Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

ukishapewa hiyo budget utaitumiaje, be specific please

- Will travel allover our Nation and talk directly to people of EAC, media ads I mean we have to follow what our competitors Kenya have done, asking our National leaders to talk more about EAC which Kenya does it all the times!

William.
 
..Kuna wizara mahsusi imeundwa na chama chako kwa ajili ya EAC-inaongozwa na Waziri Sitta. Unataka kusema wizara hiyo imeshindwa kazi hii ya msingi kabisa ya kuwaelimisha watanzania kuhusu EAC? Yaani wewe utakuwa na resources za kutosha kuelimisha watanzania kuliko wizara yenye bajeti maalum?

- Well, I do not know what the ministry has done so far, but I am here to make my case of what I would do if elected to the EAC, and will work with our ministry aggressively towards the goal of awareness!

William.
 
Alright let's hope Billy will respond into that

- Sure Federation means we are committing to a one nation, as opposed with Community where we still hold on to our Nation,

- HOWEVER: I want us to one day commit to the Federation and One Currency, but in a very caution manner infact I want us to play a delay process in this realm until we are 100% sure that we now what we are committing ourselves in!

William.
 
- Nothing but good for micro-economy through the service suppliers who are going to be allowed to have a free movement of trade among the nations members, and yes there is a difference between one viza entry and free movement of people!

William.
Usi complicate katika kujibu maswali kwa kutumia lugha ngumu jaribu kutumia lugha raisi. Ukitumia lugha ngumu hata maana itapotea

katika swala la single entry visa kwa non ea member states. Tour operators watz hawalitaki kwa ajili watalii wengi watashukia kenya na halafu watakuja tz moja kwa moja
Na wao wata poteza mapato. Je vitu kama hivi na hiyo sera yako uta vi address vipi?

William you need to read a lot ili kuelewa haya mambo itakusaidia sana wewe, usikate tamaa kaza mwendo. Tafuta fear za watz ni nini?
 
William nimeshtushwa na habari kwamba wewe unataka kuwepo na free movement of labour! Hivi unaelewa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa kiasi gani? Unless ni special skills ambazo hazipatikani Tanzania sioni mantiki ya kufungua milango. Nenda popote, hata EU kwanza unatoka ajira nchini na kama hakuna hiyo skills ndio unaenda nje ya nchi.

Pili, hii fast track ya EAC ni mkosi kwa Tanzania. Lazima mambo yaende kwa hatua na lazima Tanzania ipate muda wa kurekebisha katiba yake kabla ya ku-sign hii mikataba ya EAC. Tulishang'atwa huko nyuma E/Africa Community, sasa tunakata kurudia makosa yale yale?
 
- It is the about the principal of being out of the loop for a long time does it makes you unfit to lead? I don't think so

William.

William,
Principal zina exceptions / assumptions zake. Yani unazidi kujiabisha Mkuu.

- Well, I do not know what the ministry has done so far, but I am here to make my case of what I would do if elected to the EAC, and will work with our ministry aggressively towards the goal of awareness!

William.
Hutakiwi kusema hujui what the ministry has done kwa ajili unaonyesha hujafanya research yeyote, labda kitu unachotaka kukifanya wizara wamesha kifanya?
By now ulitakiwa useme unajua wizara wamefanya a,b,c,d na mapungufu yake ni haya na haya.

Nakushauri nenda hapo wizara ya ea kuna vitu vingi sana vya kusoma na vitakusaidia
 
- Well, I do not know what the ministry has done so far!

William.

Ona sasa! Hata hajui Wizara yetu ya Afrika Mashariki imefanya so far alafu anatuambia ana sifa za kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki.
 
William nimeshtushwa na habari kwamba wewe unataka kuwepo na free movement of labour! Hivi unaelewa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa kiasi gani?

