Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

KAZI alizokuwa anafanyishwa sidhani kama angekumbuka hilo mwili unavunda na unazoea
Hakuna kazi Wala mateso yyt yanayoweza kusahaulisha uasili wa mwanadamu.

Kamuzu Banda pamoja na kuhasiwa (castration) lakini anakuambia kuna wakati alikuwa akipata kumbukumbu ya kutamani asingefanyiwa hivyo kwa hamu ya kutaka ku Do.

Vinginevyo kwa mtu aliyezaliwa na matatizo ya hali ya juu ya kimaumbile (abnormal)

BTW alijutia sana kitendo chake cha kukubali kuhasiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ufupi tu...samora macheli aliwahi kumuaga mkewe Graca macheli kuwa yeye [samora] anaweza poteza maisha hivyo akamwambia nikifa uende kwa mandela naamini mandela atakuwa raisi wa RSA...hivyo baada ya samora kutunguliwa graca alikuwa mjane na mandela akawa raisi hivyo unabii ukatimia ....hivyo mandela alikuwa na akiba ya mke ...haikvwa rahisi kumrudia kahaba
 
Back
Top Bottom