Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,397
- Thread starter
- #521
Nina uhakika tungejua kuonge kama kina simba, au Virus au Bacteria na wenyewe kama wana Bible yao wangesema haya haya kwamba Mungu katupenda sasa sisi bacteria hadi katupa uweze wa ku-regenerate kwa kasi sana...Chochote anacho kifanya Mungu ni chema. Ingawa kwa macho yetu ya nyama tunaweza kulaumu hapa na pale.
Mwanadamu ndiyo kiumbe pekee aliye pendwa sana na Mungu hadi akamuumba kwa mfano wake na kumpatika kila hitaji lake.
Au kipindi kile hivi vitabu vinaletwa wanawake ndio wangekuwa na nguvu wala ubavu uliotumika kumtengeneza Eva usingekuwa wa Adam bali vice versa...
Ukiangalia kwa jicho la tatu throughout generations Imani imekuwa ikitumika kama justification wa baadhi ya kufanya mambo yanayowanufaisha... Mfano kuheshimu mamlaka, Taifa Teule n.k.