Kwanini Mungu yupo?

Kwanini Mungu yupo?

Kwa nini JUA lipo? Kwa nini linatokeza Mashariki na kuzama Magharibi na si Kaskazini au Kusini? Huwezi ukahoji uwepo na maumbile ya nature. Nature inakuwepo tu pasipo ridhaa yako na baada ya hapo unachotakiwa kuhoji ni SABABU ZA UWEPO WAKE na si kwa nini ipo

Kwa mfano, huwezi ukahoji kwa nini wewe umezaliwa mwanamme au mwanamke ila unaweza ukahoji sababu za wewe kuzaliwa mwanamme au mwanamke.

SI KILA SWALI ULILONALO KICHWANI KWAKO, LINA MAJIBU AMBAYO YANAWEZA KUTOLEWA NA MWANADMU

Sababu pekee ya uwepo wa Mungu ni Ibada!
Asingekuwepo; wewe pia usingekuwepo. Mungu yupo ili mimi na wewe pamoja na viumbe vingine, vilivyopo, vinavyoonekana na visivyoonekana, tuweze kumwabudu.
Ni Mungu pekee anayestahili kuabudiwa
Ok kumbe ibaada ndio kitu fundamental kwenye Huu ulimwengu.

Ni kwanini? Ibaada inasaidia Nini?
Inamaana ibaada isingekuwepo hata Mungu asingekuwepo, maana kusingekuwa na Sababu ya yeye kuwepo.
 
Ukisema Mungu haitaji sababu ya kuwepo, Kwahyo Mungu Hana purpose yoyote kwenye Huu ulimwengu? ....Inamaana hata asingekuwepo, kusingekuwa na Hasara yoyote?
Mungu ndio mtoa pumzi na chanzo cha upendo kwetu sisi wanadamu.

Ulimwengu si sababu ya Mungu kuwepo kwani yeye ndiye aliyeuumba.
Angeendelea kuwepo hata asingeumba ulimwengu na sisi wanadamu.

Kiukweli imani zetu za kidini hazituweki wazi sana juu ya sababu hasa ya Mungu kuumba ulimwengu.
Kwanini asingeacha tu??
Kuumba ulimwengu kunamfaidisha nini hasa??
Kutokuumba ulimwengu kunahasara gani kwake??
Je, hakujua anguko la mwanadamu kabla ya uumbaji wake??

Zaidi, baadhi ya dini zinatuambia kwamba kulingana na ukuu wa Mungu, baadhi ya maswali hayawezi kujibika kwa akili zetu na tutapata nafasi ya kuuliza maswali yanayo tutatiza tufikapo mbinguni.

NB: Huwezi kuelezea uwepo wa Mungu nje ya imani za kidini (ni swala la imani tu).
 
Kwa nini JUA lipo? Kwa nini linatokeza Mashariki na kuzama Magharibi na si Kaskazini au Kusini? Huwezi ukahoji uwepo na maumbile ya nature. Nature inakuwepo tu pasipo ridhaa yako na baada ya hapo unachotakiwa kuhoji ni SABABU ZA UWEPO WAKE na si kwa nini ipo

Kwa mfano, huwezi ukahoji kwa nini wewe umezaliwa mwanamme au mwanamke ila unaweza ukahoji sababu za wewe kuzaliwa mwanamme au mwanamke.

SI KILA SWALI ULILONALO KICHWANI KWAKO, LINA MAJIBU AMBAYO YANAWEZA KUTOLEWA NA MWANADMU

Sababu pekee ya uwepo wa Mungu ni Ibada!
Asingekuwepo; wewe pia usingekuwepo. Mungu yupo ili mimi na wewe pamoja na viumbe vingine, vilivyopo, vinavyoonekana na visivyoonekana, tuweze kumwabudu.
Ni Mungu pekee anayestahili kuabudiwa
So Mungu yupo ili aabudiwe??
Pasipo kuabudiwa Mungu hawezi kuendelea kuwepo??
 
Kwahyo pasipo binadamu hakuna muda?
Ukifunga nyumba yako ukaondoka, muda pale unaganda? Ukirudi unaganduka?

