na akienda muscut wanambagua wanamwona kama nyani. wanaishia kutumikishwa tu kama watumwa. huwa nawaonea huruma sana na waarabu ni watumikishaji balaa. kuna migahawa mingi hapa dsm ya waarabu utakuta wameajiri mababa mazima ya kibantu, libaba lijitu lizima linatuhudumia chai, wali, biriani,pilau yaani hadi unawaonea huruma na wao wameridhikaaa kuwa karibu na mwarabu wanajiona kana kwamba na wao wamekuwa waarabu vile na hadi lafudhi imebaidilika wanaongea kama mwarabu. wanatumikishwa kama watumwa mwarabu kakaa mezani kuandika risiti tu na kupokea hela. hii dunia hii///
Walio ijenga oman ni wazanzibar kama hufahamu wewe, baada ya mapinduzi walio Ondoka kutokana na ubaguzi wa viongozi wakati huo, oman haikuwa na wasomi wengi na miaka ya 1964 oman ilikuwa jangwa maisha magumu sana, hata hayo mafuta wameanza miaka 30 ilipita kuwafaidisha.
Hivyo hivi sasa katika serikali ya oman kuna mawaziri ambao wasomi wwlisomeshwa na serikali ya zanzibar, hivi Ndio maendeleo yalopatikana.
Oman inatambua history ya zanzibar na watu wake, wana watambua wazanzibari kama Ndugu zao, hivi sasa oman inatoa scholarship kila mwaka kwa zanzibar watu 50, pia kuna scholarship nyengine zinatoka ndani ya oman kwa wazanzibari, UnafanyA maombi kwao.
Kuna msikitini mkubwa ambao utakuwa unatoa elimu ya dini zanzibar unajengwa na oman.
Na mengine yanakuja ila kutokana kutokuwa na serikali aminifu, na isio na ubaguzi Ndio ilichangia oman hapo nyumba kushindwa kutoa misaada.
Ukiwa muarabu wewe zanzibar Unaonekana mpinzani, na Sultani, Mpaka leo ndani ya Bunge kuna ubaguzi, juzi keisy kaitwa muarabuuu.