Pumbavu.....!!!wacha apige kazi...! Apige kazi gani ?? Hii ya kutuibia ?? Kaanzisha vita ya dhidi ya madawa ya kulevya sawa ...kazi nzuri, kazi ya madawa kakabidhiwa Siang'i .
Kumbe kazi yake ni kupiga mkwara wanaotuhumiwa ambao ni matajiri ili apate fedha,ford range,lexus,x6 Bmw mara fanicha za bei mbaya huko Gsm na mashoom kibao akichukua magari kuhonga madem na nduguze...!! Kwa pesa gani aliyonayo kuwa hivyo vyote na wamu hii ilivyo kumu, hata shamba la matikiti hana, Ndo katumwa hiyo??? Ndo vita anayosema anapambana hiyo??
Kuna mazezeta hapa wanaendelea kusema 'wacha apige kazi'
Tunapinga sana madawa ya kulevya lkn kwa hili siwezi fanywa bwege kama wengine....!!