Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

you havent yet told us wat is ur case Mr.William

- Well, I have made my case at least 70% in brief is the issue of EAC awareness for our people, One currency, The Federation, The Common Market, The Customs, the labour movement, the one viza issue! And we are still going on with it, HOWEVER: on the basic is I fully agree with us Tanzania being in the EAC, but I want us to practice a delay tactics before making any moves into those areas I have mentioned!

William.
 
Najua who knows you ni pamoja na Nape, Rizwan, Mwanaasha, Masha, Malima and the like. Alafu unasema kwamba the compaign is going great and you are almost there?! WanaJF hii ishara kwamba huyu jamaa kashaanza kumwaga pesa kwa wapiga kura maana mimi ninavyojua siku ya kampeni bado haijafika. Yani bila pesa CCM hupiti. Ntaendelea kuwapinga hadi naingia kaburini na kuna siku mtadondoka kwa kishindo kama Roma kwa sababu naamini hakuna Himaya iliyodumu milele zaidi ya himaya ya Mungu!

- I love JF, finally you have to spew your problem, CCM I mean now it makes a lot of sense cause you were alll over with no clear argument of your hatred, but now understood you have a problem with my party CCM ok understandable!

William.
 
- Finally you have to spew your problem, CCM I mean now it makes a lot of sense cause you were alll over with no clear argument of your hatred, but now understood you have a problem with my party CCM ok understandable!

William.

Wewe pamoja ya chama chako ni Wapuuzi tu. Leo nusura muuwe Watanzania wenzetu wapatao 38 kwa sababu ya kupitisha sheria yenu ya manunuzi inayoruhusu ununuzi wa ndege chakavu. Leo na wewe unataka uende huko EA Assembly kuruhuru free mobility of labour. Tutarajie nini sisi ambao hatujui kiingereza hata hiki cha kubabaisha kama chako?

Source: https://www.jamiiforums.com/habari-...7602-abiria-air-tanzania-wanusurika-kifo.html
 
- Well, I have made my case at least 70% in brief is the issue of EAC awareness for our people, One currency, The Federation, The Common Market, The Customs, the labour movement, the one viza issue! And we are still going on with it, HOWEVER: on the basic is I fully agree with us Tanzania being in the EAC, but I want us to practice a delay tactics before making any moves into those areas I have mentioned!

William.
Thats great muheshimiwa but tel me something about what so called education level and its status as to what have been observed in the field of practicing is that the education herein in Tanzania is the poorest hence most of get to be outsmarted in the East Africa employment market any comments on this sir?
 
kaka iyo cv iko vizuri ila bado huja2ambia y unagombea

- I am running for Change, I want to go over there and change the usual business, I want to go there and inform our people what is EAC, what are our benefits there, what are the critical issues that needs their input through our Parliament!

- In a few words is I want to change the usual business ways of our representation in the EAC, so that we all Tanzanians can participate in benefiting from the Community!

William.
 
Wewe pamoja ya chama chako ni Wapuuzi tu. Leo nusura muuwe Watanzania wenzetu wapatao 38 kwa sababu ya kupitisha sheria yenu ya manunuzi inayoruhusu ununuzi wa ndege chakavu. Leo na wewe unataka uende huko EA Assembly kuruhuru free mobility of labour. Tutarajie nini sisi ambao hatujui kiingereza hata hiki cha kubabaisha kama chako?

Source: https://www.jamiiforums.com/habari-...7602-abiria-air-tanzania-wanusurika-kifo.html

- On a plane in Kigoma today, well I think you are misinformed, lets say you have an argument on it is not that our Parliament that includes the oppositions decides on the Airlines policies? or it is only CCM?

- Free labour movement again, ok this issue has no negotiations it is a done deal we cannot have a strong Community Economically, if our people are not free to move within the Community especially the suppliers of products to the market who are the target on this policy, we need to educate our people and compete with our nations patners, there is no short cut on this and there is no retreat too, we are in the EAC now.

William.
 
Thats great muheshimiwa but tel me something about what so called education level and its status as to what have been observed in the field of practicing is that the education herein in Tanzania is the poorest hence most of get to be outsmarted in the East Africa employment market any comments on this sir?

- Is our education level the poorest as you just said? I don't think so I think we Tanzanians are lacking the exposure to use our education so that it can be beneficial to us, it is more of psycological issues that need to be addressed as we take a time and prepare ourselves to compete with our EAC patners.

- Another problem is the fear factor, we do not seems be confident enough to believe in ourselves that we can equally bargain with our patners for the benefit of us, I do not for a second believe that our education is inferior to others, but rather we are lacking the exposure of what is needed in the modern employment markets!

