Kwanini Saudi Arabia?

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Nimekuwa nikifatilia kwa miongo mingi sasa viongozi wengi madikiteta wakipinduliwa huwa wanatafuta hifadhi za kisiasa Saudi Arabia. Nitatoa mifano michache hapa

  1. Waziri mkuu wa zamani wa Pakistani Nawaz Sharif baada ya kuangushwa alikimbia Saudi Arabia
  2. Waziri mkuu wa Syria 1951 bw Ma'ruf al-Dawalibi Alikimbilia Saudia hadi alipokufa mwaka 2004
  3. Idd Amin dada raisi wa zamani wa Uganda aliyeangusha na majeshi ya Nyerere na yeye alikimbilia huko mwaka 1980 kuishi huko hadi kifo chake mwaka 2003
  4. Raisi wa zamani wa Tunisia Mh Zine el-Abidin Ben Ali naye baada ya kukimbia nchi Jan 16, 2011 amekimbilia Saudi Arabia
  5. Mzee mzima Pervez Musharraf baada ya kulazimishwa kujiuzulu naye alikimbia Saudi Arabia tangia 2008
Hii ni mifano michache ! Kwanini wanakimbilia Saudi?
 
Natamani hii maandamano makubwa yatokee hata kesho ili mkwere akimbilie huko huko. Simtaki Tanzania. atuachie nchi yetu

We mwache tu na hivi anapenda kusafiri safiri siku anataka kutua tunamgomea na lidege lake:smile-big:
 
Nimekuwa nikifatilia kwa miongo mingi sasa viongozi wengi madikiteta wakipinduliwa huwa wanatafuta hifadhi za kisiasa Saudi Arabia. Nitatoa mifano michache hapa

  1. Waziri mkuu wa zamani wa Pakistani Nawaz Sharif baada ya kuangushwa alikimbia Saudi Arabia
  2. Waziri mkuu wa Syria 1951 bw Ma'ruf al-Dawalibi Alikimbilia Sudia hadi alipokufa mwaka 2004
  3. Idd Amin dada raisi wa zamani wa Uganda aliyeangusha na majeshi ya Nyerere na yeye alikimbilia huko mwaka 1980 kuishi huko hadi kifo chake mwaka 2003
  4. Raisi wa zamani wa Tunisia Mh Zine el-Abidin Ben Ali naye baada ya kukimbia nchi Jan 16, 2011 amekimbilia Saudi Arabia
  5. Mzee mzima Pervez Musharraf baada ya kulazimishwa kujiuzulu naye alikimbia Saudi Arabia tangia 2008
Hii ni mifano michache ! Kwanini wanakimbilia Saudi?

sahihisho dogo ...... pervez musharraf hakukimbilia saudi. yuko uingereza toka aachie ngazi.
 
Ndiko huwekeza,na ni vigumu kuzi weaklist link account zao nchi za Ulaya kutokana na sheria zao ni rahisi sana kukufungia account yako,Kumbuka Rais wa Nigeria aliyekwenda kutibiwa Saudi mpaka kifo chake kilipomkuta ana account ya mabilioni ya fweza .
 
sahihisho dogo ...... pervez musharraf hakukimbilia saudi. yuko uingereza toka aachie ngazi.

Ur right aliondoka Mecca alikokuwa sababu Saudi Arabia ina mahusiano mazuri ya kidiplomasia na Pakistan, jamaa walianza kumdai arudishwe akafunguliwe mashitaka, baadaye akakimbilia London anakoishi hadi leo.
 
Nimekuwa nikifatilia kwa miongo mingi sasa viongozi wengi madikiteta wakipinduliwa huwa wanatafuta hifadhi za kisiasa Saudi Arabia. Nitatoa mifano michache hapa

  1. Waziri mkuu wa zamani wa Pakistani Nawaz Sharif baada ya kuangushwa alikimbia Saudi Arabia
  2. Waziri mkuu wa Syria 1951 bw Ma'ruf al-Dawalibi Alikimbilia Sudia hadi alipokufa mwaka 2004
  3. Idd Amin dada raisi wa zamani wa Uganda aliyeangusha na majeshi ya Nyerere na yeye alikimbilia huko mwaka 1980 kuishi huko hadi kifo chake mwaka 2003
  4. Raisi wa zamani wa Tunisia Mh Zine el-Abidin Ben Ali naye baada ya kukimbia nchi Jan 16, 2011 amekimbilia Saudi Arabia
  5. Mzee mzima Pervez Musharraf baada ya kulazimishwa kujiuzulu naye alikimbia Saudi Arabia tangia 2008
Hii ni mifano michache ! Kwanini wanakimbilia Saudi?

Sidhani kama ni dhambi kumpokea kiongozi yoyote anaeomba hifadhi ya kisiasa kama vile Nawaz Shariff alikuwa kiongozi wa kuchaguliwa kidemokrasia na wananchi wake lakini aliempindua Musharaf na yeye baada ya kufukuzwa lakushangaza amepokelewa na Uingereza na kupewa hifadhi!

