Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
of course choice yako ni vitu ulivyopangiwa, nje ya universe kuna material na vitu ambavyo hujawahi kuvisikia, kuviona wala kuvitest na mpaka kufa hutaviona, choice yako ni vitu ambavyo vipo duniani tu, ambavyo Mungu amepanga hio ni sahihi. hivyo vingine utaviona after kifo.Hawezi kujua choice utakayochukua.., hauwezi kusema kwamba kwenye kapu kuna chungwa na limao alafu mimi nina free will ya kula tunda lolote wakati sungwi hazipo kwenye kapo..., na kama nikichukua sungwi yangu mfuko wa nyuma nikala unipe adhabu ya kulala njaa kwa wiki tatu..., Utaona hapo indirectly unanilazimisha kula sungwi....
na hivyo alivyopanga kuna ambavyo ameruhusu na ambavyo amekataza, umepewa free will kufanya vyote, ukifanya ulivyoruhusiwa ni plus ukifanya ulivyokatazwa ni negative choice ni yako