Kama umeacha chakula wazi nyumbani ukarudi baada ya siku 3 utakikuta kipo vilevile au kimebadilika?
Maana kama hakuna muda basi hakuna mabadiliko.
Uwepo wa mabadiliko ndio umeleta muda...Na Huu muda utaendelea kusonga mbele bila kurudi nyuma kwasababu ya 2nd law of thermodynamics, the law of entropy.
Entropy always increases, so time will always go forward.
ndio haswa binadamu katika mfumo wa maumbile ya mwili ndio amejiwekea mda kwa sababu ana mwanzo na mwisho kimwili , mda ni dhana yakufikirika tu mjomba , kulingana na mabadiliko ya nchi , ndo maana mda ni tofauti kulingana na eneo moja na jingne , yani ni kupanga tu kwamba tukiona jua la utosi ni sa sita , tukiona mvua zinanyesha ni mwezi wa tatu masika na hyo dhana tunaijenga kichwan kwa mda mrefu , ndo maana umehisi inauhalisia kbsa , na ndio maana una limit nguvu kuu kwenye mda.
 
Ok kumbe ibaada ndio kitu fundamental kwenye Huu ulimwengu.
Ni kwanini? Ibaada inasaidia Nini?
Inamaana ibaada isingekuwepo hata Mungu asingekuwepo, maana kusingekuwa na Sababu ya yeye kuwepo.
Uko safi, naanza kupenda namna unavyofikiria.

Chukulia hii Hypothetical Experiment; Aassuming tungekuwa tunaweza kufanya expereiment kwa kutumia binadamu aliye hai:

KWAMBA umchukue mtoto mdogo aliyezaliwa leo, mpeleke akaishi peke yake porini na kwamba hakuna kitu kinachoweza kumdhuru huko na wala hakuna hitaji analoweza kukosa. Akue akiwa huko peke yake na akili yake iendelee kuwa kawaida pasipo kuwa kasoro yoyote, huku akiwa hana kabisa interaction na binadamu mwingine yeyote, na possibly asijue kabisa kuwa wapo binadamu wengine zaidi yake yeye.

Baada ya kuwa amkekuwa mtu mzima huku akiwa anaendelea kuishi katika mazingira hayo, unadhani nje ya kufanya kazi za kawaida kujipatia mahitaji yake ya kawaida kama vile chakula na maji, nini kingine cha ziada ambacho ni lazima tu atakifanya atake asitake, ukizingatia kuwa huwa anaona:

1. Jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi kila siku;

2. wakati mwingine mvua ikinyesha na mawingu yakiwa yanatembea angani kila siku

3. kila kitu kilichoko juu angani na vyote vilivyoko juu ya ya ardhi, n.k.

Mtu yeyote MWENYE AKILI TIMAMU, akishayaona mambo haya yote, kitakachofuata baada ya hapo ni IBADA. Sasa, whether atafanya Ibada ya kumwabudu Mungu wa kweli ama la; hilo sasa litakuwa ni swala jingine. Naturally mtu yupo kwa ajili ya Ibada; kitu core kwa kiumbe yeyote anayeitwa binadamu ni Ibada

Hata hivyo, Ibada nazo pia zipo nyingi. Zipo za kwenye majumba ya Ibada na zipo za nje ya majumba ya Ibada. Kwa mfano, kufanya kazi zako sawasawa na na sheria za nchi ikiwa ni pamoja na kuwatendea haki watu wanaofika ofisini kwako wakihitaji msaada wako; hiyo nayo pia ni Ibada nyingine

Hizi ndiyo mojawapo ya Ibada ambazo kwazo Mungu alikuumba ili umwabudu
 
ni kitu gani kilichopangilia mfumo wa fahamu , mfumo wa mmengenyo wa chakula , na nk je huo mpangilio hauna intelligence ya aina yoyote? je unafikiri ni nini kilisababisha vitu viwepo kwenye mfumo maalumu na kwasababu maalumu je vipo tu bila nguvu yoyote? na sababu za kuwepo ni nin ? ili iweje ? na je vyote unavyoviona vime arise kutokea wap na kwa nguvu ipi?
Maswali yako yoylte jibu lake ni hili "Sijui"

Lakini jibu langu la sijui halitoi mwanya kuwa jibu lingine lisilola kiuchunguzi (Mungu) ndio chanzo.

Vipi kama ni viumbe kutoka sayari zingine wametutengeneza kama majaribio yao ya kisayansi?

Vipi kama huu mfumo wa watu kufa, ni moja ya failure ya hao viumbe waliuotuumba sisi na wako katika mchakato wa kuboresha ugunduzi wao?

