William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Thread starter
- #301
Kaka,Usituchezee profile yako inamsaidia nini mjasiriamali aliyeko Soko la ilala kujua ajipangeje kukabiliana na wakenya wanaopunguza supply ya bidhaa za kilimo kutoka Tanga na kuleta bidhaa zilizo sindikwa kutoka kwao?
Tafadhali jibu maswali haya:
a)unahoja gani ya kitaifa unayo peleka huko?
B)unamkakati gani wakuifanya hoja yako iwe na mashiko kwa wawakilishi wengine wa jumuia ya E.A
c)tueleze kirefu hiyo hoja yako ikifanikiwa inamsaidiaje mtanzania wa kawaida
d)Itachukua kadiri ya miongo mingapi kabla ya matunda ya hoja yako kudhihirika
Tuanzie hapa kwa leo.
My mission to the EAC is that I agree fully with us being a member to the EAC, but I want to make sure that Tanzania is benefiting equally as other members in the Federation, I want to work very hard on EAC awareness to our people, also want to make sure our people understand the values of our natural resources, our strength and our weaknesses especially economically before committing to one Federation.
William.