mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 956
Acha uchochezi braza watu wanajitolea kwa nguvu zao unakuja na maneno yako ya chooni.angalia sana upo huru lakini heshimu mipaka
Mmmh!ngoja tusubiri kama atatimiza ahadi zake kweli kama inavyosemwa.Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.
Pasco
Kama wote tutasubiri tuu ili tuone kama atatimiza, tutasubiri sana, hivyo hoja sio kusubiri tuu bali kushiriki katika utekelezaji. It can only be done if everybody will play his part!.M
Mmmh!ngoja tusubiri kama atatimiza ahadi zake kweli kama inavyosemwa.
Si vema kusema Rais muongo.
Pasco na wewe unataka ukurugenzi wa habari pale kwa mkulu? Kazi ndogo tu kamfungie Jesca kamba za viatu kama yule chizi wa Dar kwa LiziwaniWho are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.
Pasco
Hivi [emoji83] amekusahaw Kwenye ukuu wa kata?Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.
Pasco
PascoWho are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.
Pasco
Hapo kwenye. .........weka[emoji83]mbiNjia ya .... ni fupi
Ya kwenda kwenye tetemeko auBado naona safari ni ndefu sana
Kumbe unamaanisha[emoji196]The Boss is always right.
Pasco
Kwahiyo n.a. we unaungana na pascalPasco ukifuatilia posts za huyu jamaa ni kumkashfu Presida na kumsifia Godbless Lema hivyo jibu unalo