Watu wengi wanafikiria maswali ya namna hiyo kuhusu complex ya vitu ndio yanatoa mwanga wa kuthibitisha Mungu yupo

Lakini kihalisia ukifata principle ya maswali hayo bila kuivunja basi sidhani kama utahitimisha kusema Mungu yupo

Kwanini nasema hivyo

Kwasababu hoja inajadili complex ya kitu kuwa ni lazima kiwe na chanzo, na kadri kitu kinavyokuwa na complex kubwa maana yake ndio kinakuwa na ulazima wa kuwa na chanzo kuliko kitu chenye complex ndogo

Kama vishkwambi vya kuhesabia sensa pamoja na complex ndogo vilivyonavyo lakini bado inakuwa ngumu kusema havina chanzo, basi hicho chanzo kilichounda hivyo vishkwambi ni lazima kiwe kihitaji chanzo maradufu kwasababu kina complex kubwa kuliko vishkwambi.

Halikadhalika unaposema mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, mfumo wa intellijensia ya mtu kuwa haiwezekani vitu hivyo tata vikawepo bila kuwepo na chanzo kilichosababisha, ambacho chanzo hicho umekipa jina la Mungu

Basi hata Mungu huyo ambaye ana complex zaidi ya kiumbe chenye mmeng'enyo wa chakula alichokiumba lazima Mungu huyo ahitaji chanzo zaidi kuliko binadamu mwenyewe.

Ukisema Mungu yupo hana chanzo (ukavunja sheria ya kuhoji complex) huna tofauti na mtu anayesema vishkwambi vipo na havina chanzo.
 
Uko safi, naanza kupenda namna unavyofikiria.

Chukulia hii Hypothetical Experiment; Aassuming tungekuwa tunaweza kufanya expereiment kwa kutumia binadamu aliye hai:

KWAMBA umchukue mtoto mdogo aliyezaliwa leo, mpeleke akaishi peke yake porini na kwamba hakuna kitu kinachoweza kumdhuru huko na wala hakuna hitaji analoweza kukosa. Akue akiwa huko peke yake na akili yake iendelee kuwa kawaida pasipo kuwa kasoro yoyote, huku akiwa hana kabisa interaction na binadamu mwingine yeyote, na possibly asijue kabisa kuwa wapo binadamu wengine zaidi yake yeye.

Baada ya kuwa amkekuwa mtu mzima huku akiwa anaendelea kuishi katika mazingira hayo, unadhani nje ya kufanya kazi za kawaida kujipatia mahitaji yake ya kawaida kama vile chakula na maji, nini kingine cha ziada ambacho ni lazima tu atakifanya atake asitake, ukizingatia kuwa huwa anaona:

1. Jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi kila siku;

2. wakati mwingine mvua ikinyesha na mawingu yakiwa yanatembea angani kila siku

3. kila kitu kilichoko juu angani na vyote vilivyoko juu ya ya ardhi, n.k.

Mtu yeyote MWENYE AKILI TIMAMU, akishayaona mambo haya yote, kitakachofuata baada ya hapo ni IBADA. Sasa, whether atafanya Ibada ya kumwabudu Mungu wa kweli ama la; hilo sasa litakuwa ni swala jingine. Naturally mtu yupo kwa ajili ya Ibada; kitu core kwa kiumbe yeyote anayeitwa binadamu ni Ibada

Hata hivyo, Ibada nazo pia zipo nyingi. Zipo za kwenye majumba ya Ibada na zipo za nje ya majumba ya Ibada. Kwa mfano, kufanya kazi zako sawasawa na na sheria za nchi ikiwa ni pamoja na kuwatendea haki watu wanaofika ofisini kwako wakihitaji msaada wako; hiyo nayo pia ni Ibada nyingine

Hizi ndiyo mojawapo ya Ibada ambazo kwazo Mungu alikuumba ili umwabudu
MUNGU haitaji chochote kutoka kwako hana upungufu hana udhaifu wa aina yoyote , unaabudu kwa sababu wewe ndo unamhitaji Mungu , kama ulisikia Mungu anapenda sifa , kuabudiwa na wivu na hasira , ni hulka zinazomweka Mungu katika hisia za maumbile ya mwili kama binadamu alivyo

Mungu ni nguvu kuu isiyo na mipaka ya aina yoyote inayofanya kazi kazi katika viwango linganifu ili kuweka kila kazi za uumbaji katika usawa sahihi kabsa.
 
Usimtishe mtoa hoja.
Tafuta jibu aweze kukidhi dukuduku lake.

Mie naamini Mungu yupo. Lakini kwa nondo alizoweka hapo nimejichimbia kusaka jibu
Unajichimbia kutafuta jibu kwa nini mungu yupo!!!?..kila la kheri
 
Maswali yako yoylte jibu lake ni hili "Sijui"

Lakini jibu langu la sijui halitoi mwanya kuwa jibu lingine lisilola kiuchunguzi (Mungu) ndio chanzo.

