Kwanini Oman wamewatosa Wazanzibari?

Kwanini Oman wamewatosa Wazanzibari?

Ukijifanya mwarabu wakati wewe ni mweusi, ukivaa kanzu, ukivaa kilemba kichwani ukidhani kuwa ni matakwa ya dini wakati ni desturi ya watu wa mashariki ya kati, basi wewe unakwenda mbinguni ukifa
Mbona wewe unavaa nguo hutembei uchi au vaa kingozi ? Nguo ni asili yenu?
 
Uarabu ni uarabu na uislam ni uislaam, uarabu hauwezi kuwa uislaamu na uislaam hauwezi kuwa uarabu? Sasa kuna mjinga mmoja hapa anachanganya uislaamu wake na uarabu mpaka anakera.
 
ninachoshangaa, hizo hela za kujenga mitaa kama hiyo watazipata wapi, mafuta wanayodai yapo imekuwa confirmed hakuna hata tone la kujipaka, wanategemea utalii wakati wazungu wanaokuja kutalii wanawamwagia tindikali na wameanza kupungua soon hotel nyingi zitafungwa na wazanzibari watabaki wakitegemea mapato ya pesa za madawa ya kulevya au misaada inayotoka kwa magaidi. zanzibar haina future wakiondoka kwenye muungano. mtakuja kujuta na mtakuwa mmechelewa.
Tambua Wazenji ni Mabingwa wa Ulalamishi Duniani hawana mpinzani ,pili ni wajuaji Hakuna mfano, Ni Nchi gani itaweza kuwavumilia? Oman wao ni wachapa kazi, hawakai vibarazani kupiga soga, kunywa Gahawa na kucheza bao,Oman hawawezi kuwataka Zenji hata kwa nini kwani Zenji inalishwa na Tanganyika kwa 96% pesa zinatoka hazina kuendesha Serikali na huduma za jamii, Tanganyika ina rasilimali nyingi ikiwemo rasilmali watu, hata wazenji wengi wanaishi Tanganyika wanapata pesa huku wanawahudumia ndugu zao wa zenji, Zenji ni ka-Nchi kadogo sana lakini cha ajabu kana Wabunge Utitiri ! Eneo la mbunge Zenji ni sawa na eneo la m/kiti wa kitongoji huku Tanganyika,Wabunge wa zenji wanatafuna Posho Dodoma, lakini wabunge wa Tanganyika ni marufuku kusogea baraza la wakilishi ( yaani ni Changu ni changu chako ni cha wote ) Tanganyika ni koloni la Zenji Pia ni buzi inachunwa na zenji mpaka haijitambui ! Wazenji ni wabaguzi kule zenji Myanganyika ni marufuku kumiliki kiwanja, lakini huku Tanganyika ni ruksa mzenji kumiliki kiwanja. Siku Muungano ukifariki kila mtu aludi kwao hakika watanganyika watafaidi Mali za wapemba mpaka basi, kule unguja wataambulia patupu kwani watanganyika hawana viwanja wala Mali nyingi zenji. Tanganyika ni Nchi Tajiri sana nje ya muungano, lakini ndani ya muungano ni Nchi masikini kutokana na Mzigo iliobeba wa kuilea na kuitunza Zenji kwa mapesa mengi .
 
Kumbe ndiyo maana Zanzibar inaendelea kuwa koloni la Tanganyika.
 
Embu nisaidie kati ya Tanganyika na Zanzibar lipi ni koloni la mwenzake?
 
Wazanzibari ni watumwa. Watabaki kuwa watumwa na wanalilia utumwa. Utumwa wa akli, utumwa wa dini, utumwa wa ujinga.

Pamoja na watumwa hawa, Tanganyika haiwezi kuwaachia kwaajiii ya stability. Piga ua!!
 
INATEGEMEA!!! Kama unaongea na Mswahili mwenye nywele za kipilipili kisha akajinasibisha na Oman basi huyo atakuwa mwehu lakini kama utaongea na Watanzania Waarabu basi hao wakijanasibisha na Oman hawapo mbali na ukweli kwavile ndio ukweli ulivyo! Kutokana na ukweli huo, ndio maana hata ukienda Oman, huwezi kumaliza siku bila ya kukutana na Mwarabu anayeongea Kiswahili.... hawa ni wale Waarabu Wazanzibari au Wanzabari Waarabu... waite utakavyo!

Kuna wakati kule Oman kulikuw na mjadala hususani kwenye mitandao ya kijamii! Mada ilikuwa ni kupotea kwa lugha ya Kiswahili nchini Oman hususani kwa vijana! Wengi walikuwa wanawalaumu wazazi kwamba wameacha kutumia Kiswahili kwahiyo si rahisi watoto wa siku hizi kufahamu Kiswahili! Hivyo basi, Waarabu wa Zanzibar wana mafungamano makubwa na Oman.... na majority wana ndugu wenye undugu ulio active pande zote mbili

Kwamba kujinasibisha kwao na Oman basi kungekuwa na investment lukuki kutoka Oman hiyo si hoja ya msingi! Uhusiano ulipo kati yao ni uhusiano wa kindugu... uhusiano wa damu na sio uhusiano wa kibishara!
 
