Kwanini Rais hajawapa pole Clouds?

Kwanini Rais hajawapa pole Clouds?

Wewe ndio mwenye kucopy mimi evidence zipo na kadi zipo kwa kweli tunakipenda chama chetu kwa hili tutasimama imara wakati tunazungulq mikoani kuomba kura bashite hakuwepo wacha tuongee
Tatizo umekuwa follower wa muathirika wa madawa ya kulevya mange unaaminu kila kitu.Jifunze kuwa unafanya reasearch binafsi yule mange ni victim anajua mwisho wake umekaribia ndio maana anaropoka vile.
 
Naona tunakoseana adabu sasa kwa hiyo hata kuvamia kituo pia ni victim please rekebisha kauli yako nchi ni ya watanzania siyo ya magufuli na makonda uelewe hivyo ndio maana alituomba kura wananchi na tunamlipa mshahara kwa kodi zetu
 
Huna adabu inakuwaje u damand adabu twende hivi hivi ki ninja,unaweza nipa source za infor za hao wauza unga waliompa gari makonda ili na unitajie ni wakina nani.(najua utamtaja teja Mange kimambi kwa akili zako zilivyo?)
 
Ulisikia. Nimetaja mange hapa mmekamata mateja anaefanya kazi ya kukamata wauza ni aliyeteuliwa na anafanya kazi kwa weledi sasa umkamatw tid useme anauza unga acheni utani nyie
 
raisi anasema hapangiwi mana hakuchukuliwa fomu na kugombea alichukua mwenyewe ndio na je kura alijipigia mwenyewe akashinda au kura yake moja ingempitisha??? waliompitisha ndio wanaopiga kelele juu ya uchafu unaofanyika yeye kama yeye siyo kila kitu anaweza kuona tena ashukuru watu wanapiga kelele kila kona na ushahidi upo ? video ya yule mwalimu kule mbeya iliposambaa na watu kupiga kelele kila kona waziri wa elimu na waziri wa mambo ya ndani walichukua hatua je tuseme na wao walikosea? kuna walakini hapa tena mkubwa anashindana na gwajima pia hawa clouds media group ndio wajifunze kuwa bibilia ilsha sema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga yake leo waliyemtegmea na kuwafariji kwa kuwapigia simu kawaacha haki ipo kwa Mungu
 
Clouds wameshawafukuza(technically) sizonje na kijana wake,sijui watarudi TBC,wanatangatanga tu sasa

Wamekula sana airtime
Kwahiyo airtime ya TBC walikuwa wanajua itawagharimu.
Matapeli ni shida sana
 
Ulisikia. Nimetaja mange hapa mmekamata mateja anaefanya kazi ya kukamata wauza ni aliyeteuliwa na anafanya kazi kwa weledi sasa umkamatw tid useme anauza unga acheni utani nyie
Wataje sasa ndio maana nin mashaka na wewe unarithi chuki bila kuzielewa
 
Kituo cha Clouds media juzi kilivamiwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda, watu mbalimbali wamekuwa wakitoa pole na hata maneno ya kuwatia moyo, ajabu hadi sasa sijasikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwapa pole rafiki zake waliomfanyia kampeni ya nguvu nchi nzima.

Rais kama kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano wa kuigwa na upendo kwa wananchi wake wote bila kujali ni rafiki zake au adui wa rafiki yake.

Namkumbusha tu kwamba aelewe kuna kesho, Makonda peke yake asingeweza kumuingiza madarakani kama anavyodhani, atakuja kuwahitaji tena kipindi kingine.
Mkata umeme anaamini kwamba wale kalumanzila wa Bashite ndiyo waliomuweka madarakani.

Local people without vision ni Tatizo kubwa.
Fuatilia utaniambia
 
Chadema na wauza poda wana shida sana,tushaambiwa tuchape kazii majungu peleka kwako na familia yako huko.
 
Atawapaje pole wakati kaamua kusimama upande mmoja na mhuni na jambazi!? Mnafiki KAMWE haachi asili! Nawapenda sana Clouds FM! Yeah! Right tell us about it.

Kituo cha Clouds media juzi kilivamiwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda, watu mbalimbali wamekuwa wakitoa pole na hata maneno ya kuwatia moyo, ajabu hadi sasa sijasikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwapa pole rafiki zake waliomfanyia kampeni ya nguvu nchi nzima.

Rais kama kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano wa kuigwa na upendo kwa wananchi wake wote bila kujali ni rafiki zake au adui wa rafiki yake.

Namkumbusha tu kwamba aelewe kuna kesho, Makonda peke yake asingeweza kumuingiza madarakani kama anavyodhani, atakuja kuwahitaji tena kipindi kingine.
 
Clouds wameshawafukuza(technically) sizonje na kijana wake,sijui watarudi TBC,wanatangatanga tu sasa

Wamekula sana airtime
Azam si wamepewa ekari kadhaa za vi wonder....watahamia huko.
 
Azam si wamepewa ekari kadhaa za vi wonder....watahamia huko.
Kule kuna Tido,ameshahoji marais lukuki wenye heshima zao

Hahitaji kiki wala matangazo ya serikali kuendesha Azam,pesa IPO

Labda wameona na kule kuna BMWX6 wanaenda kuiwekea "mazingira" waikwapue
 
Pumbavu.....!!!wacha apige kazi...! Apige kazi gani ?? Hii ya kutuibia ?? Kaanzisha vita ya dhidi ya madawa ya kulevya sawa ...kazi nzuri, kazi ya madawa kakabidhiwa Siang'i .
Kumbe kazi yake ni kupiga mkwara wanaotuhumiwa ambao ni matajiri ili apate fedha,ford range,lexus,x6 Bmw mara fanicha za bei mbaya huko Gsm na mashoom kibao akichukua magari kuhonga madem na nduguze...!! Kwa pesa gani aliyonayo kuwa hivyo vyote na wamu hii ilivyo kumu, hata shamba la matikiti hana, Ndo katumwa hiyo??? Ndo vita anayosema anapambana hiyo??
Kuna mazezeta hapa wanaendelea kusema 'wacha apige kazi'
Tunapinga sana madawa ya kulevya lkn kwa hili siwezi fanywa bwege kama wengine....!!
 
Back
Top Bottom