Na hii hoja ni ushahidi mwingine wa jinsi William asivyojua shida za Watanzania. Ndiyo maana napinga mtu aliyekaa nje ya nchi zaidi ya miaka 20 atue ghafla tumpe Ubunge. Laurenca Masha alikuwa hivi hivi kama ya William. Alichowafanyia Wananchi wa Nyamagana tunakijua! Sasa mpelekeni na huyu huko East Africa Asssembly mtaniambia.

Usi complicate katika kujibu maswali kwa kutumia lugha ngumu jaribu kutumia lugha raisi. Ukitumia lugha ngumu hata maana itapotea

katika swala la single entry visa kwa non ea member states. Tour operators watz hawalitaki kwa ajili watalii wengi watashukia kenya na halafu watakuja tz moja kwa moja
Na wao wata poteza mapato. Je vitu kama hivi na hiyo sera yako uta vi address vipi?

William you need to read a lot ili kuelewa haya mambo itakusaidia sana wewe, usikate tamaa kaza mwendo. Tafuta fear za watz ni nini?

- Well, discouraged? NEVER! otherwise you know it is very tiring to hear the same song of Kenya and Tourism, I mean are we in EAC to compete or just to be defensive all the times?

- I want to advocate new policies on tourism that will put us on the same level with Kenyans, but in everything I want us Tanzania to practice the delay process tactics.

William.
 
Hutakiwi kusema hujui what the ministry has done kwa ajili unaonyesha hujafanya research yeyote, labda kitu unachotaka kukifanya wizara wamesha kifanya? By now ulitakiwa useme unajua wizara wamefanya a,b,c,d na mapungufu yake ni haya na haya. Nakushauri nenda hapo wizara ya ea kuna vitu vingi sana vya kusoma na vitakusaidia

Yani mpaka siku ya kupiga kura. Hii thread itakuwa imempunguzia William kura zaidi ya 100! Mimi nilisema hafai watu wakaanza kunirukia Oooh nina chuki! Mara Oooh William ni mwenzetu hapa JF tumpe support! Mara Oooh ni kijana mwenzetu! Ona sasa tuendelee kumpa support kama hata Wizara ya Africa Mashariki hajui imefanya nini mpaka sasa hivi?

Tumbiri, kukaa nje ya Tanzania siyo sababu ya kutokujuwa shida za watanzania, mbona hao mnaowatembezea bakuli hata hawaishi huko na wanawapa pesa za matatizo yenu na mnafuata mawazo yao yaliyoko attached as strings?

Usitumie ubongo wako kufikiri kinyume nyume namna hii.

Mimi ninaweza kukutajia shida za mtanzania zote na uniambie kama zimebadilika na ni lini zimefanya hivyo.
 
William nimeshtushwa na habari kwamba wewe unataka kuwepo na free movement of labour! Hivi unaelewa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa kiasi gani? Unless ni special skills ambazo hazipatikani Tanzania sioni mantiki ya kufungua milango. Nenda popote, hata EU kwanza unatoka ajira nchini na kama hakuna hiyo skills ndio unaenda nje ya nchi.

Pili, hii fast track ya EAC ni mkosi kwa Tanzania. Lazima mambo yaende kwa hatua na lazima Tanzania ipate muda wa kurekebisha katiba yake kabla ya ku-sign hii mikataba ya EAC. Tulishang'atwa huko nyuma E/Africa Community, sasa tunakata kurudia makosa yale yale?

- Yes I agree with EAC free labour movement but only after we as a nation we have more to solve the un-employment issue, I have read the EAC figures on employment and I have a problem with them cause to me they do not seems to reflect the reality on the ground, however I consider all your complains to be a motivation factor for our nation that we have no choice but to work hard and change our situation so that we can compete with our EAC patners.

- We need to train our Youth so that they become tailored to meet the labour markets standards and to also make them competent enough into the areas of self-employment and entrepreneurship!

- I mean we have to compete, but we should not rush into anything and infact I want us to practice a delay process.

