Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,395
- Thread starter
- #161
Ndio hapo sasa hata kama hii ni hadithi hata hadithi zina logic..., hata Game of Thrones ambayo ni make believe na unajua ni uongo na kuna dragons na White Walkers wanaoweza kuona future ilikuwa inakwenda poa na logically kwa sheria walizojiwekea mpaka pale mwisho hiki kiumbe kinachoweza kuona future na kila kitu kuweza kuuliwa kwa urahisi which means they could not see the future...Hawawezi kumaliza tofauti zao, kwa sababu hawapo kiuhalisia, ni wahusika wa hadithi ya kutungwa tu.
Kwa hivyo, kama unataka wamalize tofauti zao kama wahusika wa hadithi ya kutungwa, ni suala la kuandika hadithi ambayo Mungu na Sjetani wanapatana tu.
Hata wewe unaweza kuandika hiyo hadithi.
Which means the writers were making things as they go along thus insulting our intelligence (tulikubaliana kwa kuwekeana assumptions sasa hizo assumptions zinapobadilika for their convinience sio poa)