Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

Let me give you some clues to the answers, why not ask wana arusha what he(lowasa) did during general election when batilda was the contestant in 2010? You dont know this guy very well and you dont know what he is capable of; when he want something. Better be careful
 
"Ex Africa semper a liquid novi"Kila kukicha lazima kitatokea kihoja Afrika".Ptolemy.
 
Hakuna sababu ya kumnukuu Nyerere kwenye kizazi ambacho hatuwezi kupata viongozi was kaliba yake.
 
hapo ndo mazuri ya jkikwete yataonekana akiwa rais Lowasa
ila kwa si wengine powa tuuu hata akiwa coz hakuna atakae acha kujijari akiikama fulsa ya urais
 
yaelekea ni dem wake. Akichukua dola una talaka tatu
 
nyerere alikuwa ni mdini, alimkataa lowasa sababu ya udini wake.
mdini unamjua ww? Nenda shule na usome philosophy ya nyerere ulinganishe na utumbo wako unaouongea. Yaeleke ulikimbia umande hukwenda shule ww
 
Nyerere alikuwa na wivu na ndie alie fanya wa tz wasiende shule ili iwe kwake rahisi kutawala
 
hapana mkuu,unachosema si kweli na ndo watu wengi wanaamini hivyo. Katiba ya ccm iliyofanyiwa marekebisho mwaka 1994,ilikuwa na kipele kinachosema;ktk uchaguzi wa kupitisha jina moja,mgombea atakuwa ameshinda kwa kupata zaidi ya nusu ya kura za wajumbe wote. Isipokuwa uchaguzi wa kundi,washindi watashinda kwa wingi wa kura.
 
kweli usilolijua ni kama usiku wa kiza. Unahitaji maombi .
 
mbona nasikia laaziz wako ni mchaga, unataka kumwambia nn kuhusu wachaga hapo, kwamba unawakubali au ndo humpeni. Ww ni walewale, like fadha like son/doughter
 
unazungumzia shule gani?

we chizi nn? Shule nayozungumzia ni shule inayoeleweka, sio shule yako iliyoko kwenye tafsiri yako ww. What i mean is go to school to improve ya knowledge thats when u"ll understand what am talking man. I can help if you want.
 
kuimprove knowledge ipi?
 
Naomba kutoa ushauri wa bure. Kama mtu huelewi usichangie tafadhali. Soma posti za wenye uelewe utafaidika pia. Ni mtazamo tu kwan wengine mnaboa to the maximum. Mnachangia pumba. Hakuna ushabiki mbaya kama ushabiki wa kisiasa
 
kuimprove knowledge ipi?
i get it. The problem is u dont understand a single thing. When am talking about knowledge what i mean is,uongeze uelewa wako wa mambo especially kwenye siasa ili twende parallel. If ya read i can help you as i told u before
 
Sawa , sa ndo nikasome wapi?
 
Hakuna sababu ya kumnukuu Nyerere kwenye kizazi ambacho hatuwezi kupata viongozi was kaliba yake.

Tena ni upumbavu wa hali ya juu kufanya hivo. Nadhani kuna mtz anayeongoza kumsema vibaya kwa malengo yake binafsi na ya dini yake anaitwa mohamedi saidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…