Mbona huzishangai nchi za Magharibi zinapowapokea vigogo wengi waliotoroka kwao kama vile Oscar Kambona toka Tanzania,Haile Selase wa Ethiopia, Sultani Jamshid bin Abdullah Al Said wa Zanzibar aliekimbilia Uingereza, Dikteta Shah wa Iran aliekimbilia Uingereza, Dikteta Augustino Pinochet wa Chile alikimbilia Uingereza na hata hapa kwetu Tanzania tulishawapokea madikteta waliopinduliwa kwao mfano: ni Milton Obote wa Uganda!

Sasa unaishangaa Saudia ambayo imempokea Zain Abi Din Ali wa Tunisia baada ya Ufaransa kukataa kumpokea wakati alikuwa ni kimpenzi mkubwa wa Ufaransa!

Picha hizi ni baadhi ya viongozi waliokimbilia Uingereza tujikumbushe:

Oscar_Kambona.jpg Oscar Kambona SULTAN JAMSHID WA ZANZIBAR.jpg SULTAN WA MWISHO ZANZIBAR JAMSHID

Augusto_Pinochet.jpg DIKTETA AUGUSTINO PINOCHET WA CHILE

MILTON OBOTE.jpg MILTON OBOTE WA UGANDA HUYU ALIPOKELEWA NA JULIUS K: NYERERE

HAILE SELASE.jpg HAILE SELASI MUNGU WA RASTAFARI WA ABBYSINIA

Wote hawa walikimbilia Uingereza mbona hushangai unaishangaa Saudia?
 
Huko ndo maficho ya viongozi pasua kichwa.
You just wait mkuu,
Umma utakaposhika hatamu, EL+RA na Mkwere wote wataparuza miguu to Saudi Arabia, wakafadhaike na madikteta wenzao, watuachie Tanzania yetu.
 
Sidhani kama ni dhambi kumpokea kiongozi yoyote anaeomba hifadhi ya kisiasa kama vile Nawaz Shariff alikuwa kiongozi wa kuchaguliwa kidemokrasia na wananchi wake lakini aliempindua Musharaf na yeye baada ya kufukuzwa lakushangaza amepokelewa na Uingereza na kupewa hifadhi!

Mbona huzishangai nchi za Magharibi zinapowapokea vigogo wengi waliotoroka kwao kama vile Oscar Kambona toka Tanzania,Haile Selase wa Ethiopia, Sultani Jamshid bin Abdullah Al Said wa Zanzibar aliekimbilia Uingereza, Dikteta Shah wa Iran aliekimbilia Uingereza, Dikteta Augustino Pinochet wa Chile alikimbilia Uingereza na hata hapa kwetu Tanzania tulishawapokea madikteta waliopinduliwa kwao mfano: ni Milton Obote wa Uganda!

Sasa unaishangaa Saudia ambayo imempokea Zain Abi Din Ali wa Tunisia baada ya Ufaransa kukataa kumpokea wakati alikuwa ni kimpenzi mkubwa wa Ufaransa!

Picha hizi ni baadhi ya viongozi waliokimbilia Uingereza tujikumbushe:

View attachment 20812 Oscar Kambona View attachment 20810 SULTAN WA MWISHO ZANZIBAR JAMSHID

View attachment 20808 DIKTETA AUGUSTINO PINOCHET WA CHILE

View attachment 20811 MILTON OBOTE WA UGANDA HUYU ALIPOKELEWA NA JULIUS K: NYERERE

View attachment 20809 HAILE SELASI MUNGU WA RASTAFARI WA ABBYSINIA

Wote hawa walikimbilia Uingereza mbona hushangai unaishangaa Saudia?

Buddy! U have missed my point Saudi Arabia is a Refuge of Choice for Muslim Despots. Ukibisha nitakupa mifano zaidi.

  • Sheikh Ali Al-Tantawi of Syria
  • Muslim radicals from Egypt
  • Members of the royal family from Yemen
  • Mamia ya exiles from Palestine, from Somalia, from Iraq and Chad

Scholars have stipulated they choose Saudi because the Kingdom is the home of the Two Holy Mosques in Makkah and Madinah labda watatubu makosa yao. Bila shaka unajua Idd Amin alikuwa anaishi Jeddah. Non Muslim leader walio wengi wanakwenda UK, Sweden, US, Sweden, France and elsewhere. Huko hawajali itikadi za dini. Nilipooandika Mugabe atakwenda Saudia ilikuwa joke.
 
Sasa wananchi wa Saudia nao wakimtimua Rais wao atakimbilia wapi?

Mfalme wa Saudia yeye huenda atakimbilia kati ya nchi hizi mbili Afghanistan ama Pakistan, si unajua hata yule kinara wa ugaidi raia wa Saudia naye yuko kati ya Afghanistan na Pakistan.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom