Kwanini Rais anatudanganya?

Kwanini Rais anatudanganya?

1: asiyetaka kulipa 200 na apige mbizi kuja posta. Kilichofuata kununua boti chakavu kwa mabilioni pamoja na kukusanya hiyo 200.

2: Matajiri waliishi kama malaika nitahakikisha wanaishi kama mashetani. Kilichofuta walioficha pesa wazitoe niwape maeneo wajenge viwanda.

3: Walioficha sukari wala hawazidi kumi nitawashugulikia kweli kweli. Kilichofuata TPA mpeni sukari yake Bakhiresa wala isilale leo.

4: Mafisadi wakinishinda msiniite Rais . kilichofuata wazee wangu nitawalinda.

5: Kuna watu walisafiri sana kwenda ulaya kuliko walivyosafiri kwenda kuona wazazi wao nyumbani. Kilichofuata hata Bukoba hajafika pamoja na kuwa ni karibu na nyumbani.

6: Watu watetemeke kujenga Nyumba zao wasisubiri serikali tetemeko alijaletwa na Ccm. Kilichofuata ni kuwakamata wapinzani wanaotoa misaada na kuwahoji na kuwazuia..

7: Waliofukuzwa udom ni Vila.za waende watafute vyuo size yao. Kilichofuata msinidrive msinidrive wanaohitaji msaada ni wengi, wakati huo hata dawa na chanjo hospital hakuna .

8: Wanaolalamika walizoea vya bure nitaendelea kuwashugulikia kweli kweli . kilichofuata kutoka bank kuu na bandari hali ya uchumi ni mbaya sana .

9:Nasikia kuwa watalii wanakuja na kukomea kwenye vinchi vya ajabu ajabu. Kilichofuata KDF wakapeleka misaada kagera kabla hata ya Serikali kufika.

10: Ningelikuwa Mimi ningeliwapoteza karibu nusu yao . kilichofuata bado tunakisubiri kama anaweza au laa.

Kuweka matumaini kwa kiongozi kinyonga kama huyu inaitaji moyo wa chuma ..

Alafu ndio eti anatupeleka kwenye serikali ya viwanda sitaki hata kuamini ..

View attachment 424404

Namba sweven umikosea, "mwenyekiti nchi inakwenda kama gari bovu" musinidiraivu
 
Ujenzi wa nchi si kama ujenzi wa nyumba, ujenzi wa nyumba una mwisho. Lakini ujenzi wa nchi hauna kikomo alianza mwl akajenga hakumaliza akamwachia mwinyi, vivyo mwinyi naye hakumaliza akakabidhi kijiti kwa upara, upara mpaka anamaliza awamu yake hakumaliza kuijenga nchi aliisogeza mahali Fulani mkwere naye akajikongoja mwisho wa siku kaachia kijiti kwa msema kweli mpenzi wa mungu. Huyu bwana naye atajenga ila hatamaliza make nchi sio nyumba.
 
Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .

Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .

Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.

Pasco
Marais wengi ni waongo hata Rais wa TFF
 
Mkuu Pasco Mtu anayekupa taarifa ya ambayo haiko sahihi utamuitaje?

Ukaguzi maalumu uliofanywa na ofisi ya CAG katika kipindi cha mwaka wa fedha 2010/11 na 2011/12 umebaini kuwa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, bungeni Novemba 2013 kuwa fedha hizo zilitumika kwa miradi ya ujenzi wa barabara, haikuwa sahihi.

Ufisadi wa kutisha waibuliwa

Rais wa nchi ni kama baba wa familia, anahitaji kuheshimiwa.

Hata akikosea anakosolewa kwa heshima fulani.

Hata akidanganya haitwi muongo.

Hata akichelewa kwenye shughuli haambiwi kachelewa maana mkubwa hachelewi bali anakuwa hajafika.

Simaanishi Magufuli ni malaika au hawezi kufanya makosa, Magufuli naye ni binaadamu tuu kama binaadamu wengine na siku zote binaadamu ni viumbe dhaifu, hivyo Magufuli naye ana madhaifu yake ikiwemo kupenda misifa, kuropoka na kufanya maamuzi ya papara na kukurupuka ila kwa vile ndie kiongozi Mkuu wetu kuna mambo ambayo hatupaswi kuyasema ikiwemo kumuita rais ni muongo hata kama ni kweli ni muongo.

Hata majumbani mwetu baba ambaye ni kichwa cha nyumba, ana madhaifu mengi ambayo mama huyajua lakini hayasemi hadharani.

Kuna namna ya ukosoaji wa heshima wenye lengo la kujenga, a constructive criticism ambao hufanywa in good faith na kuna ukoasoaji wa udhalilishaji ambao hufanywa in bad faith, ridiculously kumdhalilisha, kumjengea chuki, achukiwe, kumshushia heshima etc ambayo japo is the truth but the motive behind is ill motive.

