Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika. hayo maneno Jamhur ya Muungano wa Tanzania hayapo Kwenye uzi umeyaongeza wew kaka Pasco. Angeyataja ingekua na tafsir nyingne tofaut. Labda anamuongelea Rais wa Rwanda au Burundi. Nmeongea kwa muktadha wa sheria
Pasco