MTWA
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 1,166
- 168
ukweli mtup!pole ya nini? wakati hakuna ata video moja ambayo inaonesha kuna uharibifu uliofanywa na makonda wowote, zaidi ya makonda kuingia mapokezi.ruge anasema kuna cctv camera kila kona kwenye mjengo.na kama aliweza kusimama mbele ya media yake na kusema uovu wa bwana makonda kwanini anashindwa kuweka na video inayoonesha sudi na timu yake wanapigwa??
hakia nia ya Ruge anajua nafsini mwake mwenyewe. siju elimu yake! ila namwona ni corrupt na kama kiongozi wa media iliyojizolea sifa kama yake kiuongozi hayupo sawa. hayupo balanced na kama hatajua atashanga anacheza ngoma za watu. ana ushabiki fulani. hafai kuwa kiongozi