palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
hahahaha. nyerere alimkata lowasa ni kweli kabisa, ila hiki kisa kinaanzia kwa baba yake lowasa ambaye aliuza kijiji na watu bila wao kujua huko umachameni. sakata lilipo kuwa kubwa mwenye mali aliyeuziwa anadai ardhi wanakijiji wakastuka na kutaka kuwaua kuona hivyo baba na watoto wakakimbilia arusha ambapo walipata hifadhi ktk ukoo wa moringe sokoine na kubadilisha jina na kabila na kujiita wamasai otherwise lowasa ni mchaga wa machame pure. Nyerere akasema kama baba aliuza kijiji na wanakijiji hata mtoto atakuwa na tabia hiyo tu.
Ana laana kubwa mno huyu Lowassa lakini siku yake yaja atakiona.Lowassa ni mwizi, mbadhirifu, fisadi, mchafu na sasa amekuwa muuaji. Anaua maadui zake kisiasa kwa kuwalisha sumu, sijui hizi mbinu za kigaidi kajifunzia Nigeria ama Israel alikoenda kuhiji?
Mkuu kilichomfanya mwalimu kumkataa EL ni the same reasons alizozitumia pia kumkataa JK.Na sidhani kama ccm kwasasa wana haki ya kumkataa EL.Is it fair to say Mwalimu was right about Lowassa being power hungry and corrupt?
Nyerere alimkataa kikwete mpaka akabadilisha kanuni za uchaguzi wa CCM. Mbona hatimaye Kikwete aliukwaa Urais?
Haya ndiyo matatizo ya kuhadithiwa kitu na kukimeza kizimakizima bila kufuatilia ukweli wa kilichotokea. Matokeo yake unaleta uzushi hapa kwenye
jukwaa tukufu.
Lowassa alikataliwa kwa madhambi ya kimaadili, kikwete aliambiwa angoje akomae kwanza, ile ilikua 1995. We unaleta uharo wa kufananisha hizo scenario mbili. Humo kichwani zimo kweli au ndo unapigania mgao?..a.k.a nitoke vipi!
Haya ndiyo matatizo ya kuhadithiwa kitu na kukimeza kizimakizima bila kufuatilia ukweli wa kilichotokea. Matokeo yake unaleta uzushi hapa kwenye
jukwaa tukufu.
Lowassa alikataliwa kwa madhambi ya kimaadili, kikwete aliambiwa angoje akomae kwanza, ile ilikua 1995. We unaleta uharo wa kufananisha hizo scenario mbili. Humo kichwani zimo kweli au ndo unapigania mgao?..a.k.a nitoke vipi!
Wote walikataliwa
mjinga huwa hatukanwi bali anafundishwa na kuelekezwa!!!! Mgombea wa CCM tangu enzi za TANU alikuwa anapatikana kwa kupata kura nyingi zaidi ya wengine ( simple majority of votes) lakini kwa kuwa Mzee haambiliki alikuwa hamtaki Kikwete, alibadili kanuni akaseme lazima kura zipigwe tena baada ya mapumziko!!! Nyerere alitumia kipindi cha mapumziko kumtisha Komandoo Salmin ili kura za wazanzibar zihamie kwa Mkapa! Hii ni fact wala siyo hearsay!
Mi sipiganii mgao wowote Mama, ili ni mawazo yangu tu
Ni kanuni gani za uchaguzi wa CCM alizobadilisha Nyerere? Mimi nilidhani aliyebadilisha kanuni za kura tatu ni Benjamin Mkapa, ili kumfaidisha fisadi mwenzake.Nyerere alimkataa kikwete mpaka akabadilisha kanuni za uchaguzi wa CCM. Mbona hatimaye Kikwete aliukwaa Urais?
This is anothe bold lie. TANU haijawahi kuwa na mgombea zaidi ya mmoja wa urais tangu tulipopata uhuru. Concept ya kura tatu aliibuni Mwalimu baada ya CCM kuwa na wagombea watano na zaidi wanaowania nafasi moja. Na katika hao watano kila mmoja alikuwa na kundi lake. Mwalimu akatumia busara katika uchaguzi wa 1995 ambao ndio uchaguzi wa kwanza kuwa na zaidi ya mgombea mmoja, wa kura tatu ili kuchuja wagombea na kuyapa makundi ya mashabiki nafasi ya kuchagua mwingine ikiwa mtu wao atachujwa. Sasa wewe haya unayoyasema umeyatoa wapi?mjinga huwa hatukanwi bali anafundishwa na kuelekezwa!!!! Mgombea wa CCM tangu enzi za TANU alikuwa anapatikana kwa kupata kura nyingi zaidi ya wengine ( simple majority of votes) lakini kwa kuwa Mzee haambiliki alikuwa hamtaki Kikwete, alibadili kanuni akaseme lazima kura zipigwe tena baada ya mapumziko!!! Nyerere alitumia kipindi cha mapumziko kumtisha Komandoo Salmin ili kura za wazanzibar zihamie kwa Mkapa! Hii ni fact wala siyo hearsay!
Mi sipiganii mgao wowote Mama, ili ni mawazo yangu tu
mkuu kilichomfanya mwalimu kumkataa el ni the same reasons alizozitumia pia kumkataa jk.na sidhani kama ccm kwasasa wana haki ya kumkataa el.
Huo utakuwa uonevu.hata kama siifagilii ccm na sitaki washinde tena.bado sikubaliani na wanayomfanyia el.kwanini wamtreat yeye with diffrent standards?
Ina maana sasa mwalimu aliwakataa wote nasasa mmojawapo amesafishwa na urais?ccm acheni ujinga na mwacheni el atumie haki yake kikatiba.mkishindwa uchaguzi si kwasababu yake.
Swali ni kwanini hamkushindwa uchaguzi wakati wa jk na issue dihidi yao vs mwalimu ni the same?
Sioni kama kumpiga chini el ndo kufuata mawazo ya mwalimu na wakati hamkufanya hivyo under jk.acheni unafiki na mbebe misalaba yenu msituvurugie nchi.
nyerere ni kiongozi mwenye maono mapana na ndio maana kauli zinajadilika, lowasa hawezi kua rais coz ameonwa mapungufu yake, nyerere alimkataa jakaya mapungufu yakeunayaona, watu walitizama sura na nyerere aliliona akasema kama mzuri pelekeni posa, mbona hamsemi, tungepeleka posa asinge kua rais!
sasa si unaona nyerere alikuwa sahihi kumkataa huyo muuza suraNyerere alimkataa kikwete mpaka akabadilisha kanuni za uchaguzi wa CCM. Mbona hatimaye Kikwete aliukwaa Urais?