipi na kwa approach ipi.
 
Hiyo 1b imetupiwa tu kujikosha ila lengo kuu la maandamano ni 1a. It seems CCM wanalijua hilo vizuri.

Na kwa kuwa ajenda namba 1a imekaa kisiasa, basi tegemea hayo maandamano yaungwe mkono na Wanachadema zaidi kuliko Watanzania wote wakiwemo wa CCM.

Hayo maandamano yangekuwa ya Kitaifa zaidi kama Ajenda kuu ingekuwa katiba mpya!
Hujawaelewa!!! Agenda ya Tume huru ya Uchaguzi ni ya Kikatiba, na iliwepo lazima Katiba ipigwe kiraka. Hata hivyo, ukihitaji mabadiliko ya katiba yote ni process ndefu na muda hautoshi kabla ya 2025. Kiujumla wako sahihi kuandamana.
 
Huyo kwani hajui yote hayo? Anaelewa kila kitu lakini ni lazima apinge ili kujustfy hela anayolipwa na CCM kuvuruga Chadema.
 
Ni lini cdm hawakuwahi kubeba ajenda ya katiba mpya? Au unataka waidai kwa asilimia uzitakazo ww? Cdm wanafanya Kila linalowezekana Ili katiba mpya ipatikane, na mazingira ndio yanaamua udai kipi na kwa approach ipi.
Na muulize jee wao wamezuiwa kudai hiyo Katiba mpya? Wote tunajenga nyumba moja kwanini tugombee fito? Hapo ndiyo utaona kuwa huyo anaifanyia kazi CCM na hizi ngonjera zake anatafuta justification ya hela anazolipwa kwa kazi ya kuipinga Chadema,ni snitch fulani hivi.
 
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa nini safari hii Samia na serikali yake wameamua kuyaacha yafanyike. Sababu zenyewe ni hizi.

1. Sababu ya kwanza ni kuwa , ajenda kuu za maandamano hazina athari kubwa kisiasa kwa Samia na CCM yake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosonwa na katibu mkuu John Mnyika mbele ya waandishi wa habari, Ajenda kuu za maandamano ambazo waliwaandikia Polisi wa Dar ni mbili
a) Miswada ya sheria mbovu za mambo ya uchaguzi
b) Hali ya ugumu wa maisha ya Wananchi.

Katika Ajenda hizo hakuna kabisa suala la KATIBA mpya
Sasa ukiangalia hizo Ajenda, kisiasa hakuna hata moja yenye uzito wa kisiasa wa kuitetemesha CCM. Tena ukichunguza vizuri ajenda ya kwanza inawaportray CHADEMA kama wenye uchu na chaguzi ili wapate nafasi za ubunge udiwani, ruzuku n.k

Tegemea kuanza kuona CCM wakiwageuzia kibao CHADEMA kwenye ajenda yao hiyo ya mambo ya uchaguzi, kwamba CHADEMA ni wasaka madaraka tu lakini hawako serious na mambo makubwa ya mabadiliko ya kweli.

2. Sababu ya Pili ni Kumuonyesha Samia kama mwanademokrasia.

Haya maandamano, yakifanyika, kitakachofuata baada ya hapo ni kumtengenezea taswira rais Samia kama mwanademokrasia, mwanasiasa mkomavu ambaye yuko tayari kuvumilia vyama vingine kutumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana n.k. Itamjengea taswira chanya ndani na nje.

3. Sababu ya tatu, ni kupunguza fukuto la Wataka maandamano.

Yamekuwepo majaribio ya watu kutaka kuandamana kwa muda mrefu huku Jeshi la polisi likiyazima kikatili. Safari hii naona wameona wayaache ili kuoffload steam ( fukuto lipumue). Hii itasaidia kupunguza joto, mshawasha wa kutaka kuandamana, kitu ambacho ni dream ya wanadiasa na wanaharakati nchini.

4. Kwa kuruhusu maandamano katika ajenda nyepesi kunaipa serikali mtaji wa kukataa maandamano ya ajenda ngumu bila lawama kiviiile!

Zipo ajenda kuu nchini za mambo ya msingi.
1. Ajenda ya dhulma kwa Wamasai huko ngorongoro
2. Ajenda ya Katiba mpya
3. Ajenda ya Ufisadi, ubadhirifu na kutowajibishwa ipasavyo wanaofanya hayo
4. Ajenda ya Elimu mbovu
5. Ajenda ya kutapanya rasilimali za nchi kwa kuziuza bei chee na kuingua mikataba mibovu
6. Ajenda ya kumnyonya mkulima.

Hizo ni Ajenda ambazo CCM wanaziogopa na siyo mambo ya miswada ya uchaguzi. Kwa hiyo, kwa kuruhusu maandamano ya Ajenda dhaifu, Wanajiwekea kigingi cha kuzuia maandamano ya ajenda nzito zaidi kwa hojs za kiintelijensia.

