Root root AE
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 217
- 394
Ahaa nshaanza kuhisi unachota,isiwe ile ya MWANAMKE hupenda kwa kusikia(yaani ukiweza kumskilizisha anachopenda Basi,na MWANAUME hupenda kwa kuona(yaani ukiweza kumuonyesha anachotaka Basi) Et! MWANAMKE anapenda nyama ya ulimi kwa MWANAUME, ukimpa maneno matamu kwisha habari
Hapa kuna harufu ya ukweli wa jibu, mchoro mzima wa swali upo kwenye comment yako,
Lakin hayo majibu ni yapi?