William.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Yani mpaka siku ya kupiga kura. Hii thread itakuwa imempunguzia William kura zaidi ya 100! Mimi nilisema hafai watu wakaanza kunirukia Oooh nina chuki! Mara Oooh William ni mwenzetu hapa JF tumpe support! Mara Oooh ni kijana mwenzetu! Ona sasa tuendelee kumpa support kama hata Wizara ya Africa Mashariki hajui imefanya nini mpaka sasa hivi?

- Honestly, I do not need anything from you to be anything in my nation, I mean your profile picture speaks a lot of who you are leave alone your rants! ha! ha! ha! discouraged by your rants? NEVER! HA! HA! ask those who knows me will tell you of how you are wasting your time here with your never ending rants!

- the campaign is going great and we are almost there, so fasten your belt!

William.
 
Hutakiwi kusema hujui what the ministry has done kwa ajili unaonyesha hujafanya research yeyote, labda kitu unachotaka kukifanya wizara wamesha kifanya?
By now ulitakiwa useme unajua wizara wamefanya a,b,c,d na mapungufu yake ni haya na haya.

Nakushauri nenda hapo wizara ya ea kuna vitu vingi sana vya kusoma na vitakusaidia

- Well, I always have a choice to lie or to tell the truth, so I chose to tell the truth and you have a problem, now if the ministry have done enough then why our people have no clue of EAC?

William.
 
- This is nothing but hatred which does not bother me, I have showed you who I am what is my education and work experience, and I am still going to show you and others what I stand for as far as EAC is concerned, I have made it very clear that I support One Viza cause you cannot integrate into a Federation and form a giant economic block without your citizens moving freely within the Community, and if we have a problem with one viza, then it is about time now we pull out of the Community!

- I SUPPORT ONE VIZA, BUT IT HAS TO BE DONE CAREFULLY.

William.

Nafikiri unachanganya isue ya common visa na movement ya wananchi wakawaida, hadi leo people from this block are freely roaming.
COmmon VISA ni kwa ajili tuseme ya Ma-NIGERIA, WAMAREKANI, wa-Ulaya nk. Sasa naomba utueleze free movement ya mnigeria ama m marekani itasaidia vipi uchumi kukua?
 
Tumbiri, kukaa nje ya Tanzania siyo sababu ya kutokujuwa shida za watanzania.

Mimi ninaweza kukutajia shida za mtanzania zote na uniambie kama zimebadilika na ni lini zimefanya hivyo.

Jmuhsi1,
Nakubaliana na wewe kabisa kwamba kukaa nje ya Tanzania siyo sababu ya kutokujuwa shida za Watanzania lakini kwa William Malecela natofautiana na wewe.

Nafikiri unachanganya isue ya common visa na movement ya wananchi wakawaida, hadi leo people from this block are freely roaming.
COmmon VISA ni kwa ajili tuseme ya Ma-NIGERIA, WAMAREKANI, wa-Ulaya nk. Sasa naomba utueleze free movement ya mnigeria ama m marekani itasaidia vipi uchumi kukua?

- Can we move to another subject rather than wasting time on one subject with no understanding, I mean how do you trade within the Community if you don't have free movement of people?

William.
 
Ask those who knows me will tell you of how you are wasting your time here with your never ending rants! The campaign is going great and we are almost there, so fasten your belt!

William.

Najua who knows you ni pamoja na Nape, Rizwan, Mwanaasha, Masha, Malima and the like. Alafu unasema kwamba the compaign is going great and you are almost there?! WanaJF hii ishara kwamba huyu jamaa kashaanza kumwaga pesa kwa wapiga kura maana mimi ninavyojua siku ya kampeni bado haijafika. Yani bila pesa CCM hupiti. Ntaendelea kuwapinga hadi naingia kaburini na kuna siku mtadondoka kwa kishindo kama Roma kwa sababu naamini hakuna Himaya iliyodumu milele zaidi ya himaya ya Mungu!

Back
Top Bottom