5. Maandamano haya, yanawasaidia CCM kuwashusha mzuka watu ambao wako serious kuandamana kwa ajili ya katiba mpya.

Katika nchi yetu, jinsi mifumo ya kisiasa ilivyo. Ni vigumu kumobilise watu, au kufanya jambo lenye mguso wa kisiasa bila kupitia platform za kisiasa. Ndiyo maana akina Mwabukusi walipata shida sana kuandaa maadamano yao ya kudai katiba mpya na kupinga ugawaji wa bandari yetu. Hata hivyo fukuto la madai yao lilikuwa kubwa miongoni mwa Watanzania, kwa hiyo kingetokea chama cha siasa kikawa na guts za kuandamana kwa ajenda hizo bila shaka ingeweka pressure kubwa zaidi kwa serikali ya CCM. Sasa hakuna Chama kilichojitokeza kubeba ajenda hizo, bali CHADEMA imekuja na ajenda za kupapasapapasa bila kuifanya KATIBA MPYA kuwa ni AJENDA kuu. Matokeo yake watu watashushwa mzuka, Na hii itaisaidia CCM kubuy time katika danadana zake za kutotupatia katiba mpya!. Mpaka Joto la kuwapush watu kuingua barabarani tena kwa ajili ya katiba mpya lipande, itakuwa labda miaka mingine 10 ijayo!

KWA KUMALIZIA.
1. Maandamano ya Chadema yatamjenga Samia aonekane mwanademokrasia.

2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.

3. Maandamano yasiyoogopwa na CCM hayo siyo maandamano halisi.

4. Maandamano haya yanaweza kutumika kuwaportray CHADEMA kama Flip-Floppers wakubwa. Leo wanazungumza habari za sheria za uchaguzi, wakati miaka michache iliyopita walikuwa wanasema kuwa hakuna reform yoyote ya sheria za kawaida inayoweza kusaidia uchaguzi huru na haki. Leo wanaandamana kwa ajili ya reform ya sheria hizohizo!.

Kwa maoni yangu, bila ya KATIBA MPYA kuwa ndiyo Ajenda kuu ya kila kitu, basi madai yetu yote mengine ni bure!
Because DR Samia is not a dictator
 
Maajabu ya Rais Samia. .
It takes two to Tango. Lakini kumuelewa Rais Samia inahitaji akili kubwa sana.
 
Na muulize jee wao wamezuiwa kudai hiyo Katiba mpya? Wote tunajenga nyumba moja kwanini tugombee fito? Hapo ndiyo utaona kuwa huyo anaifanyia kazi CCM na hizi ngonjera zake anatafuta justification ya hela anazolipwa kwa kazi ya kuipinga Chadema,ni snitch fulani hivi.
Ukimsoma kwa makini ni kama mtu mwenye nongwa.
 
Nawapongeza Chadema kuanzisha hili ila linakwenda kuijenga CCM zaidi na anaweza kuandaliwa kiongozi mkubwa awapokee kabisa na baada ya hotuba zenu akafunga mkutano kwa kuhutubia yeye!

Haya maandamano yalipaswa kutovaa sura ya chama ingawa kwasababu ya resources behind scenes chama kiratibu ili wananchi wabebe hizo ajenda wenyewe!

Baada ya maandamano haya CCM watapata sababu za kuzuia maandamano mengine kwamba mlishapewa nafasi ya kufikisha ujumbe wenu. Hivyo hata hiyo miswada itapitishwa kibabe na tutaishia kulalamika kwenye on line channel mbili tatu kwisha.

Hamshangai ghafla media zote hadi Millard Ayo wanatangaza maandamano? Watu wanalamba credit kwenye International communities then baadae ni kufinywa huku wakihubiri wanatoa uhuru kwa vyama.
 
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa nini safari hii Samia na serikali yake wameamua kuyaacha yafanyike. Sababu zenyewe ni hizi.

1. Sababu ya kwanza ni kuwa , ajenda kuu za maandamano hazina athari kubwa kisiasa kwa Samia na CCM yake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosonwa na katibu mkuu John Mnyika mbele ya waandishi wa habari, Ajenda kuu za maandamano ambazo waliwaandikia Polisi wa Dar ni mbili
a) Miswada ya sheria mbovu za mambo ya uchaguzi
b) Hali ya ugumu wa maisha ya Wananchi.

Katika Ajenda hizo hakuna kabisa suala la KATIBA mpya
Sasa ukiangalia hizo Ajenda, kisiasa hakuna hata moja yenye uzito wa kisiasa wa kuitetemesha CCM. Tena ukichunguza vizuri ajenda ya kwanza inawaportray CHADEMA kama wenye uchu na chaguzi ili wapate nafasi za ubunge udiwani, ruzuku n.k

Tegemea kuanza kuona CCM wakiwageuzia kibao CHADEMA kwenye ajenda yao hiyo ya mambo ya uchaguzi, kwamba CHADEMA ni wasaka madaraka tu lakini hawako serious na mambo makubwa ya mabadiliko ya kweli.

