Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.
Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea
Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.
Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.
Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.
Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.
Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
Mkuu wee endelea na justice zako na mimi niendelee kumwelewaJustice should not only be done but should manifestly be seen to be done... tunataka hilo lonekane, siyo mamo ya kumwelewa
Ohoooooooo!!!!Mkuu kweli siyo msukuma?
Njaa haina baunsa !Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.
Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea
Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.
Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.
Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.
Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.
Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
Mkuu kweli siyo msukuma?
Mimi ninavyosoma nyuzi zake naona kama huwa anatumia lugha ya kufumba fumba hivi, ni kama zile katuni za Masudi ila yeye huweka kimaandishi.
Nyie watu mnataka atekwe?Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.
Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea
Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.
Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.
Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.
Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.
Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
Inashangaza mpaka wa leo wapo ambao hawajamsoma jamaa.There u r...yaan mm nachekaga mwanzo mwisho..nashangaa kwann watu huwa hawamuelewi..kifupi Paskali anapaka mafuta kwa mgongo wa chupa..!msomen vzr mtamwelewa..Paskal wala hatak hata hvyo vyeo vyao...!