Acha uongo! Umekutana na wapuuzi wenzio wakajipraudi kwa kujinasibisha na waomani, basi ukajua wazenji wote wako hivyo. Nawe ulivyo bichwa maji pukuru pukuru thired.

Au ulipenda kudhihirisha ushamba wako kwa hoteli na bahari?
 
Ndugu yangu Mashaxizo hawa jamaa zetu kinachowasukuma ni chuki kubwa walio nayo dhidi ya dini ya uislamu.Wao kujinasibisha na kina Puff Daddy,Tupac,au kujinasibisha tabia na wamarekani si ujinga,ni maendeleo.
Napenda niwakumbushe tu kuwa Zanzibar na Oman ilikuwa ni nchi moja kwa kipindi cha zaidi ya karne moja,kuna mafungamano makubwa ya undugu wa damu.Hivi wanajua ya kwamba Mfalme wa Oman mama yake mzazi ana asili ya Zanzibar?
Kwenye baraza la mawaziri wa Oman kuna asilimia kubwa ya mawziri ambao asili yao ni Zanzibar.Tena naomba niwajulishe tu wakienda OMAN wasipate tabu ya lugha,kwani kiswahili kinazungumzwa watu wengi,sokoni na madukani watu wengi wanatumia kiswahili.

Vile vile ukiendaTanga,Mombasa na hata Tabora na Shinyanga kuna watu wengi wana mafungamano ya damu na Oman.Ndio maana unamuona Malkia wa nyuki(Rahma al kharoosi),Talib Hilal hawa watu wakiwa Oman wako nyumbani na wakija Tanzania wako nyumbani, hawalazimishi.
 
Hapa hatujaongelea uislamu na makanisa tumeongelea wabantu kutoa tigo kwa waarabu Zanzibar. Kwani Mombasa, Znz na Tanga watu hawalani tigo? Huko si ndio waarabu walikolowea? Sasa kama wewe utahusisha na dini ni shauri yako.

Ikiwa sehemu ulizozitaja wabantu wanakulana tigo eti ni kwasasababu mwarabu walikaa!!! Vyema.

Hebu niambie ulaya na america ambako hawa wanaokulana tigo wako kwa mabilion na sasa wanaoana na wanatambulika katika Katiba zao za nchi wanazotoka, JEE PIA HUKO MWARABU ALILOWEA
 
Oman ni moja ya nchi maskini duniani labda ni hao wazanzibar wanaodhani kuwa kila mwarabu ni tajiri au kila nchi ya kiarabu ni tajiri, kuna nchi za kiarabu maskini sana kama hao oman na Yemen!!!
 
Ndugu yangu Mashaxizo hawa jamaa zetu kinachowasukuma ni chuki kubwa walio nayo dhidi ya dini ya uislamu.Wao kujinasibisha na kina Puff Daddy,Tupac,au kujinasibisha tabia na wamarekani si ujinga,ni maendeleo.
Napenda niwakumbushe tu kuwa Zanzibar na Oman ilikuwa ni nchi moja kwa kipindi cha zaidi ya karne moja,kuna mafungamano makubwa ya undugu wa damu.Hivi wanajua ya kwamba Mfalme wa Oman mama yake mzazi ana asili ya Zanzibar?
Kwenye baraza la mawaziri wa Oman kuna asilimia kubwa ya mawziri ambao asili yao ni Zanzibar.Tena naomba niwajulishe tu wakienda OMAN wasipate tabu ya lugha,kwani kiswahili kinazungumzwa watu wengi,sokoni na madukani watu wengi wanatumia kiswahili.

Vile vile ukiendaTanga,Mombasa na hata Tabora na Shinyanga kuna watu wengi wana mafungamano ya damu na Oman.Ndio maana unamuona Malkia wa nyuki(Rahma al kharoosi),Talib Hilal hawa watu wakiwa Oman wako nyumbani na wakija Tanzania wako nyumbani, hawalazimishi.

Mnyamwezi atakayesema 2pac mjomba wake, hana tofauti na atakayesema mabruki wa omani ami yake, wote watumwa wa akili.

Waarabu walifuata meno ya tembo na watumwa ila wale waliopenda tende zao wakaomba undugu kwao.

Hapa hamna suala la udini hata kidogo.

Inakuwaje mama sijui wa nani asili yake Zenji wakati Zenji hamna mwenye asili ya hapo.
 