2. Sababu ya Pili ni Kumuonyesha Samia kama mwanademokrasia.

Haya maandamano, yakifanyika, kitakachofuata baada ya hapo ni kumtengenezea taswira rais Samia kama mwanademokrasia, mwanasiasa mkomavu ambaye yuko tayari kuvumilia vyama vingine kutumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana n.k. Itamjengea taswira chanya ndani na nje.

3. Sababu ya tatu, ni kupunguza fukuto la Wataka maandamano.

Yamekuwepo majaribio ya watu kutaka kuandamana kwa muda mrefu huku Jeshi la polisi likiyazima kikatili. Safari hii naona wameona wayaache ili kuoffload steam ( fukuto lipumue). Hii itasaidia kupunguza joto, mshawasha wa kutaka kuandamana, kitu ambacho ni dream ya wanadiasa na wanaharakati nchini.

4. Kwa kuruhusu maandamano katika ajenda nyepesi kunaipa serikali mtaji wa kukataa maandamano ya ajenda ngumu bila lawama kiviiile!

Zipo ajenda kuu nchini za mambo ya msingi.
1. Ajenda ya dhulma kwa Wamasai huko ngorongoro
2. Ajenda ya Katiba mpya
3. Ajenda ya Ufisadi, ubadhirifu na kutowajibishwa ipasavyo wanaofanya hayo
4. Ajenda ya Elimu mbovu
5. Ajenda ya kutapanya rasilimali za nchi kwa kuziuza bei chee na kuingua mikataba mibovu
6. Ajenda ya kumnyonya mkulima.

Hizo ni Ajenda ambazo CCM wanaziogopa na siyo mambo ya miswada ya uchaguzi. Kwa hiyo, kwa kuruhusu maandamano ya Ajenda dhaifu, Wanajiwekea kigingi cha kuzuia maandamano ya ajenda nzito zaidi kwa hojs za kiintelijensia.

5. Maandamano haya, yanawasaidia CCM kuwashusha mzuka watu ambao wako serious kuandamana kwa ajili ya katiba mpya.

Katika nchi yetu, jinsi mifumo ya kisiasa ilivyo. Ni vigumu kumobilise watu, au kufanya jambo lenye mguso wa kisiasa bila kupitia platform za kisiasa. Ndiyo maana akina Mwabukusi walipata shida sana kuandaa maadamano yao ya kudai katiba mpya na kupinga ugawaji wa bandari yetu. Hata hivyo fukuto la madai yao lilikuwa kubwa miongoni mwa Watanzania, kwa hiyo kingetokea chama cha siasa kikawa na guts za kuandamana kwa ajenda hizo bila shaka ingeweka pressure kubwa zaidi kwa serikali ya CCM. Sasa hakuna Chama kilichojitokeza kubeba ajenda hizo, bali CHADEMA imekuja na ajenda za kupapasapapasa bila kuifanya KATIBA MPYA kuwa ni AJENDA kuu. Matokeo yake watu watashushwa mzuka, Na hii itaisaidia CCM kubuy time katika danadana zake za kutotupatia katiba mpya!. Mpaka Joto la kuwapush watu kuingua barabarani tena kwa ajili ya katiba mpya lipande, itakuwa labda miaka mingine 10 ijayo!

KWA KUMALIZIA.
1. Maandamano ya Chadema yatamjenga Samia aonekane mwanademokrasia.

2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.

3. Maandamano yasiyoogopwa na CCM hayo siyo maandamano halisi.

4. Maandamano haya yanaweza kutumika kuwaportray CHADEMA kama Flip-Floppers wakubwa. Leo wanazungumza habari za sheria za uchaguzi, wakati miaka michache iliyopita walikuwa wanasema kuwa hakuna reform yoyote ya sheria za kawaida inayoweza kusaidia uchaguzi huru na haki. Leo wanaandamana kwa ajili ya reform ya sheria hizohizo!.

Kwa maoni yangu, bila ya KATIBA MPYA kuwa ndiyo Ajenda kuu ya kila kitu, basi madai yetu yote mengine ni bure!
Hapa Bashiye atakuja kupata kiki tu kwamba Chadema tumewaruhisu waandamane hakuna kilichobadilika
 
Yote kwa yote huu ni mwanzo nzuri kwanza kufahamu kuwa kuna nguvu ya uma ktk nchi hii hilo serikali wamelihisi nakuona kuwa kuna resistance kubwa kutoka kwanchi
 
Back
Top Bottom