YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,924
Kenya formula ni hiyo hiyo lakini pesa wakiiba Kenya wanawekeza ndani ya Kenya. KAMA kweli viongozi wetu wezi pesa wanawekeza wapi mbona wachovu tu na hawahami nchi wao na watoto wao?80% mifukoni mwa watawala, 20% tunajengea madarasa na madaraja.