Ama kweli wewe ni taahira. Mbona sasa mnawang'ang'ania? Si muwaachie waende?

ninachoshangaa, hizo hela za kujenga mitaa kama hiyo watazipata wapi, mafuta wanayodai yapo imekuwa confirmed hakuna hata tone la kujipaka, wanategemea utalii wakati wazungu wanaokuja kutalii wanawamwagia tindikali na wameanza kupungua soon hotel nyingi zitafungwa na wazanzibari watabaki wakitegemea mapato ya pesa za madawa ya kulevya au misaada inayotoka kwa magaidi. zanzibar haina future wakiondoka kwenye muungano. mtakuja kujuta na mtakuwa mmechelewa.
 
oman ni moja ya nchi maskini duniani labda ni hao wazanzibar wanaodhan kua kila mwarabu ni tajiri au kila nchi ya kiarabu ni tajiri, kuna nchi za kiarabu maskini sana kama hao oman na yemen!!!

Umekurupuka kutoka kwenye viroba wewe, Oman nchi maskini? Unaota mchana.
 
Umekurupuka kutoka kwenye viroba wewe,oman nchi maskini? Unaota mchana
Huyo jamaa hawezi hata kugoogle akapata elimu kidogo, anakwambia Oman ni nchi maskini hebu muulize amejuaje kama ni maskini utamsikia anakwambia amesikia.
 
Wanz nawafananisha na waethiopia kutwa kumwabudu mwisrael kisa historia. Waafrica wajinga sana aise!!
 
Ikiwa sehemu ulizozitaja wabantu wanakulana tigo eti ni kwasasababu mwarabu walikaa!!! Vyema.

Hebu niambie ulaya na america ambako hawa wanaokulana tigo wako kwa mabilion na sasa wanaoana na wanatambulika katika Katiba zao za nchi wanazotoka, JEE PIA HUKO MWARABU ALILOWEA

Yaani mamburula utawajua tu. Mi naongelea mchezo wa tigo huko Znz, Mombasa na Tanga ambapo waarabu walipita wewe unaingiza mambo ya ulaya. Watu kama ninyi ikitokea mmefikishwa mahakamani kwa mashitaka Fulani mtaishia kufungwa tuuuuu. Wewe unaulizwa uliiba ngombe wa jirani yako unajibu hata jirani yangu anaibaga.
 
Kwa MTU kwenye akili na ufahamu mzuri anajua mtoa mada na baadhi ya wachangiaji wapi walipolalia sasa baadhi yetu mmetukuta tayari tumeshaamka mlipo lalia nyinyi.

Nikuulize mambo ya kuliwa tigo yamekujaje kwenye hii mada ya OMANI KUWATOSA WAZANZIBAR!!Tena ukaihusisha ZNZ, Mombasa na tanga kuwa zinaongoza eti kisa mwarabu alipita bila kuwa na ushahidi na hayo maneno yako, ila ndani ya moyo wako unajua ni nini hasa unakikusudia, ndio mimi nikakupa ushahidi kuwa hivyo vitendo unavyosema kwao ni ulaya na america.

Unajua hii propaganda juu ya mwarabu sio kuwa inamlenga yeye Kama mwarabu Bali IMANI yake na ndio maana historia nyingi za sasa ni dhidi yake hata Kama haiko hivyo.

Mafundisho makubwa yaliyopo ni kuwa mwarabu ndie aliyekuwa muanzilishi wa biashara ya utumwa lakini nilishangaa viongozi wa kiafrica walipokutana South Africa walitoa tamko la kuitaka Ulaya na America iwaombe radhi na kuwalipa fidia waafrica kwa kuwafanya watumwa! Sikuwahi kusikia mwarabu akitajwa huko.

Na kuthibitisha kuwa mwarabu hakuhusika na kuanzisha biashara ya utumwa soma hapa kwa Faida yako

http://www.al-islam.org/slavery-from-islamic-and-christian-perspective-sayyid-akhtar-rizvi/christians-organise-slave-trade

Halafu uje na story zako za tigo kisa mwarabu alilowea na ukasahau huko Tanganyika ndio kuna mashoga wengi mno kuliko hata hizo sehemu alizopita mwarabu maana mwarabu yeye alikuwa ni MTU wa biashara na wala hakuja kufundisha watu kulawitiana.
 
ninachoshangaa, hizo hela za kujenga mitaa kama hiyo watazipata wapi, mafuta wanayodai yapo imekuwa confirmed hakuna hata tone la kujipaka, wanategemea utalii wakati wazungu wanaokuja kutalii wanawamwagia tindikali na wameanza kupungua soon hotel nyingi zitafungwa na wazanzibari watabaki wakitegemea mapato ya pesa za madawa ya kulevya au misaada inayotoka kwa magaidi. zanzibar haina future wakiondoka kwenye muungano. mtakuja kujuta na mtakuwa mmechelewa.

Zanzibar ikijitenga itakuwa ama kituo kikuu cha magaidi au kituo cha kijeshi cha mataifa makubwa. Ni kisiwa kinachowindwa sana ila wenyeji naona kama wamechoka kufikiri nje ya boxi kwa sababu za hasira au chuki fulani.
 
mbulula mla noah ww,
hajasema uislam amesema waarabu
ndo mana kila mzungu anaekua shoga mnasema mkristo
mfyuuuuuuuuuu

Sasa kama wazungu mashoga sio wakristo jee kwa nini waende kanisani kufunga ndoa zao za mashoga!??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom