Kwanini Paschal Mayalla amekuwa mnafiki?

Huyo ana vyeo vingine pia zaidi ya mnafik, huyo pia ni fataani, mzandik, muongo na punguani, kwa uchache.
Dada bila shaka umenielewa katika ili..unafiki wa Pascal si mzuri kabisa.Alafu wanasema eti anatumia sarcasm..kwani kuna aja gani tena ya kufanya hivyo kama sisi unafiki.
 
Pascal Mayalla ni kazi sana kumwelewa, kimsimamo bado yuko vile vile sema mpaka uwe GT ndiyo utamwelewa. Haya yote ni katika kulinda maslahi na uhai wake. Nani anapenda kupotezwa aka kutekwa
 
Watu wanataka uwaze kama wao
Watu wanataka uwe na mawazo yasiyobadilika
Watu wanapenda kusikia wanayotaka tu
Watu wanakuona una akili tu ukiwa na mawazo sawa nao
 
Mimi mrufiji ila nitamtetea msukuma pascal mayala mpaka mwisho.
Na uretezi wangu ni huu,mnaompinga hamjawahi"kuyasoma"maandishi ya pasco mnayapitia tu!
Read btn lines uramuelewa na ura enjoy maandishi yake na uyasome ukiwa na uwezo mpana wa kujua mambo kama ukiwa pin head hutojua kitu
 
Uramuelewa ndy lugha gani mkuu?

Ova
 
Back
Top Bottom