Wilson Mukama, Sophia Simba a cabinet minister, incumbent, a lawyer, with skills as opposed to Anna Kilango Malecela a mere rural mp, backbencher, without the bolts and nuts to do what it takes to win the post of the chairperson, CCM women wing.
If we have to quote Mukama, the secretary general of CCM then it seems Sophia was so giant for Anna. She had and has all it takes to outmuscles Anna politically. Sophia a townie, an mp, a cabinet minister, a lawyer and a smart woman. Hii ina maana walimtafutia mpinzani dhaifu kwa makusudi, au ndani ya UWT hakukuwa na wagombea wenye sifa za kupambana na Sophia? Maana nadhani ni maneno mazito sana kutoka kwa katibu mkuu ambaye wagombea wote aliona wanaweza kuongoza UWT ndani ya CCM.
Lakini vile vile kwani nini kama Anna hana uwezo wa kupambana na mwanamke mmoja kama Sophia, alipewa nafasi ya kugombea kuongoza wanawake zaidi ya laki 5??? Angeweza vipi kuendesha chama kama hana uwezo wa kupambana na mtu mmoja kama Sophia? Nadhani hapa mapambano hawakuwa ya kutafuta kiongozi safi bali nani mwenye musuli mpana kama katibu mkuu alivyoonesha.
As long as TAKUKURU is within the structure, we will be expecting too much to expect that TAKUKURU will do anything meaningful to combat corruption. Prof Mmunya.
We have created a society where others can be incarcerated very easily without enough evident and others do away with it while being accused of the same or similar things. Njeru Kasaka
Kuna tofauti kubwa kati ya rushwa na hongo, tunachokisikia sasa ni maneno ya upande mmoja ya wale walioshindwa katika chaguzi ndani ya chama. Wilson Mukama

KATIBU MKUU WA AINA HII LAZIMA MWENYEKITI APIGE CHINI TENA HARAKA KAMA JK ALIVYOFANYA