Maana ni kuwa kero zitatuliwe zisiwe za kubebewa mabango,kwani hiyo ni ishara ya kutoridishwa na mambo,au kutokusikilizwa kwa shida za wa husika.Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango?
Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?
Mabango ni haki ya wananchi kueleza kero zao na kama kweli hataki basi tutakuwa tumepata pigo kubwa na huenda uongozi wake ukawa wenye matokea hasi haswa ukizingatia sisi wananchi tunahitaji UHURU na haki ya KUSIKILIZWA.
Uko sahihi sana MkuuMimi nilimsikiliza na nikamuelewa. Alisema hataki kuona mabango akifanya ziara wilayani au mikoani kwa sababu kero za wananchi wa mkoa au wilaya husika zinatakiwa zishugulikiwe na wanaosimamia jukumu hilo kwa niyaba yake ambao ni Mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa.
Hivyo aliyasema hayo ili kuwahamasisha watendaji husika kusimamia ktk kutatua kero za wananchi, kwani kuibuka kwa mabango ya kero za wananchi kunaashiria wahusika hawajitumi ipasavyo ktk kusimamia lero zao.
Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango?
Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?
Mabango ni haki ya wananchi kueleza kero zao na kama kweli hataki basi tutakuwa tumepata pigo kubwa na huenda uongozi wake ukawa wenye matokea hasi haswa ukizingatia sisi wananchi tunahitaji UHURU na haki ya KUSIKILIZWA.
Rais inabidi awe muangalifu sana katika kauli zake ili zisitafsiriwe vibaya.Mimi nilimsikiliza na nikamuelewa. Alisema hataki kuona mabango akifanya ziara wilayani au mikoani kwa sababu kero za wananchi wa mkoa au wilaya husika zinatakiwa zishugulikiwe na wanaosimamia jukumu hilo kwa niyaba yake ambao ni Mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa.
Hivyo aliyasema hayo ili kuwahamasisha watendaji husika kusimamia ktk kutatua kero za wananchi, kwani kuibuka kwa mabango ya kero za wananchi kunaashiria wahusika hawajitumi ipasavyo ktk kusimamia lero zao.
Rejea ile hotuba yake..., mbona hilo lipo wazi??Rais inabidi awe muangalifu sana katika kauli zake ili zisitafsiriwe vibaya.
Mathalani, kauli hii inaweza kutafsiriwa kama anaminya uhuru wa wananchi kujieleza.
Ingefaa kama angefafanua kuwa wananchi wana haki ya kikatiba kueleza mstatizo yao kwenye mabango, ila, anachotaka ni kuona watendaji wanatatua matatizo kabla hayajafika kwenye mabango.
Well said my friend!!!Mimi nilimsikiliza na nikamuelewa. Alisema hataki kuona mabango akifanya ziara wilayani au mikoani kwa sababu kero za wananchi wa mkoa au wilaya husika zinatakiwa zishugulikiwe na wanaosimamia jukumu hilo kwa niyaba yake ambao ni Mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa.
Hivyo aliyasema hayo ili kuwahamasisha watendaji husika kusimamia ktk kutatua kero za wananchi, kwani kuibuka kwa mabango ya kero za wananchi kunaashiria wahusika hawajitumi ipasavyo ktk kusimamia lero zao.
Umemsikia wapi akiongea? Au na wewe unakuja kuanzisha thread kwa maneno ya kusikia kutoka kwenye vijiwe?Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango?
Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?
Mabango ni haki ya wananchi kueleza kero zao na kama kweli hataki basi tutakuwa tumepata pigo kubwa na huenda uongozi wake ukawa wenye matokea hasi haswa ukizingatia sisi wananchi tunahitaji UHURU na haki ya KUSIKILIZWA.
Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango?
Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?
Mabango ni haki ya wananchi kueleza kero zao na kama kweli hataki basi tutakuwa tumepata pigo kubwa na huenda uongozi wake ukawa wenye matokea hasi haswa ukizingatia sisi wananchi tunahitaji UHURU na haki ya KUSIKILIZWA.
Hotuba yenyewe iko wapi? Unaweza kuweka link hapa?Rejea ile hotuba yake..., mbona hilo lipo wazi??
Bravo.Mimi nilimsikiliza na nikamuelewa. Alisema hataki kuona mabango akifanya ziara wilayani au mikoani kwa sababu kero za wananchi wa mkoa au wilaya husika zinatakiwa zishugulikiwe na wanaosimamia jukumu hilo kwa niyaba yake ambao ni Mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa.
Hivyo aliyasema hayo ili kuwahamasisha watendaji husika kusimamia ktk kutatua kero za wananchi, kwani kuibuka kwa mabango ya kero za wananchi kunaashiria wahusika hawajitumi ipasavyo ktk kusimamia lero zao.
In all fairness, hivyo ndivyo alivyosema na pia ndivyo nilivyomuelewa mimi.Ingefaa kama angefafanua kuwa wananchi wana haki ya kikatiba kueleza matatizo yao kwenye mabango, ila, anachotaka ni kuona watendaji wanatatua matatizo kabla hayajafika kwenye mabango.
Sasa hawa wanaoanzisha thread misleading ni kwa ajili ya tongotongo za kawaida za wabongo wasiojua kusoma na kusikiliza au wapo katika kazi maalum?In all fairness, hivyo ndivyo alivyosema na pia ndivyo nilivyomuelewa mimi.
Ahsante mkuu.Raisi alisisitiza kabisa wasizuie wananchi kuandika mabango lakini wahakikishe hizo kero wanazitatua kabla hazijafika kwake, Na akiona bango labda liwe swala la kitaifa,sasa kuna watu wasiopenda kuelewa wamegeuza kauli yake.
... Rais alituma ujumbe kwa wateule wake kwamba wananchi wakibeba mabango maana yake wateule/mteule anayehusika ameshindwa kutekeleza wajibu wake wa kuwaondolea wananchi kero zao hadi kufikia hatua ya kubeba mabango!Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango?