Kwanini Saudi Arabia?

Ama kweli udini umewaklia vibaya.Yaani mtu unawaza kuleta thread kama hii! ni kukosa kazi au?

Wengine wanachekesha eti jk awaachie nchi yao,nchi ipi hiyo? sikujua kuna watu wanjiona wtz zaidi ya wengine. Ukimuuliza huyu anaesema eti jk amwachie nchi yake utakuta yeye ndo sio mtz.Au kama anamaanisha hii ni nchi ya wakristu nadhani amepagawa.Maana ukristu umeingia nchini karne moja iliyopita wakati uislam upo tangia karne ya saba.Hat hii lugha adhimu ya kiswahili unayojivunia ni zao la dini ya kiislam.JK endelea kufanya mema kwa nchi yako achana na hwa vizabzabina wachache wanaofisidi muda wa kazi kuleta majungu,umma tuko nyuma yako hakugusi mtu
 
yule mzee alivokuwa mbishi, sidhani kama atakubali kubadili dini

Mbona alikubali kushare mke na waziri wake wa fedha? Au hilo siyo gumu?
Maana Mke wa Mugabe alikuwa analala na Waziri wa Fedha wa Zimbabwe angalau mara nne kwa mwezi....sijui Mugabe alikuwa anapata lini Mungu wangu....
 
Ama kweli udini umewaklia vibaya.Yaani mtu unawaza kuleta thread kama hii! ni kukosa kazi au?

Wengine wanachekesha eti jk awaachie nchi yao,nchi ipi hiyo? sikujua kuna watu wanjiona wtz zaidi ya wengine. Ukimuuliza huyu anaesema eti jk amwachie nchi yake utakuta yeye ndo sio mtz.Au kama anamaanisha hii ni nchi ya wakristu nadhani amepagawa.Maana ukristu umeingia nchini karne moja iliyopita wakati uislam upo tangia karne ya saba.Hat hii lugha adhimu ya kiswahili unayojivunia ni zao la dini ya kiislam.JK endelea kufanya mema kwa nchi yako achana na hwa vizabzabina wachache wanaofisidi muda wa kazi kuleta majungu,umma tuko nyuma yako hakugusi mtu

Umesoma tokea juu ustaadhi? Usikurupuke na kuweka lawama zisizokuwepo.
 
Natamani hii maandamano makubwa yatokee hata kesho ili mkwere akimbilie huko huko. Simtaki Tanzania. atuachie nchi yetu

Unatamani na haito tokea , tulimlinda, tunamlinda na tutamlinda . Wewe hii nchi sio ya kwako peke yako ni yetu sote. Na yeye hawezi kuondoka kwani alishinda uchaguzi ulio huru na wa haki
 
Ni moja ya nchi zinazoongoza kwa ukiukwaji mkubwa wa haki zabinadamu duniani. Kwa hiyo viongozi wanaoenda huko ni wale wanaofanana na viongozi wa huko!
 
Unatamani na haito tokea , tulimlinda, tunamlinda na tutamlinda . Wewe hii nchi sio ya kwako peke yako ni yetu sote. Na yeye hawezi kuondoka kwani alishinda uchaguzi ulio huru na wa haki

Hata NEC wanajua Mkwere alikwiba! Ndo maana ni raisi wa NEC
 
Ama kweli udini umewaklia vibaya.Yaani mtu unawaza kuleta thread kama hii! ni kukosa kazi au?

Wengine wanachekesha eti jk awaachie nchi yao,nchi ipi hiyo? sikujua kuna watu wanjiona wtz zaidi ya wengine. Ukimuuliza huyu anaesema eti jk amwachie nchi yake utakuta yeye ndo sio mtz.Au kama anamaanisha hii ni nchi ya wakristu nadhani amepagawa.Maana ukristu umeingia nchini karne moja iliyopita wakati uislam upo tangia karne ya saba.Hat hii lugha adhimu ya kiswahili unayojivunia ni zao la dini ya kiislam.JK endelea kufanya mema kwa nchi yako achana na hwa vizabzabina wachache wanaofisidi muda wa kazi kuleta majungu,umma tuko nyuma yako hakugusi mtu

Acha kubwia ugoro unaharibu akiri.
 
Sidhani kama kuna tatizo kukimbilia huko.. Wengi wanapoachia ngazi huenda kwenye nchi ambazo zinamahusiano mazuri na muhusika..

Wengi wa jumuiya ya madola wanaenda sana uingereza au nchi za jumuiya ya madola. Mf . South africa au australia pia.

So hilo siyo tatizo kubwa sana la kuumiza kichwa.. Ben ali wa tunisia alikimbilia france kabla ya sokuozy kumkataa..
 
Kwanini Nicolas Sarkozy alimkataa Ben Ali wakati Tunisia na France wamekuwa na mahusiano ya karibu sana?
 
Saudi arabia ni mahali pa takatifu penye kukaribisha mtu yeyote bila kuhukumu kabla ya mungu kutoa hukumu yake!kwani kati yetu hakuna mzuri mungu pekee ndiye ajuaye!
 
Hivi unajua wewe kama Saudi Arabia inaongoza kwa uvujifu wa haki za binadamu!?
 
Ama kweli udini umewaklia vibaya.Yaani mtu unawaza kuleta thread kama hii! ni kukosa kazi au?

Wengine wanachekesha eti jk awaachie nchi yao,nchi ipi hiyo? sikujua kuna watu wanjiona wtz zaidi ya wengine. Ukimuuliza huyu anaesema eti jk amwachie nchi yake utakuta yeye ndo sio mtz.Au kama anamaanisha hii ni nchi ya wakristu nadhani amepagawa.Maana ukristu umeingia nchini karne moja iliyopita wakati uislam upo tangia karne ya saba.Hat hii lugha adhimu ya kiswahili unayojivunia ni zao la dini ya kiislam.JK endelea kufanya mema kwa nchi yako achana na hwa vizabzabina wachache wanaofisidi muda wa kazi kuleta majungu,umma tuko nyuma yako hakugusi mtu
Mbona unajihisi mtoa hoja hajaongelea chochote juu ya Kikwete wewe unaanza kuingiza ya Kikwete na udini au umeona uongozi wake unapwaya na aelekea kwenda huko nini? Jenga hoja kwa mada iliyopo.
 
Unatamani na haito tokea , tulimlinda, tunamlinda na tutamlinda . Wewe hii nchi sio ya kwako peke yako ni yetu sote. Na yeye hawezi kuondoka kwani alishinda uchaguzi ulio huru na wa haki
Hata Ben ali wa Tunisia alishinda na askari wake waliahidi hivyo hivyo tulimlinda tunamlinda na tutamlinda kama unavyosema lakini saa na wakati ulipowadia hakuwa na wakumlinda kaenda peke yake Saudia.
 
Back
Top Bottom