princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,355
Hivi hamjamjua kuwa Mh sio mtu wa mchezo mchezo?
anaweza kabisa akatoka alikotoka akawape pole?
badala akaangalie ujenzi akawape pole akina ruge, kwani waneuchinjwa[emoji23][emoji23]
Aende makonda akawape pole! ndugu zake!
mtajiumiza sana , kama hamjamsoma Rais ni mtu wa aina gani