Kwanini Mungu yupo?

Kwanini Mungu yupo?

Sina dini.

meditation ime tuaribia vijana.

+Chakra+Kundalini+yoga aya Mambo ni uchawi mtupu, na ndio chanzo cha aya .
🤣🤣🤣🤣 sjui kwa nn nacheka , meditation haijaharibu vijana mkuu ... the kingdom of God is within you. Afu meditation gives you answers, you should try it
 
Kwa maoni yangu majibu yatatoka kwenye hii statement yako:

"Kama Kuna ulazima wa ulimwengu kuwepo, basi Inamaana ulimwengu una thamani kuliko Mungu, kama binadamu tulivyo na thamani kuliko viti"

Aliyeumba viti ana thamani kuliko viti, aliyeumba ulimwengu kwann thamani ya ulimwengu iwe kubwa kuliko ya aliyeumba ulimwengu?

Back kwenye swali lako la kwann MUNGU yupo? Turudi kwenye mfano wako wa kiti, kwann kiti kipo? Binadamu anajua ni kwann kiti kipo ila kiti kinajua kwann kipo? Jibu lako linaweza kuwa kiti hakina utashi wala ufahamu hakiwezi kujua kama kipo, kama suala ni utashi na ufahamu, Kama jinsi ambavyo unakifahamu kiti na unafahamu kuwa hakina uwezo wa kukuchunguza wewe uliyekitengeneza sababu hukukipa huo uwezo Na je, alipotuumba alitaka tuwe na ufahamu wa kiwango cha kufahamu kwann yeye yupo?

Kama hakutaka na hakutupa kiwango hicho cha ufahamu tutapata jibu la kwann yupo? Kama alitupa kiwango hicho cha ufahamu basi ni suala la muda kufahamu kwann yupo, nyakati zitasema ila kwa sasa bado sababu huenda kuna mengi ya kufahamu kabla ya kufahamu kuhusu sababu za uwepo wake. Huenda tukifahamu siri ya kifo tutajua kuhusu uwepo wa MUNGU.

Concept ya MUNGU kwann ipo? Ipo kwa sababu ya baadhi ya majibu ambayo binadamu anayahitaji ila hana hivyo anajikuta anamtafuta MUNGU, ni suala la kiimani. Mpaka pale majibu yatakapopatikana ndipo hii imani inaweza kupotea.

Sasa sababu ni suala la imani utalijadili vipi nje ya imani? Na ukiweka imani jibu la swali lako ni simple sana, Sisi tupo kumwabudu aliyetuumba na fikira zetu ni ndogo sana kuuchunguza sababu za uwepo wake. Hata ukiwa na midomo elfu moja na zaidi huwezi kumaliza kuuzungumza ukuu wake. Jibu la kiimani.
 
kama kweli sisi tupo na Mungu yupo , tafsiri ya neno Mungu tumeiweka kipersonality tu ili tulinganishe na mazingra yetu ya kimaumbo ya kuonekana ili akili ielewe , swala la Mungu kuwepo sio swala la kutafakari kiakili , kuna uwezo upo ndani yetu zaidi ya akili,huo uwezo sasa ndo Mungu mwenyewe anafanya kazi zke , kama za uumbaji , huo uwezo upo kwa kila kitu , kila mahali na chochote chenye uhai kinae Mungu ata ata unachohisi hakina uhai pia kina Mungu na kina sababu za kuwepo.
 
sjui kwa nn nacheka , meditation haijaharibu vijana mkuu ... the kingdom of God is within you. Afu meditation gives you answers, you should try it
Shog wewe

Huja jaribu Bado alafu una nambia Ni try it.

Majibu gani italeta?? umesha pata formula ya kutengeneza gari au injini la meli??

Umesha jua kwa Nini mashoga Yana shamiri??
 
Shog wewe

Huja jaribu Bado alafu una nambia Ni try it.

Majibu gani italeta?? umesha pata formula ya kutengeneza gari au injini la meli??

Umesha jua kwa Nini mashoga Yana shamiri??
inategemea ni meditation gn unfanya mkuu , katika kuifanya kuna grace zake pia kulingana na dhumuni la soul yako , mfono mzur ni kina tesla , thomas edson, na nk walifanya wakapata mafunuo kwenye science , wengine akili kubwa kma kina sanghuru, wengne peace full mind , na utulivu wa nafsi, ila kwa ww unatakiwa upate utulivu wa nafsi na uwe positive ingekusaidia sana mkuu.
 
Nataka wewe unambie hapa bongo Nani kavumbua kitu Fulani kwa kumediteti,

Hakuna tofauti na maono ya yesu na babaake.
Tunaitaji uvumbuzi wa vitu na sio kelele.

Nyie mnaingiwa na madimon ndio Mana mna uwezo waku mwomba mtu kitu\kazi na aka kupa haraka.
 
mkuu umejuaje tunaingiwa na madimon au umesimuliwa ? ugunduzi mbona upo tu ata kma mtu hafanyi meditation , tanzania watu niwabunifu na wagunduzi wakubwa sema tumechagua kuwakubali wazungu kuliko uwezo wetu, mtoto alie zoea kupewa kamwe hawezi kuwa na uwezo wakutatua changamoto .
 
Fanya kazi hachana na mambo ya ovyo Kama hayo.
Tatizo letu tuna taka Mambo maraisi na ndio shida inakuja.
Mnafanya uchawi.
 
