Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,395
- Thread starter
- #81
Jambo hilo likifanywa na binadamu tunamuita ni binadamu wa hovyo lakini huko eti ndio umashuhuri sasa kwanini sisi tusiendekeze ubabe kama ndio umashuhuriKwa hiyo Mungu kajitengenezea adui wa kutunishiana misuli ili ajioneshe kuwa yeye ni mwamba?
Anapata faida gani kuhangaika na shetani?