MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
hata kama hupendi alicho andikia kama mimi ,mbona umehamaki kama umeulizwa wewe..!!
Pasco ni mnafiki namba wahead! Ameandika asichokiamini, mpuuze tu, hana jipya!
hata kama hupendi alicho andikia kama mimi ,mbona umehamaki kama umeulizwa wewe..!!
Mkuu Yoga, ni kweli tena sio tuu nilizaliwa wakati wa njaa, bali maisha yangu yote ni ya ki njaa njaa, naishi kwa kuchakura chakura ndipo nile.Nakufahamu sana kaka yangu!!!
"Ulizaliwa wakati wa njaa"!!! Thats what he said to you, when he was answering your question!!!
Mkuu MTK, human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time.Pasco ni mnafiki namba wahead! Ameandika asichokiamini, mpuuze tu, hana jipya!
Mkuu MTK, human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time.
Unakijuaje ninacho kiamini moyoni mwangu hadi kudhania nimeandika nisicho kiamini? .
Paskali
Zinapenya vby sana,na nyie mbona mnarudia rudia khs lowasa?HV c mmeshaanza kesi kule?au bado upelelezi haujakamilika?Muongooooo.hii kitu haijawahi mama yangu.mna kazi asee,na anawabebeshaa???Pumzi imekata naona, hamna hoja mpya??? Mbona mnarudia rudia zile zile?? Naona mmebanwa penyewe!!
14.wanafunzi wote wa elimu ya juu watapata mikopo wakati... kilichofata ni wahitaji wengine kusomeshwa na wana instag..ram na wengine wamerudi kwao11. serikali yangu haitakuwa ya michakato... kilichofuata tangu mwezi Wa 4 hadi Leo mchakato Wa watumishi hewa haujaisha...
12.nasitisha nyongeza za mishahara, upandaji Wa vyeo na ajira mpya kwa mwezi mmoja au mmoja na nusu Haitazid miwili.. kilichofuata.. hadi Leo miezi miwili haijaisha
Mkuu MTK, umenifurahisha na hiyo "call a spade a spade"Pasco ni kweli times change as well as human positions on a variety of issues, BUT changing to the extent ya kumkaripia mleta mada bordering on Vitisho, blanket style, pasi na counter argument kwa hoja zake au unafunika kikombe mwanaharamu apite?! Pasco, call a spade a spade not a BIG spoon!
List ni ndefu mno14.wanafunzi wote wa elimu ya juu watapata mikopo wakati... kilichofata ni wahitaji wengine kusomeshwa na wana instag..ram na wengine wamerudi kwao
We vipi na mimi namuunga mkono. Ndyo nimuongo. Nipo tiyari kutoa ushahidi wa uongo wake.Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.
Pasco
MkuuWe vipi na mimi namuunga mkono. Ndyo nimuongo. Nipo tiyari kutoa ushahidi wa uongo wake.
Ni kosa vilevile kutomwita mtu mwongo mwongo!Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.
Pasco
Nwasiwasi na Elimu yako ya Sheria uliyoipata either hauitumii kwa muda mrefu means umeipotezea so umeisahau kabisa au imekutoka Kichwani... Neno Muongo tafsiri yake ni rahisi sana na wala haihitaji kamusi... ni mtu anayekuambia habari Isiyo ya kweli... So Mtoa Mada anatakiwa achambuliwe kwa hilo neno Uongo... Sasa Kama Raisi kasema jambo fulani na ukitizama kwa jicho la pili unakuta ni tofauti na aliyoyasema hapo aitwe nani basi kwa jina la Kisheria au watu waseme Inshallah tu?Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.
Pasco
Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.
Pasco
Nachoweza kusema awe anaweka akiba ya maneno na achunge sana kauli zake kama mtu wa mwisho.....!! Anajidanganya sana!