Kwanini Rais hajawapa pole Clouds?

Kwanini Rais hajawapa pole Clouds?

Chadema na wauza poda wana shida sana,tushaambiwa tuchape kazii majungu peleka kwako na familia yako huko.
Chadema inaingiaje wakati watoto wa baba mmoja mnachinjana.
 
Clouds wameshawafukuza(technically) sizonje na kijana wake,sijui watarudi TBC,wanatangatanga tu sasa

Wamekula sana airtime
Hivi unadhani kati ya Sizonje na Clouds nani anamtegemea mwenzie sana kwa uwepo wake ?
 
Waliojipe.ndekeza ccm wataumizwa mmoja baada ya mwingine, wakome, walianza wasanii, sasa wafadhili wao clouds,
Kwaupande mwingine na hao ccm hatuwapendi, na tutasimamia haki itakayowamaliza kwa matendo yao, ngojeeni ripoti ya nape leo saa nane,
 
hahahahah umbea umewaponza acha wakome ,,,,pole yanini wamefiwa?
 
Kwani kumetokea nini? Kama ni Makonda yeye kama MKUU Na wa mkoa alikuwa anakagua Kazi zaо kituo hicho
 
Hao mawingu dawa yao bado nadhani anaichemsha amna rangi wataacha kuona walijidai watoto wamjini wakasahau mjini kuna vichaaa pia🙂🙂🙂
 
Nawahurumia sana Clouds, wamejiharia wenyewe bila kujua kama wameharisha.
 
Hivi unadhani kati ya Sizonje na Clouds nani anamtegemea mwenzie sana kwa uwepo wake ?
Clouds imeishi kabla sizonje hajaja mjini,inaweza kuishi bila mkono wa yoyete isipokuwa mashabiki wake
 
Kituo cha Clouds media juzi kilivamiwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda, watu mbalimbali wamekuwa wakitoa pole na hata maneno ya kuwatia moyo, ajabu hadi sasa sijasikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwapa pole rafiki zake waliomfanyia kampeni ya nguvu nchi nzima.

Rais kama kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano wa kuigwa na upendo kwa wananchi wake wote bila kujali ni rafiki zake au adui wa rafiki yake.


Namkumbusha tu kwamba aelewe kuna kesho, Makonda peke yake asingeweza kumuingiza madarakani kama anavyodhani, atakuja kuwahitaji tena kipindi kingine.
Kituo hakikuvamiwa, bali kilifanyiwa ziara ya kushtukiza.
Neno "kuvamiwa" linatumika ili kuongeza uzito wa hoja.
Kituo kinavamiwaje bila hata umwagaji damu au vioo kuvunjika?
 
Hivi ndugu mbona unakua mgumu kuelewa? Swala la kupigwa au kutokupigwa ni secondary....sio la msingi. Swala la msingi ni mkuu wa mkoa kuvamia kitu cha media usiku akiambatana na maaskari wenye silaha za moto. Kwenye nchi yoyote inayojiheshimu swala kama hilo ni ishara ya kupindua nchi! Jambo kama hili halitakiwi kuchukuliwa kiwepesiwepesi tu eti "Rais amefunga mjadala". No!
Always siku izi mkuu wa mkoa anatembea na maaskari kwa ajili ya kumlinda na hawa wazee wa madawa ya kulevya so alipita pale kufatiria ishu zake na hawo maaskari coz ndo anaambatana nao kila sehem anapoenda na siyo alivamia kituo cha clouds......ww umeona tu video anaingia na askari basi kavamia....
 
Sidhani kama umewahi kufanya hata biashara ya pipi
Wewe umewahi?

Kama umewahi labda ya bangi,maana biashara ya bangi bila kuwa na urafiki na watu wa serikali huvuki Beria barabarani

Hasa huko kwenu Mara
 
Yeye ndo alimuagiza mwanaye kipenzi aende kuwavamia na akampa wale wa makini kiri. Atawapa je pole? Akiwapa pole si ni sawa na kulaani hicho kitendo?
 
Wewe ndio mwenye kucopy mimi evidence zipo na kadi zipo kwa kweli tunakipenda chama chetu kwa hili tutasimama imara wakati tunazungulq mikoani kuomba kura bashite hakuwepo wacha tuongee
Mange kateka akili za watu kibao.....anaaminiwa kuliko rais mtu ambaye anachuki kabisa na makonda na amamkashifu kwa kila aina ya tusi lkn watanzania hawalioni hilo.....asa iv mange kimambi ndo msemaji mkuu akisema kitu watu bila kuchuja wala kutafakari wanaamini moja kwa moja kuwa n ukweli......una ushahidi gani kuwa gsm mall ni wauza madawa.....list ikitolewa na mkuu wa mkoa ni batiri lakini ikitolewa na mange ndo sahihi
 
Nawashangaa sana wanaosema eti pole itolewe kwa ile media watu wanayodai imevamiwa.........
HAKUNA CHA KUVAMIWA WALA NINI,mteja ni mfalme, sioni jipya hapo, tena wa kupewa pole ni aliyeenda pale kufanya alichokifanya maana walikuwa na maelewano binafsi sasa hayakutekelezeka (mi nampongeza, au angerudishiwa****** yake)............

we ukienda mgahawani kuagiza chakula, ukalipia, ukakaa kutegemea kiletwe, kikichelewa sana si unanyanyuka kumfuata mpishi jikoni kulikoni? akileta za kuleta na wakati ni haki yako ile , basi UKO FREE KUFANYA LOLOTE, wasituletee ujinga hapa, kwanza wahusika wanapaswa kuchukuliwa hatua, media biashara sasa yamewatokea puani................ (hakuna aliye msafi)
 
Back
Top Bottom