Vipi kama ni viumbe kutoka sayari zingine wametutengeneza kama majaribio yao ya kisayansi?

Vipi kama huu mfumo wa watu kufa, ni moja ya failure ya hao viumbe waliuotuumba sisi na wako katika mchakato wa kuboresha ugunduzi wao?

Watu wengi wanafikiria maswali ya namna hiyo kuhusu complex ya vitu ndio yanatoa mwanga wa kuthibitisha Mungu yupo

Lakini kihalisia ukifata principle ya maswali hayo bila kuivunja basi sidhani kama utahitimisha kusema Mungu yupo

Kwanini nasema hivyo

Kwasababu hoja inajadili complex ya kitu kuwa ni lazima kiwe na chanzo, na kadri kitu kinavyokuwa na complex kubwa maana yake ndio kinakuwa na ulazima wa kuwa na chanzo kuliko kitu chenye complex ndogo

Kama vishkwambi vya kuhesabia sensa pamoja na complex ndogo vilivyonavyo lakini bado inakuwa ngumu kusema havina chanzo, basi hicho chanzo kilichounda hivyo vishkwambi ni lazima kiwe kihitaji chanzo maradufu kwasababu kina complex kubwa kuliko vishkwambi.

Halikadhalika unaposema mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, mfumo wa intellijensia ya mtu kuwa haiwezekani vitu hivyo tata vikawepo bila kuwepo na chanzo kilichosababisha, ambacho chanzo hicho umekipa jina la Mungu

Basi hata Mungu huyo ambaye ana complex zaidi ya kiumbe chenye mmeng'enyo wa chakula alichokiumba lazima Mungu huyo ahitaji chanzo zaidi kuliko binadamu mwenyewe.

Ukisema Mungu yupo hana chanzo (ukavunja sheria ya kuhoji complex) huna tofauti na mtu anayesema vishkwambi vipo na havina chanzo.
Hizi so Shana tu!!...vipi Kama,vipi vile!!!...ni dhana,hakuna hoja hapo
 
Binadamu anataka kuheshimiwa sababu ya mapungufu yake.

Yani chanzo cha heshima kimesababishwa na mapungufu ya watu.

Na heshima ipo katika matabaka, heshima nayo muoneshea mzazi wangu na yeye akaifurahia, haiwezi kuwa universal kwa mzazi mwingine.

Hiyo yote kwasababu ya mapungufu ya binadamu

Mfano, mimi mzazi wangu akikosea naweza nikamsahihisha kuwa hapo mzee umekosea na yeye akakiri kosa.

Lakini kwa mzazi mwingine akikosea ukimkosoa atakuambia huna heshima.

Kwa hiyo hapo ukiangalia utaona kilichokuwa heshima kwa mtu mmoja, kwa mwingine jambo hilo hilo limeleta taswira tofauti.
Nimeuliza nini faida ya heshima na ikiwa anaweza ionesha,acha kuzungukazunguka kihoja na kudandia mambo
 
Kama kuna faida yeyote anayoipata basi huyo Mungu sio mkamilifu na hajitoshelezi, kwa
sababu kuna vitu ana lack na ili avipate anatuhitaji sisi tumtimizie
Uwe unafikiri kwanza kabla ya kujibu,atuumbe ili tumtimizie mapungufu yake!!?
 
Maswali yako yoylte jibu lake ni hili "Sijui"

Lakini jibu langu la sijui halitoi mwanya kuwa jibu lingine lisilola kiuchunguzi (Mungu) ndio chanzo.

Vipi kama ni viumbe kutoka sayari zingine wametutengeneza kama majaribio yao ya kisayansi?

Vipi kama huu mfumo wa watu kufa, ni moja ya failure ya hao viumbe waliuotuumba sisi na wako katika mchakato wa kuboresha ugunduzi wao?

Watu wengi wanafikiria maswali ya namna hiyo kuhusu complex ya vitu ndio yanatoa mwanga wa kuthibitisha Mungu yupo

Lakini kihalisia ukifata principle ya maswali hayo bila kuivunja basi sidhani kama utahitimisha kusema Mungu yupo

Kwanini nasema hivyo

Kwasababu hoja inajadili complex ya kitu kuwa ni lazima kiwe na chanzo, na kadri kitu kinavyokuwa na complex kubwa maana yake ndio kinakuwa na ulazima wa kuwa na chanzo kuliko kitu chenye complex ndogo

Kama vishkwambi vya kuhesabia sensa pamoja na complex ndogo vilivyonavyo lakini bado inakuwa ngumu kusema havina chanzo, basi hicho chanzo kilichounda hivyo vishkwambi ni lazima kiwe kihitaji chanzo maradufu kwasababu kina complex kubwa kuliko vishkwambi.

