Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Nalo neno tena hao waliolewa na wenye pesa, wanazichukua nakwenda kuwahonga makapuku, mwanamke ni kutii mwanaume ndiye wakumpenda mwanamke

Exactly,. Neno la Bwana limesema,."enyi waume wapendeni wake zenu....."na enyi wake watiini waume zenu..." Sasa hii vita itaisha tukifata misingi iliyokuwako.

Kwa mujibu wa biblia jukumu last kupenda ni la mwanaume na la mwanamke ni kutii

Mmesema ukweli kabisa.

Changamoto ni kwamba hata kutii nako ni issue ...
 
ukiwa soap soap sanaa wanajikanyaga wenyewe, unajikuta ameingia kwenye 18, basi ni kuachia triga tu
 
Kwa nayakati hizi mwanamke anampenda mwanaume kama mtatuaji wa matatizo yake, kiakili kimwili kiuchumi n.k
Soap soap ni dalili ya kujijali, na kujijali kunahitaji fedha, sasa wanajua fedha ipo hapa.

Kuwa soap bila fedha utapigwa mizinga ya kilograms mpaka ushangae.
 
Kwasisi waislam tumeambiwa tumpende mwanamke kwa vitu vinne:

* Tabia yake
* Uzuri wake
* Mali yake
* Dini yake

Narudi kwenu akina mama nyinyi mmeambiwa mtupende kwa kitu gani?
Nasubiri jibu chap haraka..
Mkishindwa basi kuanzia leo mkome kuanzisha mtongozo.

Tumpende au Tumuoe?
 
Mwanamke hapendi kamwe Bali mwanamke anahisia , hisia zikimpeleka hivi ndo hukohuko ,zikimpelekeka kwenye pesa sawa, kwenye gemu sawa kwenye mwanaume mbov poa tu

Kwa hiyo mwanamke hapendi kamwe ndo maana biblia haijampa jukumu la kupenda Bali jukumu la kupenda kapewa mwanaume
 
Exactly,. Neno la Bwana limesema,."enyi waume wapendeni wake zenu....."na enyi wake watiini waume zenu..." Sasa hii vita itaisha tukifata misingi iliyokuwako.
Hii kitu naiongea sana kwa wadada lakini wapiii hawanielewii, nafurahi kusikia the same kutoka kwenu Ke
 
_20180719_225002.JPG
hahaaaa......
Wakuu don't try to understand a WOMAN maana you'll either GO MAD or LOVE HER even deeper than before
 
Niliwahi kumuuliza mpwa wangu. Ilikuwaje mpaka ukazaa na yule jamaa. Akanijibu kuwa jamaa alimshinda kwenye majadiliano. Kila alivyojaribu kuchomoa jamaa alikuja na gia mpya. Nikakosa la kusema zaidi.
Hapa kuna harufu ya ukweli wa jibu, mchoro mzima wa swali upo kwenye comment yako,
Lakin hayo majibu ni yapi?
 
Niliwahi kumuuliza mpwa wangu. Ilikuwaje mpaka ukazaa na yule jamaa. Akanijibu kuwa jamaa alimshinda kwenye majadiliano. Kila alivyojaribu kuchomoa jamaa alikuja na gia mpya. Nikakosa la kusema zaidi.
[emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji28] huyo mwanao n i mtambo hasa, hataki unafiki kabisa
 
Kwasisi waislam tumeambiwa tumpende mwanamke kwa vitu vinne:

* Tabia yake
* Uzuri wake
* Mali yake
* Dini yake

Narudi kwenu akina mama nyinyi mmeambiwa mtupende kwa kitu gani?
Nasubiri jibu chap haraka..
Mkishindwa basi kuanzia leo mkome kuanzisha mtongozo.
Tunataka watupe majibu ili tuujue ukweli
 
Back
Top Bottom