Inkotanyi 94
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,244
- 4,031
basi tuhitimishe Mungu ni nadharia ya mwanadam kukabiliana na hofu na kujipa tumainiHapana...Hatuitaji kuamini Mungu ili kujenga mahusiano. Mungu Hana haja ya kuaminiwa ili binadamu tuendelee.
Tutadevelelop morals,justice, constitution, principles na governance bila hata kuhitaji kuamini Mungu.
Maana hivyo vitu vyote havihusiani na Mungu
Umejitahidi at leastNakuabudu....Mungu wanguu...Eehh Mungu naomba unibariki. Usiponibariki ntaenda kucheki Kwa Mungu wa mwamposa, akishindwa ntaenda Kwa Mungu wa Waislam.
Ila yote haya ni kwaajili ya umasikini TU ..Mi najua siku nikitajirika ntaacha hata kwenda kanisani.
Kwa muktadha huo, wewe unatambua uwepo wake Mungu, ila unatamani kujua kwanini Mungu yupo?Mungu aliyetuumba binadamu wote na kuumba ulimwengu wote
kuna hoja nzito hapa.Mi naona dini ndio imeleta maangamizi kwenye hii Dunia
1.Vita vya kidini(Jihad,Israel-palestine,Iran Vs USA,North vs South Sudan)
2.Utengano wa watu kisa dini (watu hawaoani kisa dini,Watu hawasalimiani kisa dini,Watu hawasalimiani kwenye shida kisa tofauti za kidini,mpaka misibani wengine hawafiki kisa dini)
3. Dictatorship kisa dini: System nyingi za kidini ni Dictatorship..Ukhalifa wa kina Muhammad na Umar ni udictator
Na Upapa ni udikteta (roman empire)
Dini inatawala Kwa mabavu, inafanya binadamu waishi kama jela kisa Imani za kidini, Saudia mtu anaogopa hata kusema Yesu anaweza kukatwa kichwa.
4.Mengineyo (Utumwa,ukandamizaji wa wanawake,Mauaji kisa dini,Ugaidi wa kidini,Usaliti,Unyang'anyi, nk. Nk )
Nakuabudu....Mungu wanguu...Eehh Mungu naomba unibariki. Usiponibariki ntaenda kucheki Kwa Mungu wa mwamposa, akishindwa ntaenda Kwa Mungu wa Waislam.
Ila yote haya ni kwaajili ya umasikini TU ..Mi najua siku nikitajirika ntaacha hata kwenda kanisani.
Hilo swali hata kama ni mimi umeniuliza siwezi kujibu kamwe.Are you a free mjenzi mam?
Nilikuambia mwanzo kua uki set vi principle vya kijanja janja kwa malengo ya kuthibitisha jambo lisilo na uhalisia itakuwa ngumu sana kufika hitimisho wa jibu lako bila kuivuruga principlekma Mungu ni super energy na energy ndo imefanya maumbile yote yanayooneka na yasio uonekana yawepo katika frequence mbalimbal , nawezaje kusema hiyo energy haija umba kila kitu?kumbuka energy hiyo ipo kwenye mwendo na frequence mbalimbali ndo maana kuna maumbile mengne sio rahis kuyaona kutokana yapo kwenye speed kubwa na frequence ha hali ya juu.
Yeye yupo kwa ajili ya kumuabudu Mungu tu?Maana yangu ni hii kwamba mtu ajue vitu vidogo vya awali kwanza ndipo awe na msingi wa kuweza kujua vitu vikubwa.
Ameuliza kwanini Mungu yupo ilhali yeye mwenyewe hajui kwanini yeye yupo !!!--- Yeye yupo kwasababu Mungu kamuumba ili amuabudu Yeye Mungu hivyo basi Mungu yupo kwasababu, tofauti na sifa ya binadamu na vitu vingine, Yeye Mungu anayo sifa ya UMILELE, sifa inayojitambua na yenye nidhamu, sifa ya umilele ni kwamba haiumbwi na wala haina mwanzo wala mwisho na kila kitu chenye Umri (muhula) kimetokana na huo umilele isitoshe huo umilele unaweza kuumba vitu vya milele mfano Roho, Malaika na vingine tusivyovijua. Sasa jibu la swali lake kwanini Mungu yupo ni hilo kwamba Yeye yupo kwasababu ya sifa yake ya UMILELE, yaani umilele hauna mwanzo wala mwisho na ndio maana Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo daima.
Hivyo yampasa ajue sio tu kwamba Mungu yupo leo bali alikuwepo, yupo na atakuwepo DAIMA.
Sija lielewa jawabu lako kwa lugha ya kimombo ningependa uliweke katika lugha adhimu ya kiswahili natumai nitaweza kuelewa ulicho kusudia kusema.Intelligent being that t created the universe
Yeye yupo kwa ajili ya kumuabudu Mungu tu?
Ni kumuabudu tu au kuna kingine cha ziada?
Yani ni sawa uajiri watu uwe unawalipa mshahara mnono kwa kazi ya kukusifia tu
Inshort umemfanya Mungu wako aonekane hana malengo au sababu za msingi za yeye kuumba watu
Mungu katuumba kwa kazi ya uchawa
Binadamu hatuna free will kama mungu anajua yote yatakayo tokea mbeleni na kingine ww unajuaje una free willHakukuwa na error isipokuwa amevipa viumbe free will na ujuzi wa kutambua baya na jema lakini wanatakiwa na anawataka wafanye mema na yule mwenye kushinda huo mtihani atazawadiwa na aliyeshindwa ataadhibiwa.
Je wewe kama mzazi mwanao akikosea unamuua au unampa adhabu ya mileleMungu ni baba, kwa maana rahisi ni mzazi, furaha yake ni watoto alioumba, ametuumba kwasababu anafurahia kuwa mzazi, hali kadhalika wewe kuna jambo au hali fulani unayofurahia pale unapoitwa baba ndio maana unatamani kuwa na watoto
Nitamkanya mara tatu asiposikia nitamwadhibuJe wewe kama mzazi mwanao akikosea unamuua au unampa adhabu ya milele
Mungu yupo ila dini zetu ndio za uongo, uongo mwingi sana kwenye dini zetuKulingana na imani za dini, Mungu alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo (haitaji sababu ya nje ili awepo)
Kama hilo jibu halijitoshelezi kwako, basi inabidi uipinge hiyo imani na kukataa kabisa uwepo wa Mungu.