Jambo la ajabu ni kuamini kuwa hawa wanaotengeneza magonjwa ya kutuangamiza kila siku et watuletee njia ya kuuona ufalme wa mungu na kuishi milele huoni kama ni kitu kisichowezekanaKama ambavyo wewe umeletewa habari za mtume muhammad na ukazipinga ndivyo hali ilivyo na sisi kuhusu Yesu wako
Mnooo 📌Hakuna kamati ninayo iogopa kama ile KAMATI iliyo kaa na kupanga mambo ya Mungu na Shetani, wale jamaa ni watu hatari sana
🤣🤣🤣Tena kwa mujibu wa kitabu cha ayubu shetani na mungu kuna siku huwa wanakutana na KUYAJENGA aisee..
Walimtesa Ayubu,wakaua watoto wake,mifugo yake, wakabomoa nyumba ili wampime halafu wenyewe wako kando wanapiga story...
yaani wewe unatafuta logic katika mambo ya imani! Mungu alikuwepo, yupo, ataendelea kuwepo milele, Mungu hana mwanzo wala mwisho.
wewe kalia kutafuta logic, na hutaipata na likely hutaamini. then ukifa unakutana nae....!!!!
ahh 😄Mimi issue sio kumkuta au kumkosa.., hilo naweza kuishi nalo issue ni jinsi watu wanavyoamini kwamba huyu anaweza kuamua chochote wakati wowote anakisirani na akiamua kudeal na wewe unawekwa kwenye moto ambao haujawahi kuuona, na cha kufanya asubuhi mpaka jioni ni kusifia tuuuu..., Sasa hao wakusifia tu huku tunawaita chawa (kwahio naogopa nisijekuwa chawa)
Imefanyaje?Bangi
😁Kwahio siku akiomba msamaha hata baada ya kupigwa moto huko karne kadhaa msamaha utatoka kama vile wafungwa wanavyopewa msamaha na baada ya muda huenda wakaasi tena kwahio ni mwendo wa kukimbizana bila mwisho
Na kweli unadhani kitu superior kweli ni kama mimi na wewe tusubiri hadi kuombwa msamaha ndio tukubali (yaani usipoomba msamaha nakuonyesha au utanikoma) hio mbona ni kama hulka ya binadamu tena ambao sio wastaarabu
😄Kama ambavyo wewe umeletewa habari za mtume muhammad na ukazipinga ndivyo hali ilivyo na sisi kuhusu Yesu wako
😁Jambo hilo likifanywa na binadamu tunamuita ni binadamu wa hovyo lakini huko eti ndio umashuhuri sasa kwanini sisi tusiendekeze ubabe kama ndio umashuhuri
😂😂Na kuna kile kitabu ambacho Mungu alimjaribu Abraham kwa kumwambia amtoe Sadaka mwanae..., Duh mimi ningekuwa Isaac ningemuitia mzazi wangu wadau wakampime akili..., pia ningehamia kwenda kulala kwa jirani ili hisia za kujaribiwa zisirudi tena akidhani ni Mungu kumbe ni Shetani...
Sasa najiuliza Mungu hakujua mpaka afanye test ?
😄Nenda kosome Genisis 1:9 ambapo dunia inaelezwa iliumbwa siku ya 3
Kisayansi hiyo imekaaje?
Ikiwa siku hitegemea na rotation ya dunia, tuambie unawezaje kuwa na usiku na mchana pasipo kuwa na dunia?
😁😁Kwahiyo Mungu huko aliko, Hana kazi yoyote ya kufanya zaidi ya kukaa akisubiria umwabudu?