Kwanini Rais anatudanganya?

Kwanini Rais anatudanganya?

Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .

Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .

Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.

Pasco
Hahahaha alisema katika serikali yake hakuna mwanafunzi atakaye kosa mkopo. Ja hapa hakuna time frame?
 
Ningemuona wa maana sanasana kama katika wazo lake lakufufua ATC angebadili gia ya angani na kuingiza gia ya rivasi arudi nyuma nikimaanisha aanzie Dar kuifumua hii reli ya mkoloni atuwekee reli mpya na mabehewa mapya ili asaidie kufufua shirika hili linalobeba walalahoi.
Hapa angepongezwa hata na mimi kwa kufanya maamuzi yaliyo sahihi.
 
kumbe ndio maana naendelea kujiuliza hivi wewe uko na ELIMU YA JUU?

swissme
Mimi nilisoma mpaka daasa saba enzi za UPE, nikapasi lakini sikuchaguliwa, hivyo nikaishia hilo la saba.

Hata hivyo nikajiendeleza kwa kujisomea vitabu, majarida na machapisho mbali mbali, kisha nikajiunga na Elimu kwa Njia ya Posta na kumalizia Elimu ya Watu Wazima na nilisomea lile darasa la kule juu, hivyo hiyo elimu inayotolewa kule juu,yaani elimu ya Juu ninayo.

Hivyo najua kusoma, kuandika na kuhesabu mpaka 100, pia najua Kiingereza cha kusalimia na kuombea maji.

Pasco
 
Magufuli is a country bumpkin.
Hizi lugha za watu sisi wengine zinatupa shida. Kwa vile Magufuli ndie rais wetu, hili jina la rais ulilolitumia wewe la bumpukini ndio jina la rais kwa kilugha gani tena vile? .
Pasco
 
Mimi nilisoma mpaka daasa saba enzi za UPE, nikapasi lakini sikuchaguliwa, hivyo nikaishia hilo la saba.

Hata hivyo nikajiendeleza kwa kujisomea vitabu, majarida na machapisho mbali mbali, kisha nikajiunga na Elimu kwa Njia ya Posta na kumalizia Elimu ya Watu Wazima na nilisomea lile darasa la kule juu, hivyo hiyo elimu inayotolewa kule juu,yaani elimu ya Juu ninayo.

Hivyo najua kusoma, kuandika na kuhesabu mpaka 100, pia najua Kiingereza cha kusalimia na kuombea maji.

Pasco
hata Mh waziri jiran ya lissu nae alitokwa udenda kama wewe.bado najiuliza hivi kweli una Elimu ya juu?jibu ndio au hapana na kama ndio njoo na ushahidi.MUANDISHI.

SWISSME
 
hata Mh waziri jiran ya lissu nae alitokwa udenda kama wewe.bado najiuliza hivi kweli una Elimu ya juu?jibu ndio au hapana na kama ndio njoo na ushahidi.MUANDISHI.

SWISSME
Ninayo elimu ya Juu niliisomea lile darasa la juu pale Elimu ya Watu Wazima, na elimu hiyo nimeengiza kichwani kwangu na ninayo, ukitaka ushahidi wa maandishi pia upo, fika tuu pale jengo la Elimu ya Watu Wazima, mlangoni kulia kuna ubao wa matangazo, pameandikwa darasa la Elimu ya Watu Wazima liko juu ghorofa ya 4.
Pasco
 
Ninayo elimu ya Juu niliisomea lile darasa la juu pale Elimu ya Watu Wazima, na elimu hiyo nimeengiza kichwani kwangu na ninayo, ukitaka ushahidi wa maandishi pia upo, fika tuu pale jengo la Elimu ya Watu Wazima, mlangoni kulia kuna ubatili wa matangazo, pameandikwa darasa la Elimu ya Watu Wazima liko juu ghorofa ya 4.
Pasco
ok

swissme
 
ok
swissme
Thanks kwa kulielewa hili, watu msituone hivi mkadhania tumesomea elimu zetu kwenye madarasa ya chini tuu, tumesomea hadi madarasa ya juu ghorofani hivyo elimu ya Juu pia tunayo.
Pasco
 
Thanks kwa kulielewa hili, watu msituone hivi mkadhania tumesomea elimu zetu kwenye madarasa ya chini tuu, tumesomea hadi madarasa ya juu ghorofani hivyo elimu ya Juu pia tunayo.
Pasco
sijakuelewa kwasababu hoja zako zote ni sawa yule bwana jirani yake lissu.

swissme
 
sijakuelewa kwasababu hoja zako zote ni sawa yule bwana jirani yake lissu.
swissme
Pole ni tofauti tuu za uwezo wa uelewa.
Kuna watu humu jf, kuwaelewa, kunakuhitaji uwe na level fulani ya uelewa.
Pasco
 
P
Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .

Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .

Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.

Pasco[/QUOT
Sure!! Rais hawezi kuwa mwongo
 
Uzuri wa viongozi wa africa hawanaga aibu, ingekuwa viongoz wa africa wana aibu wangekuwa wamejiudhuru wengi sana asee
 
Back
Top Bottom