Kwanini Paschal Mayalla amekuwa mnafiki?

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.

Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea

Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.

Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.

Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.

Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.

Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
 
Wanabodi,kama kuna mtu ambae apo siku za nyuma asa awamu ya nne alionekana kua mahili wa kuhoji serikali na kuisahiisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayala. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi asa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk. Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayala aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekua mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea ..
Imefika muda mpaka Paschal Mayala amekua muabudu mtu nasio MUNGU. Pschal Mayala amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana. Amewawai kuandika kua Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekua akianda mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kua tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa..huu niunafika.
Sasa leo Paschal Mayala anasema Tanzania aikuwai kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo ...basi hii ikimanisha kua viongozi waliotangulia wote walikua roho mbaya.
Paschal ameamua kua mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
Kumtetea Msukuma mwenzake (ingawa JPM siyo msukuma per se)
 
Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.

Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea

Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.

Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.

Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.

Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.

Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
Njaa imemzidia
 
a

ANATAKA uteuzi
 
Pascally ni njaa inamsumbua tu hakuna lugha rafiki unayoweza kuitumia kumuelezea Pascally
nimeamini baadhi ya watanzania sasa wamekosa uwezo wa kusoma na kusikiliza kwa makini. hata hoja ya kaka pasco kweli inahitaji ufafanuzi?

kumbuka kwamba ndani ya maneno hayo kutoka katika mada ya Pasco kuna hizi alama hizi "......." na ninajua unajua matumizi ya hizo alama
 
we kijana tumesoma shule may be hata kabla ya walimu wako hawajazaliwa, leo unatufundisha alama!
 
Shida Paskali anaonekana mnafki kwa namna unavyo muelewa wewe na sio namna ninavyo muelewa mimi

Tatizo ndio linaanzia hapo
Justice should not only be done but should manifestly be seen to be done... tunataka hilo lonekane, siyo mamo ya kumwelewa
 
Back
Top Bottom