Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

[emoji23]

Mkuu kiranga,
Eleza hiyo screenshoot ya pili umeielewaje kwa uelrwa wako
 
Hebu tafsiri hiyo screenshoot ya pili kwa uelewa wako umeilewaje?
Tuanzie hapo kwanza?
yanihoja unaleta wewe halafu tafsiri nitafsiri mimi?

Mimi nishatafsiri na kusema kwamba hakuna sehemu yoyote katika hiyo screenshot palipoandikwa kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.

Sasa wewe nipe sehemu palipoandikwa hivyo.

Tafsiri tuone.

Maana nishaona tatizo lako hujui kusoma Kiingereza, na unalazimisha maruweruwe uliyonayo kichwani yawe ndiyo yameandikwa kwenye hicho kitabu.

Habari ya kusema sexual orientation ni sexual disorder inakaripiwa vibaya sana na watu waliosoma haya mambo.

Hizi ni habari za evangelicals wanaofanya sexualorientation conversion, a religious pseudoscience.

Sasa wewe ndiyo unatupeleka huko.

Kitabu chako mwenyewe pale mwanzo ulipopahighlight pameandikwa hivi.

"Sexuality is determined by anatomy, physiology, psychology, the culture in which one lives, one’s relationship with others, and developmental experiences throughout the life cycle. It includes the perception of being male or female and all those thoughts, feelings, and behaviors connected with sexual gratifi cation and reproduction, including the attraction of one person to another. —SADOCK & SADOCK, 2008

Hata habari unazoleta wewe mwenyewe na kuzi highlight unazielewa?
 
Ushahidi upo kwenye hiyo ya pili, ukiisoma picha ya kwanza kwa juu utaona title ya topic imeandikwa sexuality disiorder, pia kuna objectives,

Screen shoot ya pili ni ushahidi wenyewe ambao ni content ya topic

[emoji16]
Nimekuwa nikikuangalia tu muda mrefu unavyokomaa wakati kila kitu kipo wazi,

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
 
Wapi wameandika kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder?

Hujaweka nukuu, umeweka maneno mengi tu ambayo nimeyasoma yote hakuna walipoandika kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.

Unalazimisha tu.

Kama unabisha, weka nukuu hapa tuchambue neno kwa neno.
 
Nina wasi wasi na elimu yako, hata mtoto wa certificate hawezi uliza maswali mabovu kama haya,

Hujui title ya topic ni nini?
Hujui objectives?
Hujui content?
Hujui terminologies?
 
Title ya topic ikiwa sexual disorders hilo maana yake mwanamke kumpenda mwanamke ni sexyal disorders?

Mbona unataka ulazimisha kitu ambachohakijaandikwa?

Unaweza kunipa sentensi inayokufanya useme kitabu kimeandika kwamba mwanamke kumpenda mwanamkeni sexual disorder tuijadili hapa?

Kwa sababu mimi naona una matatizo ya kuelewa Kiingereza tu, hakunasehemu palipoandikwa hivyo katika nukuu uliyoleta hapa.
 
Iko hivi,
Hiyo topic inazungumzia sexuality disioders,

Kwenye content umewekewa maelezo ya mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie nashangaa huelewi sijui unakwama wapi
 
Wewe hata spelling za "disorder" tu tabu.Jifunze spelling kwanza.Ndiyo urukie makubwa zaidi.

Kwa hiyo kama topic inazungumzia sexual disorder, na kwenye maelezo kuna maelezo ya mwanamke kumpenda mwanamke mwingine, bila kujali muktadha wa maelezo hayo, hilo maana yake mwanamke kumpenda mwanamke mwingine ni sexual disorder?

What kind of pseudoscience is that? What kind of gross laziness is that?

Unaweza kunipa mstari au kifungu cha mistari kinaokufanya useme kitabu kinasema mwanamke kumpenda mwanamke mwingine ni sexual disorder?
 
Back
Top Bottom