Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

Imeonekana jana ikiruka kutoka Dodoma kwenda Zanzibar kwa hiyo inatumika.
Watu wanasema tunaropoka ni mbovu hatukusoma ripoti ya CAG? Sasa huo ubovu ni wa vipi ambao toka enzi za ripoti ya CAG hadi leo haujatengenezeka? Halafu wanasema tunaropoka utafikiri wao kila siku wanaletewa taarifa kwa Gulf Stream bado mbovu
 
Mwache mama aupige mwingi. Hata mkisema anaendelea kusonga mbele kwa kasi ya 5G.

Msijali 25 years later anaweza kuwa bado rais. Katiba mpya iachane na mambo ya term limit. Kama mtu bado anaweza aendelee mpaka atakaposhindwa mwenyewe na kuamua kustaafu, au atakaposhindwa kwa sababu ya kupotea, kupinduliwa, kutekwa, kujiuzulu, nk.
 
Naomba kuelimishwa. Kwa hapa Tanzania, Rais huwa anajichagulia aina ya ndege ya kusafiri nayo au safari zake huwa zinaratibiwa na watumishi wa Ofisi ya Rais (Usalama)? Je, Rais pia huwa anachagua gari specific ya kutembelea au usafiri anaotumia huratibiwa na watumishi wa ofisi yake?
 
Back
Top Bottom