Simaanishi sasa ndio wote kazi yetu iwe ni kumuimbia nyimbo za sifa na mapambio, no tumkosoe kwa heshima na kwa nia njema kabisa kwa lengo la kumrekebisha na kumsaidia na sio kumdhalilisha.

Tanzania ni yetu sote, sio Tanzania ya Magufuli pekee, we all have a role to play and a responsibility of duty of care kujenga na sio kubomoa.

Katika kujenga nchi the motive iwe ni kujenga kila kitu ikiwemo kujenga watu akiwemo rais anahitaji kuendelea kujengwa na sio kubomolewa tuu.

Japo nafahamu katika kujenga, kuna sehemu itakubidi ubomoe ndipo ujenge, ubomoaji huo hufanyika kwa makini sana ili usibomoe kusiko husika na kila ubomoaji huo ukifanyika hufuatiwa na ujenzi papo kwa papo! .

Nitapenda kuiona jf ya hivyo, wale waashi mahiri wa jf ambao kazi yao ni kubomoa tuu, wapewe jukumu la kujenga pia sio kila siku wao ni kubomoa tuu, mwisho watapewa sifa ya kuitwa wabomoaji tuu ili hali tuna wajenzi imara na mahiri humu tena waliopitia kozi za uanagenzi kwa wale mahiri kabisa.

Mungu Ibariki Tanzania.

Pasco.
 
Jiulize kwanini Mwalimu aliheshiwa na anaendelea kuheshimiwa na Watanzania sana hata baada ya miaka 17 baada ya kufariki? Jibu ni kwamba Mwalimu pamoja na kukaa madarakani miaka 23 hata kwa sekunde moja hakuthubutu kuwatusi Watanzania au kuwadharau kwa namna yoyote ile kama kuwaita vil.aza, mashetani etc. Huyu mwingine in less than year kisharusha matusi dhidi ya Watanzania ambao hawajamkosea chochote na hawala hawakustahili kutukanwa.

Hizo lugha kwanza sio matusi, vilaza au mashetani ni maneno tuu, kama kuna kiongozi aliwatukana Watanzania ni Mkapa siku ile Jangwani alipoita watu Wapumbavu.

Huyu Msukuma, hivyo vineno ni vineno vya kawaida kwa Ngw'ana Ngosha.

Sema Nyerere alikuwa na lugha tamu na laini wakati Magufuli ana lugha ngumu iliyokaza. Nyerere aliwahi kuita watu "Mazuzu ", aliwahi kuita watu Wajinga, aliwahi kuita watu Wapumbavu na aliwahi kusema viongozi wetu wanafanya "madudu" ila aliyasema yote hayo kwa lugha fulani ambayo haitii hasira.

Nyerere ni Nyerere na Magufuli ni Magufuli, kila mtu hivyo alivyo ni ndivyo alivyo, tusimlazimishe Magufuli awe Nyerere au ajifanye Nyerere, the best thing to do is to appreciate the situation kuwa huyu yuko hivi, the sooner we accept the better, ibaki kazi ya kumrekebisha kiungwana, kistaarabu kwa lugha ya staha, na amini nakuambia, atajirekebisha kidogo kidogo, mfano mzuri ni zile papara za utumbuaji wa mwanzo mwanzoni unaziona tena? .

Akabadilika tuu, hata kama yeye hataki kubadilika, then muda utambadilisha tuu, human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time, if he won't change with time, then time will change him. Tumpe muda.
Pasco
 
Akiwa mkweli ataitwa mkweli na akiwa muongo ataitwa muongo hakuna sababu ya kumpa muda wa kubadilika. Kwa mfano aliposhika biblia na kuapa kwamba atailinda na kuiheshimu katiba ya nchi halafu kutenda kinyume na kiapo chake aliudanganya umma wa Watanzania ndiyo alisema uongo. Hakuna sababu yoyote na kutaka kuuremba uongo wake au kuupaka mafuta uzuri.

Hizo lugha kwanza sio matusi, ****** au mashetani ni maneno tuu, kama kuna kiongozi aliwatukana Watanzania ni Mkapa siku ile Jangwani alipoita watu Wapumbavu.

Huyu Msukuma, hivyo vineno ni vineno vya kawaida kwa Ngw'ana Ngosha.

Sema Nyerere alikuwa na lugha tamu na laini wakati Magufuli ana lugha ngumu iliyokaza. Nyerere aliwahi kuita watu "Mazuzu ", aliwahi kuita watu Wajinga, aliwahi kuita watu Wapumbavu na aliwahi kusema viongozi wetu wanafanya "madudu" ila aliyasema yote hayo kwa lugha fulani ambayo haitii hasira.