William.
 
- On a plane in Kigoma today, well I think you are misinformed, lets say you have an argument on it is not that our Parliament that includes the oppositions decides on the Airlines policies? or it is only CCM?

William.

Dah! Aise Mkuu wangu kweli kukaa nje ya nchi ni tatizo. Hivi unadhani kuwepo kwa wapinzani au kutokuwepo kwenye bunge letu kuna badili chochote? Ule muswada uliletwa na Mwanamagamba mwenzako Omary Nundu na Mama yako Anna Kilango akautetea kama vile kalambishwa asali. Wapinzani walitakataa kata kata lakini kwa vile number yao ni ndogo hata kama wangegoma kuingia Bungeni bado mgepitisha tu maana mpo above 2/3.

Wasalaam Aleykum JF!

- Well, we have been running a brutal campaign aspiring to be elected to the EAC assembly, the highest Legislative body among the five Nation's members that includes Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, and Burundi. I believe the times requires now that I stand up and make my case to you the people of who I am and what are my intentions given the opportunity to represent our Nation, next week in Dodoma!

- I do not intend to fake my way through this, but just want to make my case very clear while representing the real me, William if you know what I mean!, SO HELP ME GOD!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKIE JF KUMKOMA NYAN!

William.

Hapo nilipoweka nyekundu, umekosea sana , tena inakuwa unatutukana. Inatakiwa iwe "Asalaam" na si kama ulivyoandika wewe. Msikurupuke kwa mambo ambayo hamna asili nayo, just be yourself.

Halafu Kiingereza kibovu kabisa ulichoandika. Kwanini usiandike kiswahili tu? lugha yako ya Taifa? au ungeandika kigogo. Kwenda kutumia lugha ambayo huijui vizuri ni mapungufu sana katika kufikisha ujumbe na ni offense kwa watumiaji wa hizo lugha.

Kiarabu umekosea sana tena sana, Kiingereza umeboronga.
 
Tafadhali kijana andika kwa Kiswahili, hujui kutumia lugha ya Kiingereza vizuri na huufikishi ujumbe ipasavyo.
 
- I am running for Change, I want to go over there and change the usual business, I want to go there and inform our people what is EAC, what are our benefits there, what are the critical issues that needs their input through our Parliament!

- In a few words is I want to change the usual business ways of our representation in the EAC, so that we all Tanzanians can participate in benefiting from the Community!

William.

William hiyo awarenes kwa jamii utakuwa unaifanya wakati gani? Kwa kutumia platform gani?na feedback za hiyo awareness zitakusaidia kujenga au kubomoa?
Thanks!
 
- On a plane in Kigoma today, well I think you are misinformed, lets say you have an argument on it is not that our Parliament that includes the oppositions decides on the Airlines policies? or it is only CCM?

- Free labour movement again, ok this issue has no negotiations it is a done deal we cannot have a strong Community Economically, if our people are not free to move within the Community especially the suppliers of products to the market who are the target on this policy, we need to educate our people and compete with our nations patners, there is no short cut on this and there is no retreat too, we are in the EAC now.

William.

William hawatakuchagua kwasababu ya lugha huu ni ulimbukeni.kutumia kimombo kujibu thread ya kiswahili inamaanisha kuwa wewe unajua zaidi au kukaa nje akukuondolei uswahili na ugogo wao!
Jitahidi kuwa na matumizi sahii ya lugha mwisho wa siku na kiingereza chako kama nyanga za EAC Uzijui utabaki kupiga blaa blaa tu na utapigwa chini.
 
Hapo nilipoweka nyekundu, umekosea sana , tena inakuwa unatutukana. Inatakiwa iwe "Asalaam" na si kama ulivyoandika wewe. Msikurupuke kwa mambo ambayo hamna asili nayo, just be yourself.

Halau Kiingereza kibovu kabisa ulichoandika. Kwanini usiandike kiswahili tu? lugha yako ya Taifa? au ungeandika kigogo. Kwenda kutumia lugha ambayo huijui vizuri ni mapungufu sana katika kufikisha ujumbe na no offense kwa watumiaji wa hizo lugha.

Kiarabu umekosea sana tena sana, Kiingereza umeboronga.

- My sincererly apologies fo that I mean Asalaam, however you wrote almost 300 words article without even mentioning EAC? I mean what is up that?

William.
 
William hiyo awarenes kwa jamii utakuwa unaifanya wakati gani? Kwa kutumia platform gani?na feedback za hiyo awareness zitakusaidia kujenga au kubomoa?
Thanks!