Nataka wewe unambie hapa bongo Nani kavumbua kitu Fulani kwa kumediteti,

Hakuna tofauti na maono ya yesu na babaake.
Tunaitaji uvumbuzi wa vitu na sio kelele.

Nyie mnaingiwa na madimon ndio Mana mna uwezo waku mwomba mtu kitu\kazi na aka kupa haraka.
mkuu pia mafanikio yangu kwenye meditation , nmeyajua madawa mbalimbali , naweza kujiponya , naona jambo kabla halijatokea najua dhumuni langu ninni , najua mimi ni nani , nilikua wap nipo kwasababu gn , nitaenda wap , kifo ni nn kina faida gan na hata kupata uzoefu nacho , kusali ni kumwomba Mungu , kutaamuli nikusikiliza sauti ya Mungu , dini zote duniani zina kipande maalumu cha kumeditate japo kwa uchache .
 
Fanya kazi hachana na mambo ya ovyo Kama hayo.
Tatizo letu tuna taka Mambo maraisi na ndio shida inakuja.
Mnafanya uchawi.
mkuu nani kakuambia kipaumbele chako nikipaumbele changu ? nifanye kazi alafu? nipate pesa nikisha pata pesa alafu, niishi vzur nikishaishi vzur alafu, nifurah nikishafurah alafu , nife nikishakufa alafu ndo basi ikishakua basi alafu ----- hakuna jambo zuri kama kuishi uku unajitambua wewe ni nani , umetoka wap na unaenda wap na dhumuni lako ni nin, simamia vipaumbele vyako , pia ata usipojua hayo wala hautapata hasara zaidi ya kutafuta kitu ambacho tayari unacho
 
Nikifuatilia mwanzo wa maisha yangu sipati jibu, basi kuna mwanzo wa vitu vyote, na ni "first cause' ambae ni Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni simple tu mkuu ile intelligence iliyoweka rangi tofauti kwa kinyonga ili aweze kujihami kwenye mazingira, ile nguvu na intelligence iliyopangilia mfumo wa nerve system katika nyuzi ndogo zenye mpangilio maalumu, ile nguvu na intelligence ilyotambua tunahitaji mvua na maji ili tuishi

ile intelligence na nguvu inayowezesha majimaji anayotoa mwanaume( sperm )yakutane na yai la kike yatengeneze kiumbe chenye mfumo yenye mipangilio tata , nguvu na intelligence inayofanya mbegu moja ya mhindi ukiipanda inaota ikitegemea jua na maji na udongo na kukua nakuzalisha mahindi mengi, nguvu hiyo kuu na intelligence hyo ndo tuna ita MUNGU nguvu yenye uwezo wa kuumba kwa intelligence ya hali ya juu sana na mpangilio ulio zid akili ya kawaida.

Kwa akili ndogo tu hyo mifumo yote imewekwa na hekima ya hali ya juu na uwezo ya juu sana wenye kubance kila kitu katika vipimo maalumu.
 
Yeye Hana cause?
ukisema yeye, unabinafsisha uwezo mkuu wa nguvu kuu na intelligence kuu iliyoweka mipaka na isiyokua na mipaka , kitu chenye cause lazima kiwe frem na mda flan ambapo pia mda ni illusion , ambayo ni man made illusion.
 
Nikifuatilia mwanzo wa maisha yangu sipati jibu, basi kuna mwanzo wa vitu vyote, na ni "first cause' ambae ni Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
ukishasema mwanzo na mwisho umeshafrem nguvu na intelligence kuu katika mipaka ya mda ambapo muda ni illusion na ni man made illusion , kila kitu kipo sasa hamna future , hyo future ni illusion tu unayoitengeneza kichwani , najenga sasa nakula sasa nasoma sasa ukisema nitajenga kesho ni illusion tu haina uhalisia wowote umeijenga kichwan tu .
 
Tatizo unataka majibu yako na siyo Mambo yalivyo..inaelekea hujanielewa..faida nimesema anajua yeye,ni Kama wewe na mwanao,utataka akuheshimu,unapata faida gani akikuheshimu!?..unaweza kutuonesha faida ya mwanao kukuheshimu!?
Kama kuna faida yeyote anayoipata basi huyo Mungu sio mkamilifu na hajitoshelezi, kwa
sababu kuna vitu ana lack na ili avipate anatuhitaji sisi tumtimizie
 
Kudharauliwa ni kinyume Cha kuheshimiwa...kutoheshimiwa si lazima utukanwe,bado hujaonesha faida ya kuheshimiwa na mwanao...na asipokuheshimu unapata hasara gani?..tuoneshe
Binadamu anataka kuheshimiwa sababu ya mapungufu yake.

Yani chanzo cha heshima kimesababishwa na mapungufu ya watu.

Na heshima ipo katika matabaka, heshima nayo muoneshea mzazi wangu na yeye akaifurahia, haiwezi kuwa universal kwa mzazi mwingine.

Hiyo yote kwasababu ya mapungufu ya binadamu

Mfano, mimi mzazi wangu akikosea naweza nikamsahihisha kuwa hapo mzee umekosea na yeye akakiri kosa.

Lakini kwa mzazi mwingine akikosea ukimkosoa atakuambia huna heshima.

Kwa hiyo hapo ukiangalia utaona kilichokuwa heshima kwa mtu mmoja, kwa mwingine jambo hilo hilo limeleta taswira tofauti.
 
Back
Top Bottom