Halikadhalika unaposema mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, mfumo wa intellijensia ya mtu kuwa haiwezekani vitu hivyo tata vikawepo bila kuwepo na chanzo kilichosababisha, ambacho chanzo hicho umekipa jina la Mungu

Basi hata Mungu huyo ambaye ana complex zaidi ya kiumbe chenye mmeng'enyo wa chakula alichokiumba lazima Mungu huyo ahitaji chanzo zaidi kuliko binadamu mwenyewe.

Ukisema Mungu yupo hana chanzo (ukavunja sheria ya kuhoji complex) huna tofauti na mtu anayesema vishkwambi vipo na havina chanzo.
nmekuelewa sna kwa maelezo yako , vyote hivyo hao viumbe unaosema wapo , hivyo vishkwambi unavyosema vina chonzo vyote hivyo vina source from super intelligence energy , apo apo kumbuka energy imedhibitika never created no destroyed but can be change from one form to another form , hyo super intelligence energy ndo Mungu sasa , nyuma na ndani ya kila maumbile ya kiphizikia kuna energy inayodrive vitu vyote katika mlinganyo sahihi , maumbile yote unayoyaona yana Mungu na hata wewe una Mungu na bado unaendeleza kazi zake kama za uumbaji

behind the sperm ipo energy ya uumbaji ambayo ndio Mungu behind any seed na kwenye kila maumbile ya kiphizikia .
 
Sikia sasa; .Ukisema neno ''mungu''!! hatujui una maanisha mungu gani!! bado weye mwenyewe hujui unacho uliza!! kwa sababu Miungu wapo weeengi tangia zama,

Hata Biblia Takatifu imewataja baadhi ya miungu wengii tu kuwa walikuwepo na wapo.. km mungu Baal, Osilis nk!...na hao miungu iliwasaidia sana walio iamini! Mfano mungu wa Misri huyu alishindana na Musa sana tu!!

mungu wa wafilist waliye muamini mpaka akawasaidia kumtia hatiana mbaya wao samsoni, huyu alimshinda Mnadhili wa Mungu tangu tumboni Bwana Samson, kupitia Delila mpaka akatobolewa Macho.

hivo samsoni akasota kweli kweli! nadhani unajua! Washami pia walikuwa na mungu wao aliye washindisha vita...wahaya wana mungu wao wa mazao mpaka leo anaitwa ''Umukama we charo''

Wakurya wana ''Nyanokwe'' anae wapa, Mazao, mvua, nguvu vitani, ndo maana wakurya wanapenda jeshi! na hawashindwi mstari wa mbele!...

Wabondei, wasambaa, wazaramo nk! wana mungu wao maarufu kama ''kiti'' huyu wanamjengea vinyumba vidogo! vidogoo! vya nyasi

size ni usawa wa ugoko! wanapalilia pale na huyo mungu wao anawalinda kweli kweli! Wachaga ndo usissikie wao kila December lazima wanaenda kuonana na kumchinjia Mungu wao Wanyama km ng'ombe mbuzi,

Hapo wanapata damu ya utakaso maarufu wanaita kisusio! lengo ni ili wafanikiwe ktk Maisha yao na Biashara zao! na kweli wako mbali ktk hii Biashara!

Wazungu wao wana muabudu mungu wao, Mzungu vilevile! huyu wanamuomba ili awape nguvu watawale Dunia ktk nyanja zooote!! na kweli kawapa miguvu tele!! hakuna wa kupinga ktk hili!

na wao wanaenda kuhiji Vatican kila mda unapo waruhusu kufanya ivo!...hapo nimekupa kwa kiasi tu, na kuna mungu mwingine yeye huyo hafananishwi na kitu chochote huyo yuko kivyake vyake tu!!

na huyo haoni tabu watu wake kuua wasio muamini, na kumsema hovyo! hovyo!! hata weye leo hii ukimsema hovyo! watakusaka mpaka wakuue popote ulipo hapa Duniani! na Listi ya wanao windwa ni kubwaa!

kusema kweli huyo simtaji nisije uawa Bureee!! wanakula kichwa........ sasa weye ndugu yangu sema wewe unamsema mungu gani huyooooo! kati ya hao wooote hapo juu? make list ni kuuubwa sana?

ila ujichunge mno kuhusu hao miungu make kuna maeneo ukigusa tu unaliwa kichwa hapo hapo mbele ya computer yako!! hayaa yangu ni hayo!
 
Back
Top Bottom