Nyerere ni Nyerere na Magufuli ni Magufuli, kila mtu hivyo alivyo ni ndivyo alivyo, tusimlazimishe Magufuli awe Nyerere au ajifanye Nyerere, the best thing to do is to appreciate the situation kuwa huyu yuko hivi, the sooner we accept the better, ibaki kazi ya kumrekebisha kiungwana, kistaarabu kwa lugha ya staha, na amini nakuambia, atajirekebisha kidogo kidogo, mfano mzuri ni zile papara za utumbuaji wa mwanzo mwanzoni unaziona tena? .

Akabadilika tuu, hata kama yeye hataki kubadilika, then muda utambadilisha tuu, human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time, if he won't change with time, then time will change him. Tumpe muda.
Pasco
 
Rais wa nchi ni kama baba wa familia, anahitaji kuheshimiwa.

Hata akikosea anakosolewa kwa heshima fulani.

Hata akidanganya haitwi muongo.

Hata akichelewa kwenye shughuli haambiwi kachelewa maana mkubwa hachelewi bali anakuwa hajafika.

Simaanishi Magufuli ni malaika au hawezi kufanya makosa, Magufuli naye ni binaadamu tuu kama binaadamu wengine na siku zote binaadamu ni viumbe dhaifu, hivyo Magufuli naye ana madhaifu yake ikiwemo kupenda misifa, kuropoka na kufanya maamuzi ya papara na kukurupuka ila kwa vile ndie kiongozi Mkuu wetu kuna mambo ambayo hatupaswi kuyasema ikiwemo kumuita rais ni muongo hata kama ni kweli ni muongo.

Hata majumbani mwetu baba ambaye ni kichwa cha nyumba, ana madhaifu mengi ambayo mama huyajua lakini hayasemi hadharani.

Kuna namna ya ukosoaji wa heshima wenye lengo la kujenga, a constructive criticism ambao hufanywa in good faith na kuna ukoasoaji wa udhalilishaji ambao hufanywa in bad faith, ridiculously kumdhalilisha, kumjengea chuki, achukiwe, kumshushia heshima etc ambayo japo is the truth but the motive behind is ill motive.

Simaanishi sasa ndio wote kazi yetu iwe ni kumuimbia nyimbo za sifa na mapambio, no tumkosoe kwa heshima na kwa nia njema kabisa kwa lengo la kumrekebisha na kumsaidia na sio kumdhalilisha.

Tanzania ni yetu sote, sio Tanzania ya Magufuli pekee, we all have a role to play and a responsibility of duty of care kujenga na sio kubomoa.

Katika kujenga nchi the motive iwe ni kujenga kila kitu ikiwemo kujenga watu akiwemo rais anahitaji kuendelea kujengwa na sio kubomolewa tuu.

Japo nafahamu katika kujenga, kuna sehemu itakubidi ubomoe ndipo ujenge, ubomoaji huo hufanyika kwa makini sana ili usibomoe kusiko husika na kila ubomoaji huo ukifanyika hufuatiwa na ujenzi papo kwa papo! .

Nitapenda kuiona jf ya hivyo, wale waashi mahiri wa jf ambao kazi yao ni kubomoa tuu, wapewe jukumu la kujenga pia sio kila siku wao ni kubomoa tuu, mwisho watapewa sifa ya kuitwa wabomoaji tuu ili hali tuna wajenzi imara na mahiri humu tena waliopitia kozi za uanagenzi kwa wale mahiri kabisa.

Mungu Ibariki Tanzania.

Pasco.
Thanks a million.

Komenti yako imejaa uzalendo, hekima na busara.

Mwenye kutaka kujifunza ulichokiandika ataelimika vizuri lakini mwenye kudhani anaelewa na kuanza kupinga komenti yako hii, huyo kama ulivyosema atakuwa mshusha heshima na mjenga chuki ili Rais achukiwe bila sababu ya msingi.

Kwa mtu anayefahamu vizuri mazingira na siasa za Tanzania ataelewa kuwa Tanzania itakuwa na Rais Magufuli mpaka 2025 labda tu Mwenyezi Mungu ampende zaidi kabla ya muda huo.

Kutaka kujenga chuki hakuwezi kumfanya Rais Magufuli aachie kiti na mbaya zaidi, hata akiamua kutofanya kazi za manufaa kwa taifa, hakuna uwanja ulio wazi na mpana wa kumwajibisha kisheria zaidi ya kusubiri mpaka muda wake utakapomalizika kikatiba lakini vile vile hata Katiba katika Ibara ya 46(1-3) inazuia kumshitaki kwa sababu ya ''madudu'' aliyoyafanya wakati akiwa Rais wa Tanzania.
 
Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .

Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .

Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.

Pasco
Wacha uongo msukule katoliki
 
wala haiifuti kuwa hakusema uwongo ndio rais ni mwongo na pili hana busara na hekima fullstop
 
Back
Top Bottom