Kwanini ni lazima nioe?

Kudumu ni maturity ya mtu na sio housewives tu
 
Kwangu hakutokuwa na hicho kitu financial independence.
 
Life begins at 40. Mimi binafsi sioni sababu ya msingi ya kunifanya nioe. Kumbuka role model wangu ni hayati Le Mutuz, nilipendezwa na life style ya jamaa, najiona nikiishi maisha design hiyo ila sipendi mapicha picha ya kuweka social media
Ila jamaa si unakumbuka alivyodhalilika kwa kupigwa picha na yule malaya? Unafikiri angekuwa mkewe angethubutu kufanya upuuzi ule?
 
Acha uoga wewe. Hakuna cha rangi wala mavi ya rangi
 
Hata usipomzidi ex wake, akiamua kukuheshimu atakuheshimu tu. Ukiona hakuheshimu na umesimama kwenye nafasi yako, jua hakutaki unampotezea muda tu.
 
Hivi hao mademu mnawaokota wapi? I hope ni wa mazingira ya Mbagala, Mabibo, Mwananyamala nk, mbona huku Mbezi beach siwaoni?
 
Inchi fulani? Kam inchi ngapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…