- Awareness will help our people to wake up and start to look for opportunities in the EAC affordable by the EAC's laws, it is the awareness that makes Kenyans go for it in a very aggressive way that leaves us complaining all the times instead of fighting back and go for opportunities!

William.
 
William hawatakuchagua kwasababu ya lugha huu ni ulimbukeni.kutumia kimombo kujibu thread ya kiswahili inamaanisha kuwa wewe unajua zaidi au kukaa nje akukuondolei uswahili na ugogo wao!
Jitahidi kuwa na matumizi sahii ya lugha mwisho wa siku na kiingereza chako kama nyanga za EAC Uzijui utabaki kupiga blaa blaa tu na utapigwa chini.

- Is this a question on EAC or just the same never ending rants? I mean can we go back to the EAC issues?

William.
 
Ndugu W.J.Malecela Salamu
"LUGHA SAHIHI SI KIGEZO CHA KUWA NA FIKIRA SAHIHI".Ninamaana kutumia lugha unayodhani ni bora zaidi ya nyingine haina maana ndo itakayokufanya uwe na mawazo mazuri kama watu wenye lugha hiyo bali mawazo mazuri hutokana na uwezo binafsi wa mtu katika kuchanganua mambo kwa kina na mapana.
Pia "TITI LA MAMA NI TAMU HATA KAMA LA MBWA".Nina maana Lugha uliyozaliwa nayo ni nzuri hata kama ni kibantu.
Nionavyo mimi uwezo wako wa kuongoza au kuwa mbunge wetu E.A ni mdogo mnoooo!!!Huna sifa hata 1 ya kuwa mbunge wetu labda kwa sababu CCM hawaanga sifa na uwezo wa mtu bali wanaangalia wewe ni nani na umetoka katika familia ya aina gani haina shida songa mbele na kugombea kwako.
Hicho kizungu chako unachojifanya unakijua sanaaaa!!!kiasi cha kutisha nacho watu hakiwezi kuwa kigezo kikuu cha wewe ku Mbunge wetu,pia kama unakifahamu sanaaa hicho kizungu y hukupata A ili kikutoe kaka grade chafu la 4?
"NASEMA HUNA VIGEZO WALA UWEZO WA KUWA MBUNGE WETU KWA KUJUA 2 KIZUNGU CHAKO CHA KUUNGA UNGA"

PUMBA MWIKO
 
- Awareness will help our people to wake up and start to look for opportunities in the EAC affordable by the EAC's laws, it is the awareness that makes Kenyans go for it in a very aggressive way that leaves us complaining all the times instead of fighting back and go for opportunities!

William.

Umejibu moja jibu maswali mengine!
1. Hiyo awareness utakuwa unaifanya wakati gani?
2. Kwa kutumia platform gani?
 
Ndugu W.J.Malecela Salamu
"LUGHA SAHIHI SI KIGEZO CHA KUWA NA FIKIRA SAHIHI".Ninamaana kutumia lugha unayodhani ni bora zaidi ya nyingine haina maana ndo itakayokufanya uwe na mawazo mazuri kama watu wenye lugha hiyo bali mawazo mazuri hutokana na uwezo binafsi wa mtu katika kuchanganua mambo kwa kina na mapana.
Pia "TITI LA MAMA NI TAMU HATA KAMA LA MBWA".Nina maana Lugha uliyozaliwa nayo ni nzuri hata kama ni kibantu.
Nionavyo mimi uwezo wako wa kuongoza au kuwa mbunge wetu E.A ni mdogo mnoooo!!!Huna sifa hata 1 ya kuwa mbunge wetu labda kwa sababu CCM hawaanga sifa na uwezo wa mtu bali wanaangalia wewe ni nani na umetoka katika familia ya aina gani haina shida songa mbele na kugombea kwako.
Hicho kizungu chako unachojifanya unakijua sanaaaa!!!kiasi cha kutisha nacho watu hakiwezi kuwa kigezo kikuu cha wewe ku Mbunge wetu,pia kama unakifahamu sanaaa hicho kizungu y hukupata A ili kikutoe kaka grade chafu la 4?
"NASEMA HUNA VIGEZO WALA UWEZO WA KUWA MBUNGE WETU KWA KUJUA 2 KIZUNGU CHAKO CHA KUUNGA UNGA"

PUMBA MWIKO

- what about EAC issues? I mean almost 400 words article not even a single EAC issue? daaaaamn!

William.
 
Back
Top Bottom