MWANALUGALI
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 601
- 34
Mi binafsi sijakubaliana na kundi lolote kupotosha ukweli au kumuunga mkono yeyote lakini ni lazima nisema ukweli ninao ujua hata kama wewe hautaniunga mkono. Sioni kosa alilofanya Edo mpaka asulubiwe kiasi hiki!! Makosa mengi mnayomtwisha Edo binafsi ni makosa ya kimfumo yanayo paswa kubebwa na chama cha Magamba kama taasisi. Ujanja wao wa kutaka kujivua gamba hauwezekaniki wala kukubalika, hawawezi kumgeuzia kibao mtu mmoja au wawili kwa kusingizia kuwa Nyerere alimkataa. Chama chao kinaweza kujitakasa (kujivua gamba) kwa kuachia madaraka na kuitisha uchaguzi huru chini ya tume huru ya uchaguzi, vinginevyo ni heri ya huyu huyu Lowasa kuliko hawa waliopo wanao onekana kupwaya kila idara.Ndio kundi la LOWASA mlivyokubaliana kuupotosha ukweli ili kuchanganya facts. Bahati mbaya facts are very stuborn things, they will remain facts, whether you like them or not. Na watu wanaomatter wote wanaujua huo ukweli, so keep on kujipa moyo huku kwenye keyboard.
Lowassa ni mwizi, mbadhirifu, fisadi, mchafu na sasa amekuwa muuaji. Anaua maadui zake kisiasa kwa kuwalisha sumu, sijui hizi mbinu za kigaidi kajifunzia Nigeria ama Israel alikoenda kuhiji?
Mi binafsi sijakubaliana na kundi lolote kupotosha ukweli au kumuunga mkono yeyote lakini ni lazima nisema ukweli ninao ujua hata kama wewe hautaniunga mkono. Sioni kosa alilofanya Edo mpaka asulubiwe kiasi hiki!! Makosa mengi mnayomtwisha Edo binafsi ni makosa ya kimfumo yanayo paswa kubebwa na chama cha Magamba kama taasisi. Ujanja wao wa kutaka kujivua gamba hauwezekaniki wala kukubalika, hawawezi kumgeuzia kibao mtu mmoja au wawili kwa kusingizia kuwa Nyerere alimkataa. Chama chao kinaweza kujitakasa (kujivua gamba) kwa kuachia madaraka na kuitisha uchaguzi huru chini ya tume huru ya uchaguzi, vinginevyo ni heri ya huyu huyu Lowasa kuliko hawa waliopo wanao onekana kupwaya kila idara.
Wakitaka kushikiria hoja ya waliokataliwa na Nyerere, watakuwa wanajivua nguo hadharani maana waliokataliwaa kwenye chama chao ni wengi akiwemo Kikwete, Lowasa, Sitta, Msekwa, Malecela nk. Hivyo kwa hoja ya kukataliwa na Nyerere, basi hata CCM ya sasa ilikataliwa na Nyerere kwa kuwa imeisha toka kwenye misingi yake ya kuchukia Ufisadi na kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi.
Huyo ni mwizi. Viongozi wengi wanashindwa kuusema ukweli ambao nyerere aliusema.
Lowassa hatakuwa Rais wa Nchi hii hata mfanyeje.
Lowassa ni mwizi, mbadhirifu, fisadi, mchafu.
Mtu yeyote anayesukumwa na uzalendo hawezi kukubali Lowasa kuwa mkuu wa nchi hii labda wanaosukumwa na hongo
Hajamuibia mtu wala kumuua yeyote ila yuko kwenye chama kilicho choka na kinachoendeshwa kwa ufisadi na ubazazi![/QUC atoke? Anangangania anafanya nn huko kama c sehemu ya huo ubazazi. Any way tunamkaribisha CDM milango iko wazi.
Ndugu wakigombana.........shika jembe ukalimekwani alikuibia mkeo? mbona wengine hatujui aliiba nini!
he he he sasa kazi ya kwanza asije huyu akajikuta anakua mtu wa visasi utawala wake wote mkubwa wetu huyu, kumbuka visasi vinatumia muda mwingi akilini na eneji kweli kweli..nway kila la heri Tanzania yetuIkitokea lowassa akawa raisi my frendo ohh we gona see the hot of the stone kwa kulipa visasi kwa wabaya wake.hiyo ndio itakuwa kazi yake ya kwanza.
Is it fair to say Mwalimu was right about Lowassa being power hungry and corrupt?
Sio kweli sana. Jina la Lowasa liliishia kwenye CC ya CCM mapema tu. JK alikwenda hadi raundi ya mwisho kabisa na akashika namba 2 kama SAS alivyoshika namba 2 mwaka 2005. Kwa kweli aliyemkataa JK mwaka 1995 ni Komandoo Salimini na ushawishi wake kwa kura za Wazanzibari.Kikwete, Lowasa wote hawa walitemwa na Nyerere! "Kama Ana sura Nzuri Nendeni Mkanywe naye Chai" Ujumbe wa Mwalimu kwa Mashabiki wa Kikwete
nyerere alikuwa na wivu tu
Acheni kuogopa kivuli cha Lowada, wapi kasema anataka uraisi, Lowasa ni mzalendo pekee aliyebaki Tanzania! Aliyewajibika, nani mwingine mwenye guts?
Lowasa amechomeka watu wake wengi sana humu, lakini pamoja na hayo Lowasa ndiye RICHMOND,DOWANS ametufikisha pabaya nchi imefilisika sababu ya Lowasa huyo!!!!!!!!!!!!Kikwete, Lowasa wote hawa walitemwa na Nyerere! "Kama Ana sura Nzuri Nendeni Mkanywe naye Chai" Ujumbe wa Mwalimu kwa Mashabiki wa Kikwete