Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Inashangaza mpaka wa leo wapo ambao hawajamsoma jamaa.
Tatizo vijana wengi ni wa juzi, hawakuwepo zile enzi za 'kiti moto'.
Sasa hapo nakuelewa..wahenga tunawadekshia tu
Inashangaza mpaka wa leo wapo ambao hawajamsoma jamaa.
Tatizo vijana wengi ni wa juzi, hawakuwepo zile enzi za 'kiti moto'.
Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.
Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea
Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.
Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.
Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.
Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.
Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
Mkuu kweli siyo msukuma?
na baadae apewe kuongoza Kurugenzi.Ajabu ni kuona kuwa na wewe huelewi nini maudhui ya makala za Pasco, kwa kifupi Pasco huwa anatupa bomu la machozi kwenye handaki halafu yeye anakaa pembeni kuangalia Nini kitatoka huko ndani ...Njaa Mkuu imezidi kuwa kali.
Ajabu ni kuona kuwa na wewe huelewi nini maudhui ya makala za Pasco, kwa kifupi Pasco huwa anatupa bomu la machozi kwenye handaki halafu yeye anakaa pembeni kuangalia Nini kitatoka huko ndani ...
Ulishaona au kusikia msukuma ana roho ya shetani ?Mkuu kweli siyo msukuma?
Kiufupi Pascal Mayala sio mnafiki.Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.
Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea
Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.
Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.
Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.
Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.
Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
mkuu ulitaka akuabudu wewe atakuwa ameshamuelewa mzee babaWanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.
Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea
Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.
Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.
Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.
Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.
Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
Shida Paskali anaonekana mnafki kwa namna unavyo muelewa wewe na sio namna ninavyo muelewa mimi
Tatizo ndio linaanzia hapo
Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.
Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea
Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.
Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.
Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.
Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.
Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
Pascal Mayalla ni bonge moja wa mnafikiWanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.
Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea
Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.
Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.
Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.
Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.
Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
🤔🤔🤔....!...katika zama hizi za 'wasiojulikana' ni vigumu sana kumtenganisha Pasco na mabosi wa 'wasiojulikana'.
🤔🤔🤔....!!Pigo kubwa la Pasco ni pale Mamvi alipokosa Urais ambao Pasco mpaka kesho kutwa anakiri kuwa Mamvi alichezewa off-side 'trick' ya kufa mtu, lakini kwakuwa alijiandaa kuongoza ile 'KURUGENZI' ya pale mjengoni matumaini yakayeyuka na Mzee baba akamfanya Pasco awe 'NJAA' kama jina lake lilivyo.
Pasco alishaingia makubaliano na mamvi kuwa akishaingia ikulu, Pasco ahamie People's powerna baadae apewe kuongoza Kurugenzi.![]()