Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,397
- Thread starter
- #501
Unajua kitu kinaitwa motivation ?!!!! Hata Wayahudi walikuwa wanapigwa sana na warumi miaka nenda rudi na walikuwa na Imani zao kwamba kuna siku atakuja messiah kuwaokoa sasa utasemaje wamakonde watawapiga USA wakati hakuna connection ?!!! Ila mababu zetu walikuwa wanasema kila Siku Kibanga atampiga mkoloni na eventually all empires fall and probability shows wanaowapinga ndio watawaangusha....Mfano Utabiri
-kwamba Mtume atawapiga waroma at that time mtume alikuwa na kigenge tu cha watu sembuse jeshi na Roma ni super power ambayo wanajeshi tu wapo in terms of Million. Mfano wake leo hii nitabiri wamakonde wataipiga Usa ina Mashiko right?
Mhhh ebu fafanua hapa na hizo ghorofa refu duniani wanajenga kwamba wenyewe ndio architects au zinajengwa kwao na hao Mabedui kwamba ndio mashindano yamekwisha ? Au kesho wakishindwa tutasema utabiri ulikuwa ni uongo....-utabiri wa kwamba Mabedui watashindana kujenga Maghorofa marefu Duniani. Mfano wake leo nitabiri Wamasai watashinda kujenga maghorofa marefu duniani ina mashiko pia? Hawa mabedui kwa maelfu ya miaka wanachunga tu kondoo huko jangwani na Ngamia ila ghalfla tu within short time Burj Khalifa, Milad, princess, clock towers etc zote zipo huko.
Kuna tabiri kibao nyengine zinatajwa wazi wazi hakuna fumbo lolote
Kuna matapeli huyu jamaa (Notradamus) aliitwa the Man who Saw Tommorrow Je na yeye alikuwa Mungu ?![]()
The Prophecies of Prophet Muhammad ﷺ: Proofs of Prophethood Series
Some of the greatest and most convincing testimonies to the prophethood of Muhammad ﷺ are the multiple occasions on which he correctly predicted future events. Mohammad Elshinawy describe 30 of these predictions and how each and every one of them came to pass, just as he predicted.yaqeeninstitute.org