Kwanini mwalimu hafanyiwi "certification" kama mhasibu (Certified Public Accountant) ilhali walimu ni wengi na elimu bora ndio msingi wa taifa imara?

Wanasheria huwezi kuwa graduate tu na kuanza practice bila kwenda law school baada ya kuhitimu, utafanya shughuli nyingine kwa nafasi ya legal officer na si fully fledged practitioner.

Hoja inabaki pale pale, kila taaluma ina utaratibu wake, kama usemavyo hao wengine wanaandika ripoti tu, sasa hiyo ndo mchakato wa certification kwao.

Au ni lazma taaluma zote zifuate mfumo wa wahasibu?
Thanks
 
Wanasheria huwezi kuwa graduate tu na kuanza practice bila kwenda law school baada ya kuhitimu, utafanya shughuli nyingine kwa nafasi ya legal officer na si fully fledged practitioner.

Hoja inabaki pale pale, kila taaluma ina utaratibu wake, kama usemavyo hao wengine wanaandika ripoti tu, sasa hiyo ndo mchakato wa certification kwao.

Au ni lazma taaluma zote zifuate mfumo wa wahasibu?
Thanks
 
The Teachers board is about to be formed.
Kwa nchi zingine zilizoendelea, kuwa mwalimu lazima uwe certified, pia lazima uwe na degree moja na kuendelea, kwa kufundisha Kuanzia chekechea mpaka advanced level.
 
Kwanza lekebisha sema your MOTTO and not our,cjui uzalendo upi? Nchi yangu naipenda ila kama utaona uovu na kunyamaza huo ni unafiki sio uzalendo maana kuna wazalendo mambo leo wachumia tumbo.Bahati nzuri au mbaya nimepitia coz zote mbili ualimu na Accountancy,Nchi yetu imepitia kipindi kigumu sana katika kuinua elimu nchini ikafikia hatua wakaajiliwa walimu wa upe watu walifaulu hadi maks 230 lakini hawakupata secondary hivyo bas huwezi kuweka mtihani huo ukijua wazi unahitaji wafanya kazi 50 na ulionao ni 15 mtihani wa nini,Polepole tutafika huko utakuwepo mtihani huo ila hakuna vyuo vinavyozalisha watu wenye nidhamu na maadili kama vyuo vya ualimu,tatizo ni kila mtu ana tabia zake.
Thanks for writing
 
Tatizo walimu wengi wao walikuwa vilaza. Div 4 na 3 ya kuning'inia. Ukitaka kuwafanyia certification utawapurua karibu wote
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Kwanini mwalimu hafanyiwi "certification" kama mhasibu (Certified Public Accountant) ilhali walimu ni wengi na elimu bora ndio msingi wa taifa imara??

Kwanini kuna "Certified Public Accountants (CPAs)" ila hakuna "Certified Public Teachers (CPTs)? Kwanini Maofisa Elimu hawathibitishwi kwa maana wao ndio uti wa mgongo wa taifa lolote imara?

Niliwahi kumuuliza binamu yangu mmoja hivi yeye ni accountant kwanini wakimaliza bachelor degree wanalazimika kufanya tena CPA papers ili watambulike na bodi yao ya uhasibu (National Board of Accountants and Auditors "NBAA") akasema ya kwamba baadhi ya vyuo huwa havifundishi vizuri wahasibu masuala ya kutosha pia baadhi ya wahasibu huwa wanafaulu kwa kupitia rushwa za ngono pamoja na rushwa za namna nyingine hivyo ni lazima kuwe na namna ya kuwadhibiti wahasibu vilaza.

Sasa nikajiuliza kama changamoto ni hizo katika vyuo that's means all students (let's say at the UDSM) go through the same circumstances, kwanini tusifanye "certification' kwa walimu/education officers ambao wao ndio wengi zaidi na ndio msingi wa taifa imara?

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
View attachment 1253892


Mzee umewaza vyema
Ni hoja hii inabidid ifanyike kitaifa
 
Back
Top Bottom