Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Kwamujibu wa kamusi,
Izi maneno mbili ni synonymous
Of each other (yaan yana maana Sawa)
Ila kwa kuongezea nyama kidogo
KAHABA:huyu ni MWANAMKE ambaye yuko addicted na
NGONO anaeza fanya ata na MBWA!!!
Ahsante sana mkuu
 
Hulka ya mwanamke si kupenda,ni viherehere vyetu tuu na kujipa majukumu yasiyo stahiki zetu...ndio maana vurugu haziishi kwenye mahusiano,.ukisema pesa wapo wenye nazo na bado wanagalagala kwa uchungu wa kutendwa..nk
kweli, kazi yenu ni kutii na kazi yetu ni kuwapenda
 
Niliwahi kumuuliza mpwa wangu. Ilikuwaje mpaka ukazaa na yule jamaa. Akanijibu kuwa jamaa alimshinda kwenye majadiliano. Kila alivyojaribu kuchomoa jamaa alikuja na gia mpya. Nikakosa la kusema zaidi.
 
Kwasisi waislam tumeambiwa tumpende mwanamke kwa vitu vinne:

* Tabia yake
* Uzuri wake
* Mali yake
* Dini yake

Narudi kwenu akina mama nyinyi mmeambiwa mtupende kwa kitu gani?
Nasubiri jibu chap haraka..
Mkishindwa basi kuanzia leo mkome kuanzisha mtongozo.
 
Mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya utajiri au pesa ?
Vipi kuhusu wake za matajiri wanaotoka kimapenzi na masikini ?

Je mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya shoo nzuri na pumzi kunako 6*6 ?
Je vipi kuhusu ma askari na wapiga gym wanaojiua kisa wake zao kuchepuka ?

Mwanamke anampenda mwanaume aliyeanza nae kama rafiki kwa muda mrefu, wakasaidizana mambo mengi kama marafiki, wakafahamiana kwa kina, wakaendana kitabia kisha wakaingia kwenye mahusiano,

Huyo ndio mwanaume anayependwa na kukumbukwa na mwanamke nyakati zote ? .

Swali ni je kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?
Hii ndo zile debate za vyuoni
Jibu kiunagaubaga
 
Hulka ya mwanamke si kupenda,ni viherehere vyetu tuu na kujipa majukumu yasiyo stahiki zetu...ndio maana vurugu haziishi kwenye mahusiano,.ukisema pesa wapo wenye nazo na bado wanagalagala kwa uchungu wa kutendwa..nk
kama ulivyo tendwa wewe
 
Back
Top Bottom