Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,166
- 123,292
Anawasimamia binadamu katika lipi?Hapana sijakosea, mungu yupo ili kuwasimamia wanadamu ni mtazamo wa wanadamu juu ya uwepo wa mungu.
Nje ya mtazamo wa mwanadamu mungu yupo bila sababu maalum ni kama reality itself.
Nikikuuliza wewe kwanini upo hai utajibu nini?
Ukraine kuna massive murders watu wanakufa afu we unasema anatusimamia.
Ukiniuliza kwanini nipo hai jibu ni moja tu
Nipo hai kwasababu ya juhudi zangu binafsi za kuepukana na hatari zinazoweza nisababishia nisikuwepo though active cells nazo zinanifanya nizidi kuongeza number ila zikichoka nitakufa tu
